Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislam miziki hamruhusiwi mnalazimisha tu kila leo huwa tunawaambia hapa muulize shehe wako,chunguza huko uarabuni din yako ilikotokea uone kama wanaimba ukiona wanaimba basi hao ni wakristo wakiarabuN aya gani katika Qur'an imekataza mziki?
Qaswida dufu sio mziki ule?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]yani alikiba hata kuzuga eti sio rafiki yangu nimeonana naye mara moja tu.Nachojua Ali kiba amesema Harmonize sio rafk yake na wala hajawah Ongea nae , ko mmakonde aache shobo Kwa king wetu
Mara kumi mwanangu wa Cinderela,..halafu mwana ana-kukataa..'😃Nachojua Ali kiba amesema Harmonize sio rafk yake na wala hajawah Ongea nae , ko mmakonde aache shobo Kwa king wetu
[emoji16][emoji16]alikuja na kinywa ambacho hakijawahi kuonekana tanzania zaidi ya ukumbini siku ya harusi yake,domo anaupiga mwingi sana siku mziki ukimshinda anaendelea kula maishaMsanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
View attachment 2039826
Tuwekee Aya ya Quran hapa inayokataza...bora angetoa sababu tofauti na dini coz hata mziki dini hairuhusu
sasa mnamlazimisha??maneno ya mkosaji, anasingizia dini kwa mziki ndo inaruhusu?
Mnafiki tu huyu. Kwani dini yake inaruhusu kuwa mwanamziki au kuimba anavyoimba?Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
View attachment 2039826
akikujibu hii unitagLeta aya katika quran iliyokataka mziki kama anaoufanya alikiba.
Tuwekee Aya ya Quran hapa inayokataza...
Leta aya katika quran iliyokataka mziki kama anaoufanya alikiba.
We ndio bwege, kwani kujibu hivyo amekosea wapiAlivyokuwa zuzu akiulizwa maswali kuhusu mambo ya mwenzake ilitakiwa ajue ni trick za waandishi wa habari ili kupata attention yq watu yeye anajibu,wakati ilitakiwa aseme hana cha kusema,kifupi anatumika kibwege na media
Kwahyo Ali Kiba anaimba kaswida?N aya gani katika Qur'an imekataza mziki?
Qaswida dufu sio mziki ule?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Akiwa anaandaa hiyo aya basi na mimi naomba niandaliwe aya inayokataza kubetiTuwekee Aya ya Quran hapa inayokataza...