warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hhhhhhhaaaa ndomo hua naponda mambo yake, au wema naponda napoona panatakiwa niponde lakini Daimond nasifia kazi zake yaan kajitahidii kimuziki kujulikana eeee, sio akifanya kosa nimsifie tu hapana lakini kimuziki yupo juuuu, pia hata Ally k mi nampenda pia muziki wake kushuka kwake sio amkomoe daimond hapana apigane tu na yeye afanikiwe ,napenda wafanikiwe wote wawe juu kama Ally k akiwa juu ntapenda zaid pia,sasa nyie inaonyesha mnalalia upande mmoja
Tupishe apa, ndomo my foot, kiba ndo habar ya mujini, na bado juzi tumemzoea kesho tunamwagia tindikali, mbona ataipenda