Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

[emoji23][emoji23][emoji23] Team domo naona wameumia sana na haya maneno ya Kiba, kwani Wasafi Festival ndio tamasha kubwa sana bongo? Asipopiga wasafi atapiga Fiesta keki ni kubwa mbona kila mtu atakula tu.
Kuna keki nyingine haziliki sawa dogo
 
Ali hapa kateleza wallah!!lakini washabiki wake tumsamehe bure itakuwa stress za Mke..Hata muonekano wake kwasasa unaonyesha hayupo sawa huyu jamaa.

Mimi naamini hata 7 Mosha ambaye ni Manager wake amekwisha mchoka.Na kama Kiba hatoamka ktk usingizi tutampoteza soon kwa stress ukiacha za mkewe lakini za maisha.Mana anakwenda kuyumba mazima na upande wa maisha.
Mkewe kafanyaje tena mkuu
 
Hivi diamond malaika?y msjiulize ata sku moja kuw jmaa nae vp??mavko katoka,harmonize katoka,alkiba leo kasema hv,nyie hamuoni jmaa atkua na mattzo yake pia?eeh??
Wametoka kisa maneno ya watu ,ko diamond hana tatizo na yeyote ko dogo tuliza ke...e
 
Back
Top Bottom