Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Nyumba ni ya demu wa Ali Kiba hati ya nyumba inaonyesha jina la Mariana nilisema hapa Ali Kiba anapenda umwinyi kujituma hataki kabisa demu sio Kampa nyumba peke yake alishawahi kumfanyia mpaka mama yake Kiba birthday party mbaya bingwa hakutoa hata mia demu pia katoa pesa za murano na iphone juu tatizo Kiba hajui kula na kipofu jokate kamuingiza choo cha kike mbaya zaidi jokate mbahili kinoma anapenda kuhongwa kinoma kazi kwake kiba
Cc: Mtimti na jina la shemejio uliuliza, anaitwa Mariana
 
Last edited by a moderator:
Ata wewe andika vitu vyenye uhakika Frank Gonga ni marioo hana ubavu wa kujenga ndio maana alifukuzwa na demu wake.

Nyinyi ndio wanaume mnaoolewa mjini hapo kwa kujifanya mnajua sana watu. .....unakataa hiyo nyumba sio ya frank? Sasa ya nani? Babaako?...demu gani mwenye ujanja wa kumfukuza frank? ...kama hujui mambo tulia uambiwe na sio kuwa mzushi
 
Yaani we unaamini hiyo nyumba ya mwanamke? Hiyo nyumba frank kaanza kuijenga miaka ya 2000 wkt yupo clouds. ....tumefanya sana bbq hapo. ...waulize wasanii wote wakubwa hapo bongo pamoja na watangazaji wa clouds kama unawajua watakwambia nyumba ya nani. ......ningeweka picha lkn hii thread sio ya mshkaji (frank)

Mkuu unapoteza muda kujaribu kupotosha ukweli...mwenye nyumba ni mwanamke na amesha mfukuza Alikiba
 
Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!

Mjini hakuna baba mwenye tuzo kuna faza house 2......huyo dogo hela y tuzo c amalizie hekalu lake
 
Nyinyi ndio wanaume mnaoolewa mjini hapo kwa kujifanya mnajua sana watu. .....unakataa hiyo nyumba sio ya frank? Sasa ya nani? Babaako?...demu gani mwenye ujanja wa kumfukuza frank? ...kama hujui mambo tulia uambiwe na sio kuwa mzushi

Hahaha sasa unabisha frank ni msingi penenge.. Kaachika + kafeli, life ya kuuza sura si mchezo bado kidogo angeolewa.
 
Mi hoja yangu ni kuwa nyumba ni ya Frank. ....frank namjua kitambo na tupo wote UK. ...toka anajenga hiyo nyumba mpk next month anakuja bongo kuikarabati

Tunashukuru kwa taarifa kua uko UK lol....

Sasa ni kama ni ya Frank ni kweli kamtimua au napo tunadanganywa Mtimti
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru kwa taarifa kua uko UK lol....

Sasa ni kama ni ya Frank ni kweli kamtimua au napo tunadanganywa Mtimti

Aah kwani UK panatisha mama? Ni uamuzi tu ufanye maisha yako wapi. .......Frank hajamtimua kiba. ....ningeandika mengi lkn sitaki kuwa msemaji wao
 
Last edited by a moderator:
Apange tu nguo aweke kwenye zubeda ahamie kwa kidoti make hakuna namna,kumbe kale kabidada ndo kanampa jeuri ya kukoroma usiku.....dah kweli behind successful man there is women sio woman tu!!!
nyuma ya kiba kuna kundi la wanawake ha ha ha

Hahaaaa najitolea kirikuu y kumuhamisha mana najua anabegi tu la nguo n tuzo 6...
 
Back
Top Bottom