Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Tatizo itaathiri biashara yake

Hawa vijana need to be taught issues za public speaking
Yule dogo hana akili za kibiashara hata kidogo, ndiyo maana licha ya mbeleko zilizokuwa zikimbeba lakini leo hii anazidiwa hata Mmakonde ambaye hivi karibuni amefanya remix ya kwaya.
 
Ni upuuzi uliopitiliza kuuamini huu upumbavu.
Kiongozi hiki unachokiita upuuzi sisi kwetu ni habari njema inayotubeba sana katika maisha yetu ya siku kwa siku. Tuna nguvu, tunashinda, tunaishi, tuna matumaini na hatuogopi kwa sababu tu ya huu unaouona upuuzi. Mungu ni mwema sana
 
Wengine tunapeta tu, tunaishi, tuna nguvu, tunashinda na mambo yananyooka bila ya kuwa brainwashed na huo upuuzi.
We keep on thriving [emoji123][emoji123]
 
Uislam sio dini .Maana ya uislam ni watenda mema.Watu wote ni watenda mema.Ukiwa mkiristo au sio mkristo lakini ukatenda mema utaitwa muislam.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah
 
Wengine tunapeta tu, tunaishi, tuna nguvu, tunashinda na mambo yananyooka bila ya kuwa brainwashed na huo upuuzi.
We keep on thriving [emoji123][emoji123]
Mimi nilipokuwa kama wewe mambo yalikufa kabisa mpaka nilivyompata Yesu Mwokozi wangu mpaka nimeoa na maisha yanaenda kwa raha sana. Sasa huu upuuzi umenisaidia sana najiuliza nilichelewa wapi kuufuata huo upuuzi. Nakuombea tu siku moja Mungu tunaemwamini siku moja akuzukie upone. Akuzukie kwa wema au hata kwa viboko kidogo lakini usife
 
Kabisa, siku moja mungu Krishna akuzukie na wewe ili umuamini Krishna na kuwa mhindu. Siku moja Krishna akushushie upendo na elimu ili uachane na wakoloni uwe mhindu🤝
 
Huyo Krishna ni nani mbele ya Yehova. Atapasuka vipande siku hasira ya Bwana itakapowaka na kuvitupilia mbali vinyago vyote. Ndipo mataifa yatakapotambua Mungu wetu ndiye Bwana. Umetaarifiwa
 
Safi sana Ali kiba, uko sahihi. Japo kuna wa2 watakushambulia,,,
 
Huyo Krishna ni nani mbele ya Yehova. Atapasuka vipande siku hasira ya Bwana itakapowaka na kuvitupilia mbali vinyago vyote. Ndipo mataifa yatakapotambua Mungu wetu ndiye Bwana. Umetaarifiwa
Mungu wa kwenye hadithi za kufikiria(Jehovah) ni mungu mkatili sana kwenye hizo hadithi zenu, aliejaa upendeleo. Ukisoma Yoshua 10 utaona jinsi anavyoshusha barafu kuua binadamu wasio na hatia kwenye vita. Mungu wako anaenezwa na wakoloni waliomtunga kwenye vitabu🤦🏾‍♂️
 
Wewe ukiziita hadithi za kufikirika huku ukisema ni mkatili Mimi namtukuza Yehova kuwa unamfahamu kuwa yupo na huchukizwa upumbavu. Tatizo ulilonalo ni chuki dhidi ya weupe kwa kukuzidi akili wakakukoloni. Fanya jambo lenye faida, badala ya kuwachukia jifunze walivyofanikiwa ili ufanikiwe. Acha kuchukia wengine. Mwambie Yehova kuwa unataka kuwa kama wao halafu Fanya juhudi Fanya kazi kwa neema ya Yehova. Tunafanikiwa kwa uwezo wa Mungu.
 
Biblia yenu ndiyo imeonesha ni mkatili, sio mimi bali Yoshua 10.
Hakuna nchi inayofanikiwa kwa maombi.
China 75% hawana dini na hawaamini Mungu yoyote na wanafanikiwa kiuchumi.
Sasa wewe jidanganye kuwa utafanikiwa kwa maombi huku ukiifunga akili yako isipate elimu yoyote ile ya dini zaidi ya biblia na kujikuta unakosa busara inayopatikana kwa kusoma vitabu vya dini tofauti.
Jitoe kwenye boksi kwamba kuna kitabu kimoja tu cha dini, na huu utakua mwanzo wa wewe kuwa na busara.
 
Kufanikiwa kiuchumi haimaanishi kuwa na furaha ya nafs "saada" (felicity) Kimaisha.
 
Upo sahihi.
Hata pia kuwa na dini haimaanishi kuwa na furaha ya nafsi.
Angalia Sudani, dini zimesababisha vita zisizoisha. Matokeo yake wamejigawa Kaskazini na Kusini na bado hawana amani wala furaha. Ni vita tu. Na yote kisa dini.
 
Na wote wana jiita Waislamu
Pamoja na Wasomali wa Somali.
 
Tatizo la Waislamu ni kuyakubali Majini yawe Maislamu yenzao.

Na kuwapa Majini nafasi ya kuzungumza, badala yao.

Yakisema ni Maislamu wanakubali.
Yakisema ni Maibirisi mashetani wanayakubalia tu.

Waislamu watu wanayasikiliza Majini tu. yakisema chochote wao ni kukubali tu.

Hata hawana shida ya kuyauliza yanaswali wapi ?
Yanahiji wapi ?

Hata kuyauliza yamefanya wema upi hawataki.
Uislamu umebaki kile tu kinachosemwa na Majini.

Anayepinga na aseme hapa, tuzungumze.
 
Una uhakika au unaleta story za vijiwe vya draft.
 
Biblia yenu ndiyo imeonesha ni mkatili, sio mimi bali Yoshua 10.
Hakuna nchi inayofanikiwa kwa maombi.
China 75% hawana dini na hawaamini Mungu yoyote na wanafanikiwa kiuchumi.
Sasa wewe jidanganye kuwa utafanikiwa kwa maombi huku ukiifunga akili yako isipate elimu yoyote ile ya dini zaidi ya biblia na kujikuta unakosa busara inayopatikana kwa kusoma vitabu vya dini tofauti.
Jitoe kwenye boksi kwamba kuna kitabu kimoja tu cha dini, na huu utakua mwanzo wa wewe kuwa na busara.
Wewe una ubishi wa kitoto. Sikuambii kuwa maombi yatanisaidia au yatanifanikisha. Nakumbuka kuwa maombi yameshanisaidia na yameshanifanikisha bila kutafuta elimu za vinyago unazosuggest hapa. Yehova ana nguvu nyingi sana na yupo hapa kwa ajili ya watu kama Mimi na wake wote wanaomwamini. Wewe endelea na elimu za kukupa maendeleo wakati sisi tumeshaendelea kwa nguvu za Yehova. Maandiko ninayosoma sio average books za motivational speakers wakina krishna. Biblia ni sauti yenye Pumzi ya Mungu.
 
Back
Top Bottom