Ali Kamwe naye kama hajui kinachoendelea Yanga

Hivi unaelewa maana ya mwaliko?
Jamaa Yuko sahihi
Nadhani kitengo cha habari cha team yetu wamezubaa.
Kucheza na Ausburg inayocheza UEFA ingekuwa fursa nzuri kibiashara.
Team ingeuza jezi
Team na wachezaji wangejiuza huko Europe
Nadhani tunacheza na fursa admu.

Tunaona picha za Baleke zinavuja Yuko mazoezini kwanini asitambulishwe?
Hili sio jambo nzuri
Nadhani Eng Hersi Said afanye reform department ya habari
 
If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga.

1. Pre season vs Augsburg fc

Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo busy na mechi ya Kaizer Chiefs ajui hata lini team itaenda South Africa for that match.

In short anaonekana confused and uninformed. kama mjinga mjinga anapelekeshwa na false information.

View attachment 3041714

2. Siku ya kutangazwa jezi.
Ali Kamwe hajui lini and how atatangaza jezi.

Ana pre season kubwa sana ambazo jezi mpya anaweza kujitangaza na yanga yake. issue ni kwamba yupo completely unaware how to do this work.

View attachment 3041715

Anajin'gata sana, information zake zipo random sana. sio organised kama mtu ajui anachofanya. #confused & #incompetent.

ie:
Ali Kamwe ajiorganize vizuri yupo taasisi kubwa, he should act like one. arrange your schedules , show the difference.
Deborah kasharipoti kambini?
 
Hivi unaelewa maana ya mwaliko?
😁Duh shida ni utimu bro umekuathiri , kwenye kweli sema kweli.
Fursa kama hii kwa klabu kuweka historia nyingine kubwa klabu inayokuwa kama Yanga ikatae , haya bwana tutaona kama wataenda au lah ila wenzenu wanauza tiketi tena bei chee tu R50
 
Kwani misimu mitatu Yanga pale Avic town alikuwa ancheza na timu gani ,kama si Manyema,Timu ya Eli Mzozo ,sijui Ashati.Mbona alienda mpaka fainali ya Confideration na robo fainali ya CAF plus ubingwa mara tatu.

Eti ulisha safiri hata mimi nilisafiri (tusitishane JF kila mtu ana hela humu),mechi za pre season lengo lake kutest mifumo, wachezaji wapya na kurudisha mechi fitness hata ukipata wapinzani wa kawaida inatosha.
Sikutishi, nimekwambia ukweli. Waswahili hamjazoea kuambiwa ukweli. Ni kama nilivyoleta stori ya kumfundisha mpira Hersi, kuna mtu akanihoji kwa nini nimeleta hiyo mada, it's my story motherfu.....! Nikikutajia timu ambazo nimewahi kuziona live bila chenga, kuanzia leo utaniangalia kivingine.

Kwa hiyo timu zinazosafiri umbali mrefu kwa ajili ya pre-season hawana akili, Hersi pekee ndiyo ana akili? Mpira ni biashara na kibiashara, lazima timu zijibrand kutokea katika angle tofauti tofauti, usidhihaki wale wanaofanya tofauti na timu yako. Kaizer walikuja hapa mwaka jana, mbona haukusema wajifungie huko kwao? Hiyo timu ya Ujerumani inasafiri umbali mrefu kuweka kambi SA, mbona hauwadhihaki kwa kufanya hivyo?
 
Jamaa Yuko sahihi
Nadhani kitengo cha habari cha team yetu wamezubaa.
Kucheza na Ausburg inayocheza UEFA ingekuwa fursa nzuri kibiashara.
Team ingeuza jezi
Team na wachezaji wangejiuza huko Europe
Nadhani tunacheza na fursa admu.

Tunaona picha za Baleke zinavuja Yuko mazoezini kwanini asitambulishwe?
Hili sio jambo nzuri
Nadhani Eng Hersi Said afanye reform department ya habari
Nikuulize swali jezi za Yanga wapi zinauzwa nyingi? Acheni kidanganyana mpira wa bongo hamna jezi zinazouzwa nje ya nchi au kuna duka lolote nje ya nchi ya Tz.

Nishawatumia baadhi ya marafiki zangu jezi za Yanga ila nilinunua ndani na ni kawatumia.Wenye muscles hizo ni timu za ulaya,mfano hata Man pre season zake huzifanyika sana Asia sababu kwenye record zake za mauzo moja ya nchi zinazo nunua jezi kutoka bara Asia na kuna maduka yao.

What if Baleke yupo kwenye trial,kabla hajawa approved na kocha?
 
nAshangaa sana. hata jezi mpya zitakuwa bado. maana Ali kamwe nae amekuwa kama mjinga ange weza uza jezi hadi Germany.

yanga wasimuongeze mkataba tu. so far this season he is a failure
Hv ishu ya jezi ipo chini yake ali kamwe
 
Naheshimu mawazo yako mkuu
Ila jaribu kujitoa kwenye ushabiki
Usipuuze hii trip Yanga iipe promotion kubwa ipanue masoko.
Hapa Tanzania watu wanavaa jeans za Mamelod, Kaizer chiefs, Orlando n.k Kwa sababu zishajitangaza.
Na sisi huwezi jua tukicheza na Ausburg let's say tukampiga 5 Dunia itaulizia ni team Gani hiyo na hapo team itajikuza kuanzia followers na kuuza jezi
 
Sikutishi, nimekwambia ukweli. Waswahili hamjazoea kuambiwa ukweli. Ni kama nilivyoleta stori ya kumfundisha mpira Hersi, kuna mtu akanihoji kwa nini nimeleta hiyo mada, it's my story motherfu.....! Nikikutajia timu ambazo nimewahi kuziona live bila chenga, kuanzia leo utaniangalia kivingine.

Kwa hiyo timu zinazosafiri umbali mrefu kwa ajili ya pre-season hawana akili, Hersi pekee ndiyo ana akili? Mpira ni biashara na kibiashara, lazima timu zijibrand kutokea katika angle tofauti tofauti, usidhihaki wale wanaofanya tofauti na timu yako. Kaizer walikuja hapa mwaka jana, mbona haukusema wajifungie huko kwao? Hiyo timu ya Ujerumani inasafiri umbali mrefu kuweka kambi SA, mbona hauwadhihaki kwa kufanya hivyo?
Kuna sehemu nimesema timu hazina akili au nimezihaki timu ? Vp huoni huyu kama kazihaki Yanga.... kwa kitu cha kipuuzi? Sasa ukitaja hizo timu ulizo ziona then what B*tch @S$ Nigg@..... ww unajua mimi nimeziona timu ngapi?

Preseason haina formula ndio maana kuna wengine huifanyia ndani wengine nje na hamna mahusiano ya kufanya vizuri eti kisa pre season ulicheza na timu zenye majina makubwa na wengine majina madogo.Arsenal Preseason kachukua sana Emirates Cup (Ndani yake kuna Madrid,Ac milan,Lyon),Man Utd ya Sir inaacheza na vitimu vilivyo choka huko Asia ila akirudi kwenye ligi anabeba ndoo,ila Arsenal akikukuruka sana nafasi ya nne tena kwa mbinde.
 
Naheshimu mawazo yako mkuu
Ila jaribu kujitoa kwenye ushabiki
Usipuuze hii trip Yanga iipe promotion kubwa ipanue masoko.
Hapa Tanzania watu wanavaa jeans za Mamelod, Kaizer chiefs, Orlando n.k Kwa sababu zishajitangaza.
Na sisi huwezi jua tukicheza na Ausburg let's say tukampiga 5 Dunia itaulizia ni team Gani hiyo na hapo team itajikuza kuanzia followers na kuuza jezi
Sijapuuza chochote ila nilicho mshangaa ni huyu mpuuzi mwenye hii thread. Kwani 5imba baada ya kupigwa na Sevilla/Locomotive Moscow waliuza units ngapi za jezi? Baada ya hapo walifungua maduka mangapi ya kuuza jezi nje ya nchi?

Kubalini Jezi zetu hazina wigo mkubwa wa mauzo zote soko lake lipo hapa.
 
If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga.

1. Pre season vs Augsburg fc

Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo busy na mechi ya Kaizer Chiefs ajui hata lini team itaenda South Africa for that match.

In short anaonekana confused and uninformed. kama mjinga mjinga anapelekeshwa na false information.

View attachment 3041714

2. Siku ya kutangazwa jezi.
Ali Kamwe hajui lini and how atatangaza jezi.

Ana pre season kubwa sana ambazo jezi mpya anaweza kujitangaza na yanga yake. issue ni kwamba yupo completely unaware how to do this work.

View attachment 3041715

Anajin'gata sana, information zake zipo random sana. sio organised kama mtu ajui anachofanya. #confused & #incompetent.

ie:
Ali Kamwe ajiorganize vizuri yupo taasisi kubwa, he should act like one. arrange your schedules , show the difference.
KAJIKITA SANA KWENYE SIASA HUKO X
 
Sijapuuza chochote ila nilicho mshangaa ni huyu mpuuzi mwenye hii thread. Kwani 5imba baada ya kupigwa na Sevilla/Locomotive Moscow waliuza units ngapi za jezi? Baada ya hapo walifungua maduka mangapi ya kuuza jezi nje ya nchi?

Kubalini Jezi zetu hazina wigo mkubwa wa mauzo zote soko lake lipo hapa.
Sawa mkuu shukran
 
😁Duh shida ni utimu bro umekuathiri , kwenye kweli sema kweli.
Fursa kama hii kwa klabu kuweka historia nyingine kubwa klabu inayokuwa kama Yanga ikatae , haya bwana tutaona kama wataenda au lah ila wenzenu wanauza tiketi tena bei chee tu R50
Yaleyale nimekutolea na mifano unasema utimu,kwa hiyo nikikubali kile unacho kiongea ww ndio sina utimu?

Kwani Yanga si ana event yake atakusanya za kwake kwani hizo hela sio zake na unaweza ukuta wakaingia gharama kubwa kuliko hela wanazo zikusanya.
 
Kuna sehemu nimesema timu hazina akili au nimezihaki timu ? Vp huoni huyu kama kazihaki Yanga.... kwa kitu cha kipuuzi? Sasa ukitaja hizo timu ulizo ziona then what B*tch @S$ Nigg@..... ww unajua mimi nimeziona timu ngapi?

Preseason haina formula ndio maana kuna wengine huifanyia ndani wengine nje na hamna mahusiano ya kufanya vizuri eti kisa pre season ulicheza na timu zenye majina makubwa na wengine majina madogo.Arsenal Preseason kachukua sana Emirates Cup (Ndani yake kuna Madrid,Ac milan,Lyon),Man Utd ya Sir inaacheza na vitimu vilivyo choka huko Asia ila akirudi kwenye ligi anabeba ndoo,ila Arsenal akikukuruka sana nafasi ya nne tena kwa mbinde.
Hakuna anayejali umeona timu ngapi, usije ukataja vitimu visivyoeleweka hapa aibu nikaona mimi.

Unavyosema hizo mechi hazina maana na kwamba dakika yoyote Yanga inaweza kucancel hizo mechi inaonyesha jinsi ulivyo zero brain. Hivi kati ya Yanga na hizo timu inazoenda kucheza nazo nani anamuhitaji mwenzake? Unavyoita hizo timu zimechoka haudhani hiyo timu ya Ujerumani kwa mfano ndiyo inavyofikiri inavyokuja kucheza na Yanga? Unaweza kulinganisha kitimu chako kisicho hata na uwanja wake wa mazoezi na hizo timu za Asia unazosema zimechoka? Unatoa point ambazo kimsingi unadhihaki timu yako mwenyewe. Think MF!
 
If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga.

1. Pre season vs Augsburg fc

Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo busy na mechi ya Kaizer Chiefs ajui hata lini team itaenda South Africa for that match.

In short anaonekana confused and uninformed. kama mjinga mjinga anapelekeshwa na false information.

View attachment 3041714

2. Siku ya kutangazwa jezi.
Ali Kamwe hajui lini and how atatangaza jezi.

Ana pre season kubwa sana ambazo jezi mpya anaweza kujitangaza na yanga yake. issue ni kwamba yupo completely unaware how to do this work.

View attachment 3041715

Anajin'gata sana, information zake zipo random sana. sio organised kama mtu ajui anachofanya. #confused & #incompetent.

ie:
Ali Kamwe ajiorganize vizuri yupo taasisi kubwa, he should act like one. arrange your schedules , show the difference.

Ali Kamwe sio mratibu wa shughuli za Yanga bali ni msemaji wa Yanga, hivyo kazi yake ni kusema kilichokuwa kimepangwa na uongozi je kama bado mpangilio haujawekwa sawa, je unataka Ali Kamwe ajitungie?
Nilichokiona Yanga hawakuwa wamejipanga na hilo tukio la Mpumalanga cup maana Yanga ipo kwenye program ya mazoezi kujiandaa na msimu mpya na tokea waanze kuingia kambini hadi leo wana siku tatu tu na ukiangalia kufikia tarehe 20 kuna siku 6 tu hivyo inawezekana Ali Kamwe hajui mipangilio ya benchi la ufundi na uongozi wameamua kipi kuhusu hiyo mechi. Ukiangalia tu unaona Yanga wapo katika program ya mazoezi kambini na wengine wameripoti jana wengine bado kuripoti kambini unapata picha kuwa kuna mambo hayakosawa kuelekea kwenye hiyo mechi.

Umemshambulia Ali Kamwe kama vile ni mtendaji wa Yanga na sio kama msemaji wa Yanga. Msemaji utakuwa na uwezo wa kutoa taarifa za mambo ambayo watendaji tayari wameshayapangilia ila kama hakijapangwa ni lazima atakosa taarifa juu ya hilo jambo.

Hadi ishu ya jezi ifike kwa Ali Kamwe kuna watendaji ambao ndio wanaohusika akiwepo Sheria Ngowi, n k

Hoja yako ni nzuri imehusisha mipango na mikakati ya timu na kutumia fursa ila tu umemshutumu mtu wa ngazi ya chini ambaye inawezekana hajui lolote kwasababu hakuna kitu kilichowekwa bayana.
 
Hakuna anayejali umeona timu ngapi, usije ukataja vitimu visivyoeleweka hapa aibu nikaona mimi.

Unavyosema hizo mechi hazina maana na kwamba dakika yoyote Yanga inaweza kucancel hizo mechi inaonyesha jinsi ulivyo zero brain. Hivi kati ya Yanga na hizo timu inazoenda kucheza nazo nani anamuhitaji mwenzake? Unavyoita hizo timu zimechoka haudhani ambavyo hiyo timu ya Ujerumani kwa mfano ndiyo inavyofikiri inavyokuja kucheza na Yanga? Unaweza kulingalinga kitimu chako kisicho hata na uwanja wake wa mazoezi na hizo timu za Asia unazosema zimechoka? Unatoa point ambazo kimsingi unadhihaki timu yako mwenyewe. Think MF!
Kwani Spurs alivyo cancel mech yake na Leicester mwaka Jana hana akili? Unaposema kuhitaji unamaana Yanga haiwezi survive bila hizo timu?

Vp wewe timu yako ina uwanja?

Alafu tokea lini humu JF ww Kolo ukaumizwa na maamuzi ya Yanga?
 
Wewe kweli ni zero brain. Unatoa mifano inayokuumbua mwenyewe. Hiyo mechi ilikuwa cancelled kwa sababu za hali ya hewa siyo kwa sababu timu moja iliamka tu ikasema haichezi. Pia mfano wako huo huo unakuumbua kwa sababu hizo timu zimeenda kucheza Thailand, kwa nini hawakucheza kwao wakati wote wanatokea Uingereza? Think MF!

Simba ina uwanja wa mazoezi tena viwili na plan za kuongeza vingine zinaendelea, unaulizia pingu kituo cha polisi?

Sijaumizwa na maamuzi ya Yanga, nimefurahi kuona vyura mnakunjana mashati. Mleta mada ana hoja ya msingi ila kaileta kwa mashabiki wenzake wanaoendeshwa na hisia zaidi ndiyo maana badala ya kumjibu mmebaki kumshambulia.
 
nAshangaa sana. hata jezi mpya zitakuwa bado. maana Ali kamwe nae amekuwa kama mjinga ange weza uza jezi hadi Germany.

yanga wasimuongeze mkataba tu. so far this season he is a failure
Kwani utayari wa jezi mpya ni kazi na Ali Kwamwe? Jezi mpya zikichelewa kutolewa ni kosa la Ali Kamwe?
Ni nani ana taarifa kamili pale Yanga kuhusu uzinduzi wa jezi ili tupate sababu ya kumlaumu Ali Kamwe.
 
Back
Top Bottom