Sasa ndiyo uonyeshe kama hayo si maagizo kinyume chake ukae kimya na usipinge kitu ambacho huna elimu nacho huu ni ujinga ulio chupa mpaka.Huh!
Kwamba ni maagizo ya mungu na hivyo hakijatungwa.
We huoni hii ni imani yako.
Mimi ambaye sina imani kama yako huwezi niambia hayo ni maagizo ya mungu.
Lazima nikione kitabu kilichotungwa kwasababu sina imani ya kiislamu.
We jamaa!Sasa ndiyo uonyeshe kama hayo si maagizo kinyume chake ukae kimya na usipinge kitu ambacho huna elimu nacho huu ni ujinga ulio chupa mpaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatuna muda kubishana ujingaTuna kubaliana nae yuko sawa
[emoji81][emoji81]ila Christians wanafiki sana yani hawana mambo mengi wana kukubalia tu bila.kelele ila ingekua upande wa pili ingekua fujo apo
Wewe ni chenga kama Alikiba mwenyewe. Hizo dini za waarabu na Wazungu zinakufanya uwe mjinga kiasi hiki.Acha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi.
Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki.
Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn.
Hence umeithibitisha comment yangu ni ukweli mtupuSijali kuhusu comment yako hapo juu.
Ila ningekuwa karibu na wewe ningehakikisha unakufa kifo kibaya sana.
Usingetokwa na damu hata sehemu moja.
Na nisingekuacha hata na alama ya uvimbe mwilini mwako.
Umbwa wewe
Hakuna sehemu niliyosema kwamba kitabu ni kimoja. Bali natetea kuhusu kitabu ninacho kiamini, yaani Qur'aan.We jamaa!
Umeifunga akili yako kwenye boksi la kwamba kitabu cha dini kipo kimoja duniani. Namna hii huwezi kuwa na busara kamwe.
Sijawahi kukisoma. Kama wakithibitisha ujinga wangu, nitakubali na wstakuwa sahihi.Ushawahi kusoma Baghavad Gita?
Vipi, unahisi ni sahihi wahindu kukuita wewe mjinga na kukwambia uthibitishe kama Gita si maandishi yanayomhusu lord Krishna.
.
Basi ujue kuna dini zaidi ya moja, na kitabu zaidi ya kimoja cha dini. Na idadi ya miungu kulingana na imani ya mtu.Hakuna sehemu niliyosema kwamba kitabu ni kimoja. Bali natetea kuhusu kitabu ninacho kiamini, yaani Qur'aan.
Wenye vitabu vyao watajitetea kwa wakati wao.
Sijawahi kukisoma. Kama wakithibitisha ujinga wangu, nitakubali na wstakuwa sahihi.
Endapo nikikanusha lazima nithibitishe kijana.
Logically maana yake watu wametia logic zao kutafairi dini,Hivyo ukisema hivyo maana yake pia hayo ni mawazo ya watu walikaa wakaona kwa mtazamo wao dini itakuwa ni mawazo ya watu.Logicaly ni kwamba dini ni ubunifu wa mtu
Dini imekuja kwa ajili ya watu na wala watu hawakuja kwa ajili ya dini.Alianza mtu ndio zikaja dini
Dini ni mfumo ulioandaliwa ili binadamu aufuate.Dini haijaanzisha
Naomba unieleze mkuu kwa uchache tu maana ya atheist ni ipi ili nipate kuweka hoja yangu sawa kutokana na definition yako.Mpaka hapo utaona atheist ni default position ambayo kila mtu kaipitia
We acha halafu huyo jamaa sasa ukimwangalia hana maadili ni msela tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
{ Wakristo tumeruhusiwa kuimba na toka zama za Manabii Nyimbo ziliimbwa.}Uislamu hauna makosa hata kidogo.
Ila sisi binadamu ndo tuna makosa.
Linapotokea tatizo kuhusu Waislamu basi walaumu Waislamu na usiulaumu Uislamu.
Nani katika hii dunia hajawahi kukosea?
Kwani ukristo unaruhusu kuimba?
Na mbona wakristo wanaimba mpaka makanisani?
Muhamadi ndio mtu wa kwanza kusilimu na kuwa Mwislamu.Quran haipo kimya
( قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَتَّخِذُ وَلِيًّا فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ يُطْعِمُ وَلَا يُطْعَمُ ۗ قُلْ إِنِّي أُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ أَوَّلَ مَنْ أَسْلَمَ ۖ وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُشْرِكِينَ )
الأنعام (14) Al-An'aam
Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina.
Kwa kuwa ndiye wa kwanza kusilimu kuonyesha hapo awali hakuwa muislamu na ndiye sasa anasema yeye ndiyo muislamu wa kwanza na mwanzilishi wa uislamu ambao haijawahi kuwepo kabla yake
Hili ni sahihi kabisa japo watabisha. Hakuna uislamu kabla ya jamaa aliyemuoa bi Aisha (9) wakati yeye akiwa na 56 na pia hakuna uislamu bila kufuata nguzo 5 ikiwemo kukiri/onyesha/fanya shahada. Hakuna mtume wala nabii yoyote kabla ya muddy aliyewahi fanya shahada wala fuata nguzo 5.Muhamadi ndio mtu wa kwanza kusilimu na kuwa Mwislamu.
Wakafuata wake zake.
Wakafuata baadhi ya watu.
Yakafuata Majini.
Nyuma ya Muhamadi hakuna kumbukukumbu zozote za Uislamu.
La hebu semeni ni Nabii gani alifuata Nguzo 5 za Kiislamu, kabla ya Muhammadi.
Hawa jamaa kusema urongo ili kutetea dini hawajambo.
Uislam sio dini .Maana ya uislam ni watenda mema.Watu wote ni watenda mema.Ukiwa mkiristo au sio mkristo lakini ukatenda mema utaitwa muislam.Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"
Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.
Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾♂️
=====
Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"
Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"
"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"
Kiba anasema, " ni dini uliyozaliwa nayo".Uislam sio dini .Maana ya uislam ni watenda mema.Watu wote ni watenda mema.Ukiwa mkiristo au sio mkristo lakini ukatenda mema utaitwa muislam.
Ili uwe Mkristo ni lazima ukiri kuwaHili ni sahihi kabisa japo watabisha. Hakuna uislamu kabla ya jamaa aliyemuoa bi Aisha (9) wakati yeye akiwa na 56 na pia hakuna uislamu bila kufuata nguzo 5 ikiwemo kukiri/onyesha/fanya shahada. Hakuna mtume wala nabii yoyote kabla ya muddy aliyewahi fanya shahada wala fuata nguzo 5.
Unaweza kunitajia mtenda mema mmoja kabla ya Muhamadi ambaye kwa maneno yako alikuwa ni Mwislamu ?Uislam sio dini .Maana ya uislam ni watenda mema.Watu wote ni watenda mema.Ukiwa mkiristo au sio mkristo lakini ukatenda mema utaitwa muislam.
Maana ya mtu kuwa muislam ,ni kwamba huyo mtu ni mtenda mema.Watenda mema wanaitwa waislamu.Tafuta kwenye kamusi.Kwa hiyo hata wakristo ni watenda mema.Yaan ni waislamu.Unaweza kunitajia mtenda mema mmoja kabla ya Muhamadi ambaye kwa maneno yako alikuwa ni Mwislamu ?
Acheni uongo mnapo iongelea dini yenu.
Ila mwenzio Kiba anadai uislamu ni dini na si nomino inayomaanisha "mtenda mema"Maana ya mtu kuwa muislam ,ni kwamba huyo mtu ni mtenda mema.Watenda mema wanaitwa waislamu.Tafuta kwenye kamusi.Kwa hiyo hata wakristo ni watenda mema.Yaan ni waislamu.