Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #81
Sasa nani alaumiwe. mtaje jina??? tumlipueBasi endelea kusubiri kama yeye anavyosubiri maelekezo kutoka kwa wakubwa ambao wewe huwajui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nani alaumiwe. mtaje jina??? tumlipueBasi endelea kusubiri kama yeye anavyosubiri maelekezo kutoka kwa wakubwa ambao wewe huwajui
Sasa nani alaumiwe. mtaje jina??? tumlipue
nani?? wataje?? sio una mtetea tu kamweIssue yako ni nini has?
i) Jezi, basi walaumu wanaohusika na jezi
ii) Safari ya South, walaumu wanaoratibu mambo ya usafiri pamoja na wanaopitisha mipango ya fedha na nauli
listen to your self.
huu ndo utendaji wako wakazi. deflecting problems.
watu wa ajabu sana
wewe ni mtu useless kabisa 🚮🚮.Na wewe usitafute watu wa chini uwalaumu. Nenda katafute root causes, hii ndo njia sahihi ya kuyashinda matatizo.
Dig deep uwajue viongozi wanaohusika uwapige "pin" kuliko kuonyesha umwamba kwa informer ambaye anasubili miongozo kutoka kwa mapapa
Nimekuchambulia hapo mbona.nani?? wataje?? sio una mtetea tu kamwe
Ahsante.wewe ni mtu useless kabisa 🚮🚮.
you cant sugar coat incompetence and you can't even digest stuffs ukaona he is not fit for that position.Nimekuchambulia hapo mbona.
Wewe issue ya jezi hujui nani anahusika
Mratibu wa mipango hujui nani anahusika
Kama huwajui hao watu, basi sina budi kukupinga unavyomlaumu Ali Kamwe
He was having? 😂😂 Hii English ya wapi bosshe was having a bad performance na pia gamondi is not my manager of choice.
ukiforce ni mkubali kocha simuelewi ?? ww ndo unashida
Wewe ndio mpumbavu habari za timu zinatolewa na afisa habari sasa wewe unataka aongee vitu umeona online?Una hoja tatizo unaowapelekea ujumbe ni watu wapumbavu sana sijui kwanini,watakushambulia subiri watakuja..
past continuous tense.He was having? 😂😂 Hii English ya wapi boss
Hakuna English ya hivyopast continuous tense.
🚮🚮 watu wamesoma dumu na mfagio . useless kabisa
IJamaa Yuko sahihi
Nadhani kitengo cha habari cha team yetu wamezubaa.
Kucheza na Ausburg inayocheza UEFA ingekuwa fursa nzuri kibiashara.
Team ingeuza jezi
Team na wachezaji wangejiuza huko Europe
Nadhani tunacheza na fursa admu.
Tunaona picha za Baleke zinavuja Yuko mazoezini kwanini asitambulishwe?
Hili sio jambo nzuri
Nadhani Eng Hersi Said afanye reform department ya habari
Hii mbumbumbu ni pumbafu kabisaMbona unarukaruka kama kuku anayetaka kutaga? Hivi ulivyoniuliza kama Simba ina uwanja wa mazoezi, ni kwamba ulikuwa haujui au umechanganyikiwa? Nimekujibu kuwa inao sasa unasema kuwa na uwanja siyo dili? Kwa nini jibu lako la kwanza halikuwa hilo, aiseee!
Haya, ulikazania huo mfano wa Leister na Spurs, nimekupa sababu unasema siyo za kweli pamoja na kwamba ndiyo zilizotolewa na ushahidi wa hizo sababu upo, unasema ni za kulindiana image. Yale yale kujiona una akili kuliko wengine, sasa unakimbilia mfano mwingine. Kumbe unajua kujiamulia kutocheza mechi iliyopangwa kuna madhara makubwa sana kwa klabu, mbona sasa unaropoka Yanga inaweza kujiamulia tu kutokwenda kucheza mechi iliyopangwa, kutangazwa na ambayo tayari tiketi zinauzwa eti sababu ni bonanza na haina umuhimu? Think MF!
UmemalizaWe jamaa siku ulipoandika Uzi wa kumponda gamondi na kusema hawezi chukua nbc premier league ulipoteza credibility
Huna tofauti na chura kiziwi
Huyo ni nyumamwiko mtukuka kabisa.Kolo utaelewaka tu unakuja Kwa kujificha kwenye shamba la karanga.
Nasikia Debora usajili wake umeingia gundu, baada ya vipimo kuonyesha ana ujauzito.Deborah kasharipoti kambini?
how many days 🤔🤔Basi endelea kusubiri kama yeye anavyosubiri maelekezo kutoka kwa wakubwa ambao wewe huwajui