Dully mkubwa sana kwa wasanii wengi.Mhh dully hajafika 47 mkuu sidhani
Aaaaah moise jiografii shida nn mzee wanguAnakupa moyo na kukupotosha.Maisha siyo hivyo unavyodhani.Kua uyaone ili uyajue.
Hapo kaka umenielewesha vyemaDully mkubwa sana kwa wasanii wengi.
Ametoa wimbo wa Julietta miaka ya 1999-2001 akiwa ameshafikisha miaka 19-20.
Usione anatoa nyimbo hadi Sasa ukajua wa kizazi cha Sasa.
Yule ndiyo muanzilishi wa kuomba bongo flava na rap katuni.
Kabla yake wengi waliimba hip hop kurap tu. Wachache walii hasa wasichana wa wakati huo.
Sasa na uzee wako hata JF tu umechelewa kujiunga yani wewe ni mzito sana watu ni wadogo ila wamejiunga JF toka 2012 hukoYan alikiba kanizidi miaka 7?, wakati sindelela inatoka 2006, nlikua na miaka 12, kwamba alikiba alikua na miaka 19 wakati huo?
Uko off topic mkuuSasa na uzee wako hata JF tu umechelewa kujiunga yani wewe ni mzito sana watu ni wadogo ila wamejiunga JF toka 2012 huko
We unamjua sana kuliko yeye?Hemed anazingua Hana iyo miaka hmed mwaka huu anatimiza miaka 38..
Miyeyusho mingi tu yule jamaa
Mr blue na necha nani mkubwa? Enzi hizo blue alikua dogo sana, nature alikua mjeba unatupangaHaya ongea sasa.
View attachment 3661548
Alafu wao ndio wanatuletea sisi habari zao na sisi sio watoto na educatedless kupokea bila kuzichambuaHuwa nashangaa sana mtu analeta mada kwenye jukwaa husika mnaanza kumshangaa mara ohh vile mara hivi...sasa mnataka nani alete? Na cha kushangaza zaidi hao hao mnaomchamba mnazurura huku kwny hili jukwaa..hao mecelebrities wanaishi maisha ya wazi so kuhoji sio dhambi...
Naunga mkono hoja. Apewe hiyo miaka ya King, naye aanze kupewa shikamo na wanafunzi wenzake wa form 3.King ni mtu mwema sana.Hiyo miaka inayokosekana,kwa kadiri ya hesabu zako,amekugawia wewe bure.Ishi nayo.
Andika usitishike na maneno ya humu jukwaani kila mtu kujifanya yeye ndo mwanaume kweli kisa tu haandiki yanayo wahusu wanaume wenzao...kumbe nyuma ya keyboard afadhali ya juzi....Alafu wao ndio wanatuletea sisi habari zao na sisi sio watoto na educatedless kupokea bila kuzichambua
Una marinda mkuu?Naunga mkono hoja. Apewe hiyo miaka ya King, naye aanze kupewa shikamo na wanafunzi wenzake wa form 3.
Hahahaa 🤣 Asante sana kalpana nimekuelewa sanaAndika usitishike na maneno ya humu jukwaani kila mtu kujifanya yeye ndo mwanaume kweli kisa tu haandiki yanayo wahusu wanaume wenzao...kumbe nyuma ya keyboard afadhali ya juzi....
Aisee! dogo kama umekuja kwa gia ya kurushiana makombora we sema tu, mimi niko tayari.Una marinda mkuu?
Nisikilize kijana hujaja KISTARABU unafikiri nikupokeeje kijana?Aisee! dogo kama umekuja kwa gia ya kurushiana makombora we sema tu, mimi niko tayari.
Sipendi kukuvaa kwa nyuma ila ikibidi nitafanya hivyo.