Ali Kiba atangaza ujio wa ziara yake ya muziki ya ''Unforgettable"

Akiongea na waandishi wa habari muda mfupi uliopita Ali Kiba amesema kuwa Diamond ni msanii mzuri, ana mafanikio makubwa na anaiwakilisha vyema nchi yetu kimataifa. Ni kweli au King Kiba anazingua?
 
Kwa mtazamo wako unahisi Ali K amedanganya?!
 
Huyo msanii akili Hana hata hao east Africa wanaonekana nao ni wapuuzi kumbe Kiki yote alafu unaongea upuuzi
 
Akiongea na waandishi wa habari muda mfupi uliopita Ali Kiba amesema kuwa Diamond ni msanii mzuri, ana mafanikio makubwa na anaiwakilisha vyema nchi yetu kimataifa. Ni kweli au King Kiba anazingua?
Mh king kariakoo kayasema hayo?
 
uzuri wa msanii au taste ya nyimbo kwako mpaka uambiwe na mtu ? au ni utashi wako ?
 
Back
Top Bottom