Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #3,481
hapana sio mwanamitindo ni mwanamuziki ila pia ana kipaji cha mpira wa miguu.mbeya city wanatafuta mshambuliaji km vp angepima upepo hko maana mziki inaonekana km umemkataa ila kuna watu wanamjaza ujinga anaendelea kusugua.ana watoto watatu wote wanaishi kwa bibi yeye yupo dusco inavyoonekana miaka ya badae vile vifaranga vitakuja kurithi blackberry
Dah! Jamaa utakuwa unanikubali sana, yaani kwa kuandika hivyo tu umeona nimetumia akili nyingi sana. Asante kwa kunikubali, lakini ukweli wala sikutumia akili nyingi, kwani wakati naandika hiyo ndo nilikuwa nimetoka kulala.
Kwa huku niliko niliiandika saa 8 usiku, after kupokea Simu ya familia na kuzungumza nayo. Huwa natumia akili nyingi kwa kazi zilizonileta huku, kwangu muziki ni burudani tu kama ilivyo soka.
Ukweli upi uliopindishwa? Kwamba maelezo yangu yamesema Nassib hakupata tuzo? Si kweli kwamba studio kuu ya Channel O iko SA? Si kweli kwamba studio kuu ya MTV Base iko Nigeria? Si kweli kwamba CHOAMVA ni Tuzo za kituo cha TV?
Kwa taarifa yako Tuzo zina sarakasi nyingi sana, unajua kama Kanye West aliwahi kupanda ghafla jukwaani na kuponda Beyonce kunyimwa Tuzo aliyokuwa akiwania na Taylor Swift? Yote hiyo ni kwa sababu ya sarakasi za Tuzo. Matola kakueleza kwamba Westside Connection walikuwa wakali watupu na walitoa nyimbo kali tupu na hawakuwahi kupata tuzo?
Ova
Ali kiba anajua sana kuimba kuliko wanamuziki wengi sana tz akiwemo diamond
Lakini ali kiba hajui "kufanya" muziki
Haha haaaaa uwiiiiii naona umepasua tezi dume!
Mimi simjui kabisa kumbe ni wa kitambo hivyo?
Mi mwenyewe nimeshangaa eti!
Ila Diva Beyonce alishashtukiaga akawaambia wawe wanakuja na IDs zao za siku zote! Duh kweli Kiba nomaa!
Hakunaaaaa,nampenda hadi natetemeka....lol Ms.Lincoln
nampenda Kibaaaaaa!! thats it
Umeona eeh?tokea huu uzi uanze nimeona ID's mpya ambazo sikuwahi kuziona kabla....ni hatari
Hatari kwakweli maana watu wanapoteza energy yao bure!
Jamani mwenye picha za Kiba atupiemo basi watu tuendelee kusuuzika!
Hilo hatujapinga ndo maana tupo hapa kumkosoa kwa busara kama ivo na kumuelewesha....Ali kiba anajua sana kuimba kuliko wanamuziki wengi sana tz akiwemo diamond
Lakini ali kiba hajui "kufanya" muziki
Hatari kwakweli maana watu wanapoteza energy yao bure!
Jamani mwenye picha za Kiba atupiemo basi watu tuendelee kusuuzika!
Huyu ndiye anayetuwekeaga sijui kapotelea wapi Ambition Boy
Kiba u r the best...marekebisho muhimu kama tulivokushauri maana kurudia rudia sio issue....much respect!Jaman picha za King plz...
Naomba unitajie tuzo yoyote duniani isiyolalamikiwa? Yoyote......
Unapindisha mantiki kwa kutumia mifano mfu
Ni sawa na useme Davido hastahili matuzo aliyopata kuanzia mwka jana hadi huu kwa kutumia mifano ya westside conn
Ali kiba anajua sana kuimba kuliko wanamuziki wengi sana tz akiwemo diamond
Lakini ali kiba hajui "kufanya" muziki
Haya pata radha.
Ukiwa umesoma au kupitia comments za humu, hili jambo limezungumzwa sana na fans wa Kiba nikiwemo mimi, na hii ndio tofauti na uzi wetu na uzi wa watu wengine, ambao huona wanaowashabikia wakoperfect hata kama wanakosea au kuikosea jamii kwa vitendo vichafu.
Hilo ulilosema liko wazi ni mpuuzi tu au shabiki maandazi ndiye anayeweza kukubishia, ila kwa sasa tulio humu tunafahamu na tunakubaliana na wewe moja kwa moja kuhusu uzembe huu. Kiba ana tungo nzuri sana, ambapo kwa Bongo waweza mshindanisha na Mwana FA, na ana sauti tamu hana mfano, na anatamka Swahili sanifu hana mfano.
Ova
Nimeipenda hii,hasa hapo kwenye tungo na sauti...awweee
Nimeipenda hii,hasa hapo kwenye tungo na sauti...awweee