Ali Kamwe naye kama hajui kinachoendelea Yanga

unajua time table ya yanga ya pre season??

wanaenda lini south africa? wanacheza mechi ngapi? wanatoa jezi lini? wana ludi lini bongo?? watasafiri wa ngapi??

we are talking about Ali kamwe work here. hata hizo mechi tumejua online yeye ajaongelea possible ajui. what's going to happen next.
Hebu mtizame kiazi huyu pre season tokea lini ikawa na mzani zito, mechi hizo kama mabonanza.Kumbe umejua online,sasa ulizani nani hajui.
Halafu mbona kiazi ww,sasa nikishajua wanasafiri wangapi? Halafu tokea lini watu wanao safiri ikawa fixed.Pre season time table haipo fixed,unaweza ukakuta kocha akaomba kuongezewa mechi katikati ya hiyo season,Avic town kuna timu zinaalikwaga katikati ya Pre seasons za liki daraja kwana na la pili.Vile mechi za Preason zinaweza kuwa Cancelled mwaka jana Spurs na Leicester walicancel mechi yao,hapo ndipo ujue hazinaga uzito,yaani ww ni bonge la bwege.
 
he was having a bad performance na pia gamondi is not my manager of choice.

ukiforce ni mkubali kocha simuelewi ?? ww ndo unashida
Usicho muelewa kocha nini?
Na nikocha yupi alie choice kwako?
 
Hebu mtizame kiazi huyu pre season tokea lini ikawa na mzani zito, mechi hizo kama mabonanza.Kumbe umejua online,sasa ulizani nani hajui.
Halafu mbona kiazi ww,sasa nikishajua wanasafiri wangapi? Halafu tokea lini watu wanao safiri ikawa fixed.Pre season time table haipo fixed,unaweza ukakuta kocha akaomba kuongezewa mechi katikati ya hiyo season,Avic town kuna timu zinaalikwaga katikati ya Pre seasons za liki daraja kwana na la pili.Vile mechi za Preason zinaweza kuwa Cancelled mwaka jana Spurs na Leicester walicancel mechi yao,hapo ndipo ujue hazinaga uzito,yaani ww ni bonge la bwege.

hii amekwambia ally kamwe au online research 🤔? also big team zote zina schedules za Pre Season kasolo yanga Ya kamwe.

ally kamwe has zero idea about this. I can assure you.
 
Unaukweli lakini wenye chuki na wivu ndani yake.
Wenda nikweli A. Kamwe haifanyi kazi yake ipasavyo, lakini na wewe pia inaonekana haumpendi tu A. Kamwe kama usivyo mpenda Gamondi.

Lakini mkuu kwa nilivyo kufatilia muda mrefu hapa jukwaani nimegundua wewe ni shabiki mzuri tu wa Yanga, lakini unaudhika na nini na hii Yanga ya sasa?
Maana posti zako nyingi ni zakusagia kunguni viongozi, mara Kocha, tatatizo nini?

Kuna siku huwa unapost vitu vyamaana tu (mfano leo) tatizo jinsi ya uwasilishaji hoja zako (kichuki chuki, wivu ndani yake) mashabiki wenzio tunakuona snitch na wasio kuelewa vizuri wanakuona kama Kolokwinyo hivi.

Mkuu badilika bhana, hii ndio Yanga yetu kwa sasa, hata kama unachuki na yeyote ndani Yanga ni vyema mukayamaliza kivingine, vyinyongo havijengi.

BOM FIM DA SEMANA.
 
hii amekwambia ally kamwe au online research 🤔? also big team zote zina schedules za Pre Season kasolo yanga Ya kamwe.

ally kamwe has zero idea about this. I can assure you.
Kwani wewe hiyo habari ulioteshwa au uliipata online? Nani alikwambia Yanga hawana pre season si walitangaza wanaenda SA,halafu hiyo "kasolo Yanga........." ndio nini........."

Schedule ya preseason sio lazima iwe fixed kwani mechi zenyewe ni kama bonanza na hazina uzito wowote.Yanga wanaweza sema hata leo hatuendi SA na kubaki Avic.
 
1. tickets are sold. they can't cancel it
2. 6 days before the match no information
3. tell me a big team with no pre season enlists. even dates to end it's pre season.
4. improve your reasoning
 
Hebu mtizame kiazi huyu pre season tokea lini ikawa na mzani zito, mechi hizo kama mabonanza.Kumbe umejua online,sasa ulizani nani hajui.
Halafu mbona kiazi ww,sasa nikishajua wanasafiri wangapi? Halafu tokea lini watu wanao safiri ikawa fixed.Pre season time table haipo fixed,unaweza ukakuta kocha akaomba kuongezewa mechi katikati ya hiyo season,Avic town kuna timu zinaalikwaga katikati ya Pre seasons za liki daraja kwana na la pili.Vile mechi za Preason zinaweza kuwa Cancelled mwaka jana Spurs na Leicester walicancel mechi yao,hapo ndipo ujue hazinaga uzito,yaani ww ni bonge la bwege.
Nilidhani vyura ni viumbe peace sana kumbe vyenyewe kwa vyenyewe vinaweza kukunjana "mashati" na ngumi zikaruka kabisa!
 
1. tickets are sold. they can't cancel it
2. 6 days before the match no information
3. tell me a big team with no pre season enlists. even dates to end it's pre season.
4. improve your reasoning
Una hoja usikilizwe. Eti wenzio wanakwambia mechi za pre-season hazina maana, wamezoea kucheza na Mburahati Combine SC na Kimbiji Village FC.

Hawajui hiki ni kipindi timu zinazojitambua zinajibrand kupitia hizo hizo mechi. Mimi nimeshasafiri sana kuzishuhudia timu nyingi kubwa duniani zikicheza mechi za kirafiki kipindi kama hiki cha pre-season.
 
Nimekupa mfano wa Leicester na Spurs, wao mbona wali cancel. Kwani events ngapi tickets zilikuwa sold na events haikufanyika?

Mfano Yanga hajatokea,watamfanya nini ?Maana huo ni mwaliko,sasa ww umeona wapi mtu/timu ikapigwa faini kwa kushindwa jutokea kwenye mwaliko, mbona unashindwa kuereason out vitu vidogo ambavyo vinatokea kila siku kwenye mazingira ya kawaida?
 
Kwani wewe hiyo habari ulioteshwa au uliipata online? Nani alikwambia Yanga hawana pre season si walitangaza wanaenda SA,halafu hiyo "kasolo Yanga........." ndio nini........."

Schedule ya preseason sio lazima iwe fixed kwani mechi zenyewe ni kama bonanza na hazina uzito wowote.Yanga wanaweza sema hata leo hatuendi SA na kubaki Avic.
Bro think twice , Angalia tiketi zinauzwa huko
 
Attachments

  • Screenshot_20240714-134354_1.jpg
    Screenshot_20240714-134354_1.jpg
    207 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240714-134354_1.jpg
    Screenshot_20240714-134354_1.jpg
    207 KB · Views: 2
Una hoja usikilizwe. Eti wenzio wanakwambia mechi za pre-season hazina maana, wamezoea kucheza na Mburahati Combine SC na Kimbiji Village FC.

Hawajui hiki ni kipindi timu zinazojitambua zinajibrand kupitia hizo hizo mechi. Mimi nimeshasafiri sana kuzishuhudia timu nyingi kubwa duniani zikicheza mechi za kirafiki kipindi kama hiki cha pre-season.
Kwani misimu mitatu Yanga pale Avic town alikuwa ancheza na timu gani ,kama si Manyema,Timu ya Eli Mzozo ,sijui Ashati.Mbona alienda mpaka fainali ya Confideration na robo fainali ya CAF plus ubingwa mara tatu.

Eti ulisha safiri hata mimi nilisafiri (tusitishane JF kila mtu ana hela humu),mechi za pre season lengo lake kutest mifumo, wachezaji wapya na kurudisha mechi fitness hata ukipata wapinzani wa kawaida inatosha.
 
Back
Top Bottom