Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Cc: Mtimti na jina la shemejio uliuliza, anaitwa MarianaNyumba ni ya demu wa Ali Kiba hati ya nyumba inaonyesha jina la Mariana nilisema hapa Ali Kiba anapenda umwinyi kujituma hataki kabisa demu sio Kampa nyumba peke yake alishawahi kumfanyia mpaka mama yake Kiba birthday party mbaya bingwa hakutoa hata mia demu pia katoa pesa za murano na iphone juu tatizo Kiba hajui kula na kipofu jokate kamuingiza choo cha kike mbaya zaidi jokate mbahili kinoma anapenda kuhongwa kinoma kazi kwake kiba
Ndio, ana gorofaKwani ana mjengo?
Ata wewe andika vitu vyenye uhakika Frank Gonga ni marioo hana ubavu wa kujenga ndio maana alifukuzwa na demu wake.
Yaani we unaamini hiyo nyumba ya mwanamke? Hiyo nyumba frank kaanza kuijenga miaka ya 2000 wkt yupo clouds. ....tumefanya sana bbq hapo. ...waulize wasanii wote wakubwa hapo bongo pamoja na watangazaji wa clouds kama unawajua watakwambia nyumba ya nani. ......ningeweka picha lkn hii thread sio ya mshkaji (frank)
Huyo mwanamke(mchumba ake)(wifi) huyu hapa
View attachment 263148
Ndio, ana gorofa
Ule mjengo wake hajahamia tu.... Licha ya kuonesha umekamilisha kumbe bado anaishi kwenye nyumba ya hisani
Kwani ana mjengo?
Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!
Nyinyi ndio wanaume mnaoolewa mjini hapo kwa kujifanya mnajua sana watu. .....unakataa hiyo nyumba sio ya frank? Sasa ya nani? Babaako?...demu gani mwenye ujanja wa kumfukuza frank? ...kama hujui mambo tulia uambiwe na sio kuwa mzushi
Mi hoja yangu ni kuwa nyumba ni ya Frank. ....frank namjua kitambo na tupo wote UK. ...toka anajenga hiyo nyumba mpk next month anakuja bongo kuikarabati
Alala mbelikwe guest houseHuyu mrembo ndio mwenye nyumba na ameichukua
Tunashukuru kwa taarifa kua uko UK lol....
Sasa ni kama ni ya Frank ni kweli kamtimua au napo tunadanganywa Mtimti
Alala mbelikwe guest house
nyumba ya frank hiyo,last time wadogo zake walikuwa wanaishi paleMkuu unapoteza muda kujaribu kupotosha ukweli...mwenye nyumba ni mwanamke na amesha mfukuza Alikiba
Apange tu nguo aweke kwenye zubeda ahamie kwa kidoti make hakuna namna,kumbe kale kabidada ndo kanampa jeuri ya kukoroma usiku.....dah kweli behind successful man there is women sio woman tu!!!
nyuma ya kiba kuna kundi la wanawake ha ha ha