Hakukuwa na mwenye jibu la moja kwa moja baby wangu, ndio maana unaona nimekuwa kimya. Lakini ilifaa sana tuingize hapa usiku wa kuamkia siku ya kutoka kwake. Ili tuitazame kabla ya kesho yake kuchezwa kwenye Tv's Stations, ila dah ndo hivyo.
Ova
Hahahaaaa mahaba nipofue....uwiiiiii
Ila kuingia humu itaingia tu hata kama tukishindwa kuiingiza kabla haijatoka kwenye TV's Stations.Mhhhh haya Matola itabidi amtafute Somji Juma sasa au wengine wajitokeze maana nilikua nakutegemea sana sasa sijui itakuaje!
Mimi nataka niicheki usiku kucha ikae kichwani scene zote bila kupoteza hata moja ili kesho yake nipambane vizuri na haters!!
Kwa kweli tutaona mengi!!msije mkarecordiana tyuuu!!Habari za jiooniiii!!ya chumbani yabaki chumbani haaa!!(Usinimeze)!
Ha ha ha!!mpaka sometimes njiuliza kama nimehack inbox ya mtu!!Bas makubwaaa!!Heheheeee tatizo liko wapi mama?tulia angalia movie...
Wacha movie iendeleee....mwanzo tu huu
Mimi natamani iwe wkend iyo siku!!kwa maana patakuwa hapatoshiiiii!!
Kiba tupo hapa tunaingojea zaidi ya 'mwaka mpya' lol!
Usijali baby, yatakuja ya kumwaga tu. Ukirudi nishtue kwenye simu kama hutonikuta hapa.
Ova