Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

Baada YA kupaka breach..ipo siku mtaambiwa mgeuka nyuma Na kumsikiliza Ali kamwe..ama kweli Yanga Ni mazwa zwa au nyumbu
 
Hulazimishwi kupaka bleach
We tokezea uwanjani
Shangilia Yanga yetu

Coach anaandaa team Avic town
Hizi zingine ni mambobya nje ya uwanja na hamasa tu

Hii ishu inafanya team yetu iongelewe kwenye mitandao

Team ya media ni wabunifu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga wenye akili linatuumiza zaidi, bleach ni air style za wanawake na wanaume wanamichezo labda na wasanii, kutuletea upuuzi huu ni dharau na kutukosea adabu.

Kama Ally Kamwe ameshindwa kumuheshimu kocha basi atuheshimu wenye timu.
Sisi tushalipotezea,tushampuuza,watu wazima wenye akili timamu huwa hatupaki bleach
Ila Simba wamelishikia bango mno
 
Wabunifu kwa kutangaza kupaka mablichi?

Ndio hapa soka la Tz huwa linanishangaza.
Makolo utopolo wote wamejaa wanajadili ubleach.
 
Hawa jamaa ni pipa na mfuniko
Huyo Ally mwingine ameshikia bango Mayele kutupiwa majini
Tena anaongea hadi ananyanyua vidole juu.

Mpira wa Tanzania una ujinga mwingi sana,, wenzetu huko ligi kuu ya uingereza hawana huu ujinga na wanaupiga mpira safi.
 
Jamaa ndio maana aliwaponza wenzie wakaishia kula 5
 
Yanga wenye akili linatuumiza zaidi, bleach ni air style za wanawake na wanaume wanamichezo labda na wasanii, kutuletea upuuzi huu ni dharau na kutukosea adabu.

Kama Ally Kamwe ameshindwa kumuheshimu kocha basi atuheshimu wenye timu.
Anatoa maagizo kwa kitu ambacho hata yeye mwenyewe hawezi kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ushamba
 
Labda ungeeleza kwa mifano ni athari zipi zmejitokeza kwa kutumia majina ya wachezaji kuhamasisha mashabiki?
Au kupaka bleach kunaathiri nini mshabiki ambae analengo la kuiunga mkono timu yake?
Kama hauna sababu zenye mashiko tuendelee tuu kumpongeza mzee Rage kwa maono yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ