Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa.

Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne mtu akose huduma muhimu kisa mtu ameenda kuangalia mpira!
 
Very parochial mind, Tanzania inaviongozi sijawahi kuona akili zao ziko narrow sanaa.
 
Mleta uzi unatatizo la afya ya akili. Sio bure.
 
Ww ndo una akili mgando ,kafanya kosa gan hapo? Kua mzalendo Kwa taifa lake?
 
Kwani kakosea kitu gani hapo. Una hiari ya kuufanyia kazi ushauri au la. Acha kuandika nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…