Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

Nachojua Ali kiba amesema Harmonize sio rafk yake na wala hajawah Ongea nae , ko mmakonde aache shobo Kwa king wetu
[emoji23][emoji23][emoji23]yani alikiba hata kuzuga eti sio rafiki yangu nimeonana naye mara moja tu.
 
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
View attachment 2039826
[emoji16][emoji16]alikuja na kinywa ambacho hakijawahi kuonekana tanzania zaidi ya ukumbini siku ya harusi yake,domo anaupiga mwingi sana siku mziki ukimshinda anaendelea kula maisha
 
Alivyokuwa zuzu akiulizwa maswali kuhusu mambo ya mwenzake ilitakiwa ajue ni trick za waandishi wa habari ili kupata attention yq watu yeye anajibu,wakati ilitakiwa aseme hana cha kusema,kifupi anatumika kibwege na media
We ndio bwege, kwani kujibu hivyo amekosea wapi
 
Kwa lugha nyingine, dhambi alizonazo zinamtosha...hataki ongeza nyingine zaidi
 
Back
Top Bottom