Ali Kiba Fans' Special Thread...

MTV walimkubali mbona lupela haionyeshwi mtv base hadi sasa ivi wakati kanyimbo km kamata chini inapigwa daily
 
Kwa mara ya kwanza na post katika jukwaa hili kwa kukoshwa na msanii Ali Kiba, nyimbo za ali Kiba kwa kweli zina sound ukizisikiliza bila hata promo. Alafu huwa zinaingia katika hisia taratibu taratibu sana ndo maana hata kupotea kwake huwa c rahisi.

Hizi nyimbo mbili za mwisho Nagharamia na Lupela dogo kacheza sana. Zinatia raha kuzisikiliza.
 
Hiki chupa kipya cha kiba na sauti sol kimefanya watu wakimbie mji kwa muda!!!!!
 
msiseme kichupa cha kiba,kiba hana creativity kama ile na hajawi kuwa nayo labda aanze kujifunza kuanzia hapo...........ile ni creativity ya saut soul ambayo obvious dunia nzma inajua ubora wao katika kutoa vitu vilivyo bora,hawakuitwa na obama marekani kwa bahati mbaya
 
Kusema ali kiba alifanya lupela kuimbia tembo ni kukosa akili. Ile nyimbo ipo kwa ajili ya kutumika kwenye kampeni za kupinga ujangili dhidi ya tembo. A simple example ni kama "hips do lie" ya shakira ft wyclef jean ilivyotumika kwenye kampeni za kombe la dunia za 2006.
And as usual kiba did what he does best.
 
Tunaisubiri kwa hamu maana hata bint Gigy Money ana mchango katika huo wimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…