Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
Kabla hujaongelea kazi ya Ali Kamwe, ongelea wakubwa zake wanaotoa muongozounajua time table ya yanga ya pre season??
wanaenda lini south africa? wanacheza mechi ngapi? wanatoa jezi lini? wana ludi lini bongo?? watasafiri wa ngapi??
we are talking about Ali kamwe work here. hata hizo mechi tumejua online yeye ajaongelea possible ajui. what's going to happen next.
Kama wakubwa hawajafanya maamuzi wataenda lini, unataka Ali Kamwe aseme nini?
Kama wakubwa zake/ wahusika wa jezi hawajatoa muongozo wa lini jezi zitangazwe, unataka Ali Kamwe atungeneze tarehe yake?
Mambo yote hayo yanaanzia kwa viongozi wa juu, Ali Kamwe ni msemaji na mtoa taarifa. Ukiona hajatoa taarifa basi swala bado liko kwa Viongozi.