Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #3,461
ngoja waje team kiba
Hizi team wanaweza hata kupeana simu.
Yaani kuna watu wanamchukia kiba/diamond toka moyoni kabisa na Nina uhakika 99% ya hao wenyewe chuki hawajawahi kuonana na kiba or diamond.
Why umchukie mtu ambae hata hakujui?
Hanna mtu anazaliwa na chuki ila wanajifunza tu.
Hizi team mavi mavi za bongo ni janga kwa maendeleo ya muziki na maendeleo ya vijana wanaojituma.
Hivi huwezi kumpenda kiba bila kumchukia chibu? Na vice versa!!
matumbo
Puliiiz hapa hatuna Team mtuache tupumuwe, hapa tupo Ally Kiba Fans kwa raha zetu na kwa bundle zetu.
BTW hongera kwa kupita hapa tumepata salam kama umerecharge bundle maana usipopita kwenye uzi huu wananchi wanaamini kabisa hauna bundle.
Free country kabla haujatushangaa sisi kawashangae kwanza wapenzi wa Regge kila mwaka wanafanya Tamasha la Bob Marley day na uwashangae zaidi mashabiki wa Manchester, Arsenal, Chelsea na Liverpool wamewahi hata kukanyaga Uingereza?
Last edited by a moderator: