Yule dogo hana akili za kibiashara hata kidogo, ndiyo maana licha ya mbeleko zilizokuwa zikimbeba lakini leo hii anazidiwa hata Mmakonde ambaye hivi karibuni amefanya remix ya kwaya.Tatizo itaathiri biashara yake
Hawa vijana need to be taught issues za public speaking
Ni upuuzi uliopitiliza kuuamini huu upumbavu.ibrahim yule baba wa isaka aliye baba wa yakobo aliye baba wa yuda
View attachment 2133963
Kiongozi hiki unachokiita upuuzi sisi kwetu ni habari njema inayotubeba sana katika maisha yetu ya siku kwa siku. Tuna nguvu, tunashinda, tunaishi, tuna matumaini na hatuogopi kwa sababu tu ya huu unaouona upuuzi. Mungu ni mwema sanaNi upuuzi uliopitiliza kuuamini huu upumbavu.
Wengine tunapeta tu, tunaishi, tuna nguvu, tunashinda na mambo yananyooka bila ya kuwa brainwashed na huo upuuzi.Kiongozi hiki unachokiita upuuzi sisi kwetu ni habari njema inayotubeba sana katika maisha yetu ya siku kwa siku. Tuna nguvu, tunashinda, tunaishi, tuna matumaini na hatuogopi kwa sababu tu ya huu unaouona upuuzi. Mungu ni mwema sana
Uislam sio dini .Maana ya uislam ni watenda mema.Watu wote ni watenda mema.Ukiwa mkiristo au sio mkristo lakini ukatenda mema utaitwa muislam.
Mimi nilipokuwa kama wewe mambo yalikufa kabisa mpaka nilivyompata Yesu Mwokozi wangu mpaka nimeoa na maisha yanaenda kwa raha sana. Sasa huu upuuzi umenisaidia sana najiuliza nilichelewa wapi kuufuata huo upuuzi. Nakuombea tu siku moja Mungu tunaemwamini siku moja akuzukie upone. Akuzukie kwa wema au hata kwa viboko kidogo lakini usifeWengine tunapeta tu, tunaishi, tuna nguvu, tunashinda na mambo yananyooka bila ya kuwa brainwashed na huo upuuzi.
We keep on thriving [emoji123][emoji123]
Kabisa, siku moja mungu Krishna akuzukie na wewe ili umuamini Krishna na kuwa mhindu. Siku moja Krishna akushushie upendo na elimu ili uachane na wakoloni uwe mhindu🤝Mimi nilipokuwa kama wewe mambo yalikufa kabisa mpaka nilivyompata Yesu Mwokozi wangu mpaka nimeoa na maisha yanaenda kwa raha sana. Sasa huu upuuzi umenisaidia sana najiuliza nilichelewa wapi kuufuata huo upuuzi. Nakuombea tu siku moja Mungu tunaemwamini siku moja akuzukie upone. Akuzukie kwa wema au hata kwa viboko kidogo lakini usife
Huyo Krishna ni nani mbele ya Yehova. Atapasuka vipande siku hasira ya Bwana itakapowaka na kuvitupilia mbali vinyago vyote. Ndipo mataifa yatakapotambua Mungu wetu ndiye Bwana. UmetaarifiwaKabisa, siku moja mungu Krishna akuzukie na wewe ili umuamini Krishna na kuwa mhindu. Siku moja Krishna akushushie upendo na elimu ili uachane na wakoloni uwe mhindu🤝
Mungu wa kwenye hadithi za kufikiria(Jehovah) ni mungu mkatili sana kwenye hizo hadithi zenu, aliejaa upendeleo. Ukisoma Yoshua 10 utaona jinsi anavyoshusha barafu kuua binadamu wasio na hatia kwenye vita. Mungu wako anaenezwa na wakoloni waliomtunga kwenye vitabu🤦🏾♂️Huyo Krishna ni nani mbele ya Yehova. Atapasuka vipande siku hasira ya Bwana itakapowaka na kuvitupilia mbali vinyago vyote. Ndipo mataifa yatakapotambua Mungu wetu ndiye Bwana. Umetaarifiwa
Wewe ukiziita hadithi za kufikirika huku ukisema ni mkatili Mimi namtukuza Yehova kuwa unamfahamu kuwa yupo na huchukizwa upumbavu. Tatizo ulilonalo ni chuki dhidi ya weupe kwa kukuzidi akili wakakukoloni. Fanya jambo lenye faida, badala ya kuwachukia jifunze walivyofanikiwa ili ufanikiwe. Acha kuchukia wengine. Mwambie Yehova kuwa unataka kuwa kama wao halafu Fanya juhudi Fanya kazi kwa neema ya Yehova. Tunafanikiwa kwa uwezo wa Mungu.Mungu wa kwenye hadithi za kufikiria(Jehovah) ni mungu mkatili sana kwenye hizo hadithi zenu, aliejaa upendeleo. Ukisoma Yoshua 10 utaona jinsi anavyoshusha barafu kuua binadamu wasio na hatia kwenye vita. Mungu wako anaenezwa na wakoloni waliomtunga kwenye vitabu🤦🏾♂️
Biblia yenu ndiyo imeonesha ni mkatili, sio mimi bali Yoshua 10.Wewe ukiziita hadithi za kufikirika huku ukisema ni mkatili Mimi namtukuza Yehova kuwa unamfahamu kuwa yupo na huchukizwa upumbavu. Tatizo ulilonalo ni chuki dhidi ya weupe kwa kukuzidi akili wakakukoloni. Fanya jambo lenye faida, badala ya kuwachukia jifunze walivyofanikiwa ili ufanikiwe. Acha kuchukia wengine. Mwambie Yehova kuwa unataka kuwa kama wao halafu Fanya juhudi Fanya kazi kwa neema ya Yehova. Tunafanikiwa kwa uwezo wa Mungu.
Kufanikiwa kiuchumi haimaanishi kuwa na furaha ya nafs "saada" (felicity) Kimaisha.Biblia yenu ndiyo imeonesha ni mkatili, sio mimi bali Yoshua 10.
Hakuna nchi inayofanikiwa kwa maombi.
China 75% hawana dini na hawaamini Mungu yoyote na wanafanikiwa kiuchumi.
Sasa wewe jidanganye kuwa utafanikiwa kwa maombi huku ukiifunga akili yako isipate elimu yoyote ile ya dini zaidi ya biblia na kujikuta unakosa busara inayopatikana kwa kusoma vitabu vya dini tofauti.
Jitoe kwenye boksi kwamba kuna kitabu kimoja tu cha dini, na huu utakua mwanzo wa wewe kuwa na busara.
Upo sahihi.Kufanikiwa kiuchumi haimaanishi kuwa na furaha ya nafs "saada" (felicity) Kimaisha.
Na wote wana jiita WaislamuUpo sahihi.
Hata pia kuwa na dini haimaanishi kuwa na furaha ya nafsi.
Angalia Sudani, dini zimesababisha vita zisizoisha. Matokeo yake wamejigawa Kaskazini na Kusini na bado hawana amani wala furaha. Ni vita tu. Na yote kisa dini.
Una uhakika au unaleta story za vijiwe vya draft.Tatizo la Waislamu ni kuyakubali Majini yawe Maislamu yenzao.
Na kuwapa Majini nafasi ya kuzungumza, badala yao.
Yakisema ni Maislamu wanakubali.
Yakisema ni Maibirisi mashetani wanayakubalia tu.
Waislamu watu wanayasikiliza Majini tu. yakisema chochote wao ni kukubali tu.
Hata hawana shida ya kuyauliza yanaswali wapi ?
Yanahiji wapi ?
Hata kuyauliza yamefanya wema upi hawataki.
Uislamu umebaki kile tu kinachosemwa na Majini.
Anayepinga na aseme hapa, tuzungumze.
Wewe una ubishi wa kitoto. Sikuambii kuwa maombi yatanisaidia au yatanifanikisha. Nakumbuka kuwa maombi yameshanisaidia na yameshanifanikisha bila kutafuta elimu za vinyago unazosuggest hapa. Yehova ana nguvu nyingi sana na yupo hapa kwa ajili ya watu kama Mimi na wake wote wanaomwamini. Wewe endelea na elimu za kukupa maendeleo wakati sisi tumeshaendelea kwa nguvu za Yehova. Maandiko ninayosoma sio average books za motivational speakers wakina krishna. Biblia ni sauti yenye Pumzi ya Mungu.Biblia yenu ndiyo imeonesha ni mkatili, sio mimi bali Yoshua 10.
Hakuna nchi inayofanikiwa kwa maombi.
China 75% hawana dini na hawaamini Mungu yoyote na wanafanikiwa kiuchumi.
Sasa wewe jidanganye kuwa utafanikiwa kwa maombi huku ukiifunga akili yako isipate elimu yoyote ile ya dini zaidi ya biblia na kujikuta unakosa busara inayopatikana kwa kusoma vitabu vya dini tofauti.
Jitoe kwenye boksi kwamba kuna kitabu kimoja tu cha dini, na huu utakua mwanzo wa wewe kuwa na busara.