Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Huh!

Kwamba ni maagizo ya mungu na hivyo hakijatungwa.
We huoni hii ni imani yako.
Mimi ambaye sina imani kama yako huwezi niambia hayo ni maagizo ya mungu.
Lazima nikione kitabu kilichotungwa kwasababu sina imani ya kiislamu.
Sasa ndiyo uonyeshe kama hayo si maagizo kinyume chake ukae kimya na usipinge kitu ambacho huna elimu nacho huu ni ujinga ulio chupa mpaka.
 
Sasa ndiyo uonyeshe kama hayo si maagizo kinyume chake ukae kimya na usipinge kitu ambacho huna elimu nacho huu ni ujinga ulio chupa mpaka.
We jamaa!
Umeifunga akili yako kwenye boksi la kwamba kitabu cha dini kipo kimoja duniani. Namna hii huwezi kuwa na busara kamwe.
.
Ushawahi kusoma Baghavad Gita?
Vipi, unahisi ni sahihi wahindu kukuita wewe mjinga na kukwambia uthibitishe kama Gita si maandishi yanayomhusu lord Krishna.
.
Au unataka kusema dini zote zipo sahihi?
 
Kwa.maana hyo mm nikimza mtot kabla ya kumbatiza anakuwa mwislamu inakuwaje wakt wazaz wake Ni wakristo hajafikiri saawaswa huyo kjn poor thinking
 
Acha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi.

Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki.

Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn.
Wewe ni chenga kama Alikiba mwenyewe. Hizo dini za waarabu na Wazungu zinakufanya uwe mjinga kiasi hiki.
 
Sijali kuhusu comment yako hapo juu.
Ila ningekuwa karibu na wewe ningehakikisha unakufa kifo kibaya sana.
Usingetokwa na damu hata sehemu moja.
Na nisingekuacha hata na alama ya uvimbe mwilini mwako.
Umbwa wewe
Hence umeithibitisha comment yangu ni ukweli mtupu
 
We jamaa!
Umeifunga akili yako kwenye boksi la kwamba kitabu cha dini kipo kimoja duniani. Namna hii huwezi kuwa na busara kamwe.
Hakuna sehemu niliyosema kwamba kitabu ni kimoja. Bali natetea kuhusu kitabu ninacho kiamini, yaani Qur'aan.

Wenye vitabu vyao watajitetea kwa wakati wao.
Ushawahi kusoma Baghavad Gita?
Vipi, unahisi ni sahihi wahindu kukuita wewe mjinga na kukwambia uthibitishe kama Gita si maandishi yanayomhusu lord Krishna.
.
Sijawahi kukisoma. Kama wakithibitisha ujinga wangu, nitakubali na wstakuwa sahihi.

Endapo nikikanusha lazima nithibitishe kijana.
 
Basi
Hakuna sehemu niliyosema kwamba kitabu ni kimoja. Bali natetea kuhusu kitabu ninacho kiamini, yaani Qur'aan.

Wenye vitabu vyao watajitetea kwa wakati wao.

Sijawahi kukisoma. Kama wakithibitisha ujinga wangu, nitakubali na wstakuwa sahihi.

Endapo nikikanusha lazima nithibitishe kijana.
Basi ujue kuna dini zaidi ya moja, na kitabu zaidi ya kimoja cha dini. Na idadi ya miungu kulingana na imani ya mtu.
Hivyo sio kila mtu atapokea imani yako.
Hivyo wewe unapaswa kujua hili na Alikiba anapaswa kujua hili pia kabla hajamjumuisha kila mtu kwenye dini yake.
 
Logicaly ni kwamba dini ni ubunifu wa mtu
Logically maana yake watu wametia logic zao kutafairi dini,Hivyo ukisema hivyo maana yake pia hayo ni mawazo ya watu walikaa wakaona kwa mtazamo wao dini itakuwa ni mawazo ya watu.

So na mimi niseme tu kwamba sawa dini ni mawazo ya mtu kwa mujibu wa maoni yako na watu wengine,na maoni hayapigwi nyundo.
Alianza mtu ndio zikaja dini
Dini imekuja kwa ajili ya watu na wala watu hawakuja kwa ajili ya dini.

Hivyo lazima aanze mtu kwanza kuja kisha ndio ije dini,kwa sababu dini inakaa kwa watu,
sasa vipi iwepo dini kama hakuna watu.

Kwa hiyo lengo la dini ndio linafanya aanze kuja mtu kwanza kisha ije dini.

Dini haijaanzisha
Dini ni mfumo ulioandaliwa ili binadamu aufuate.

kwa hiyo aliyeanzisha huo mfumo wa dini ndio aliyeauanzisha mtu akaja duniani.

Hivyo mtu na dini vyote vimeletwa tu na Mungu,so huwezi kuituhumu dini kwamba haijaleta mtu wakati hiyo iko wazi kabisa inafahamika.
Mpaka hapo utaona atheist ni default position ambayo kila mtu kaipitia
Naomba unieleze mkuu kwa uchache tu maana ya atheist ni ipi ili nipate kuweka hoja yangu sawa kutokana na definition yako.
 
Uislamu hauna makosa hata kidogo.
Ila sisi binadamu ndo tuna makosa.
Linapotokea tatizo kuhusu Waislamu basi walaumu Waislamu na usiulaumu Uislamu.
Nani katika hii dunia hajawahi kukosea?
Kwani ukristo unaruhusu kuimba?
Na mbona wakristo wanaimba mpaka makanisani?
{ Wakristo tumeruhusiwa kuimba na toka zama za Manabii Nyimbo ziliimbwa.}

Hesabu 21:17
Ndipo Israeli wakaimba wimbo huu; Bubujika Ee kisima; kiimbieni;

1 Mambo ya Nyakati 15:16 Kisha Daudi akamwambia mkuu wa Walawi, kwamba awaagize ndugu zao waimbaji, pamoja na vyombo vyao vya kupigia ngoma, vinanda, na vinubi, na matoazi, wavipige na kupaza sauti kwa furaha.

(Maana ya Zaburi ni Nyimbo.)

Zaburi 98:5
Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi, Kwa kinubi na sauti ya zaburi.

Mathayo 26:30 Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni.
Marko 14:26 Nao walipokwisha kuimba walitoka kwenda mlima wa Mizeituni.

1 Wakorintho 14:15 Imekuwaje, basi? Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia; mtaimba kwa roho, tena nitaimba kwa akili pia.
Ufunuo wa Yohana 5:9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,

Ufunuo wa Yohana 14:3 na kuimba wimbo mpya mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele ya wale wenye uhai wanne, na wale wazee; wala hapana mtu aliyeweza kujifunza wimbo ule, ila wale mia na arobaini na nne elfu, walionunuliwa katika nchi.

Ufunuo wa Yohana 15:3 Nao wauimba wimbo wa Musa, mtumwa wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema, Ni makuu, na ya ajabu, matendo yako, Ee Bwana Mungu Mwenyezi; Ni za haki, na za kweli, njia zako, Ee Mfalme wa mataifa.

[ Kwa Mwislamu anayedhubutu kuimba anamkufuru Mungu wake. kwakuwa hakuna mahali waliporuhusiwa kuimba.]
 
Quran haipo kimya

( قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَتَّخِذُ وَلِيًّا فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ يُطْعِمُ وَلَا يُطْعَمُ ۗ قُلْ إِنِّي أُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ أَوَّلَ مَنْ أَسْلَمَ ۖ وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُشْرِكِينَ )

الأنعام (14) Al-An'aam

Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina.

Kwa kuwa ndiye wa kwanza kusilimu kuonyesha hapo awali hakuwa muislamu na ndiye sasa anasema yeye ndiyo muislamu wa kwanza na mwanzilishi wa uislamu ambao haijawahi kuwepo kabla yake
Muhamadi ndio mtu wa kwanza kusilimu na kuwa Mwislamu.

Wakafuata wake zake.

Wakafuata baadhi ya watu.

Yakafuata Majini.

Nyuma ya Muhamadi hakuna kumbukukumbu zozote za Uislamu.

La hebu semeni ni Nabii gani alifuata Nguzo 5 za Kiislamu, kabla ya Muhammadi.

Hawa jamaa kusema urongo ili kutetea dini hawajambo.
 
Hili ni sahihi kabisa japo watabisha. Hakuna uislamu kabla ya jamaa aliyemuoa bi Aisha (9) wakati yeye akiwa na 56 na pia hakuna uislamu bila kufuata nguzo 5 ikiwemo kukiri/onyesha/fanya shahada. Hakuna mtume wala nabii yoyote kabla ya muddy aliyewahi fanya shahada wala fuata nguzo 5.
 
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"

Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.

Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾‍♂️

=====

Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"

Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"

"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"

Uislam sio dini .Maana ya uislam ni watenda mema.Watu wote ni watenda mema.Ukiwa mkiristo au sio mkristo lakini ukatenda mema utaitwa muislam.
 
Uislam sio dini .Maana ya uislam ni watenda mema.Watu wote ni watenda mema.Ukiwa mkiristo au sio mkristo lakini ukatenda mema utaitwa muislam.
Kiba anasema, " ni dini uliyozaliwa nayo".
Inabidi ajifunze kabla ya kuongea mitandaoni.
 
Hili ni sahihi kabisa japo watabisha. Hakuna uislamu kabla ya jamaa aliyemuoa bi Aisha (9) wakati yeye akiwa na 56 na pia hakuna uislamu bila kufuata nguzo 5 ikiwemo kukiri/onyesha/fanya shahada. Hakuna mtume wala nabii yoyote kabla ya muddy aliyewahi fanya shahada wala fuata nguzo 5.
Ili uwe Mkristo ni lazima ukiri kuwa

" Yesu Kristo ni Bwana na Mwokozi Wako " na utii maagizo yake yote.

Hata uwe mwema kiasi gani, bila kukiri hivyo huwezi kuwa Mkristo.
Kumbuka hapa ukisema mtu ni mwema ni kwamba unamwona mahusiano yake na watu.
Lakini je unajua mahusiano yake na Mungu?
Kama ni mchawi au jambazi na anaficha utajuaje.
Hivyo mwenye mamlaka ya kusema nani ni mwema ni Mungu peke yake.

Na kwa uhalisia Mwema ni Mungu peke yake. Binadamu wote wana hitilafu za dhambi na ni lazima watubu ili wapate msamaha kwa Mungu mwenyewe.
___________________________

Hivyo hivyo
Ili uwe Mwislamu ni lazima ukiri kuwa.

Hakuna Mungu Isipokuwa Allah, na Muhammadi ni Mtume Wake "

Tena maneno hayo unatakiwa uyatamke kwa lugha ya Kiarabu tu.
Ukiyatamka kwa lugha nyingine basi Kiri yako ni Batili.

Kutenda matendo mema bila kushika nguzo za 5 za Kiislamu ikiwepo hiyo Shahada sio Uislamu.

Huyo anayesema Uislamu bila Muhammadi ni mtu asiye ielewa misingi ya dini ya Kiislamu.
wengi wao wanafuata mkumbo tu, hawaelewi lipi ni lipi.
 
Unaweza kunitajia mtenda mema mmoja kabla ya Muhamadi ambaye kwa maneno yako alikuwa ni Mwislamu ?

Acheni uongo mnapo iongelea dini yenu.
Maana ya mtu kuwa muislam ,ni kwamba huyo mtu ni mtenda mema.Watenda mema wanaitwa waislamu.Tafuta kwenye kamusi.Kwa hiyo hata wakristo ni watenda mema.Yaan ni waislamu.
 
Maana ya mtu kuwa muislam ,ni kwamba huyo mtu ni mtenda mema.Watenda mema wanaitwa waislamu.Tafuta kwenye kamusi.Kwa hiyo hata wakristo ni watenda mema.Yaan ni waislamu.
Ila mwenzio Kiba anadai uislamu ni dini na si nomino inayomaanisha "mtenda mema"
 
Back
Top Bottom