Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ya kunisaidia wala sihitaji, Sugu ni mshkaji wangu sana naweza kumpigia nikaipata hii namba fasta.
Mpwa huyo Sugu si hadi awe na hiyo number..................,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kunisaidia wala sihitaji, Sugu ni mshkaji wangu sana naweza kumpigia nikaipata hii namba fasta.
Kama harusi ya Le Mutuz tu uwanja wa Taifa hautoshi sasa uzinduzi wa mwanadarisalama sijui ni eneo gani litatosha.
Ninapendekeza video ya mwana Darisalam izinduliwe uwanja wa taifa au leaders
Mpwa huyo Sugu si hadi awe na hiyo number..................,
Kama sio unafiki kilichokuleta kwenye special thread ya Ally Kiba fans ilhali wewe sie fan wake ni nini?
Na wewe kwa kimuhemuhe na kimbelefront hivi umekumbuka hata kuvaa chupi leo kweli?
Sugu yupo na Mkoloni na ana connection zote za bongo Fleva industry hata kama hana namba ya Kiba akihitaji anatumiwa ndani ya dakika chache tu.
Kama sio unafiki kilichokuleta kwenye special thread ya Ally Kiba fans ilhali wewe sie fan wake ni nini?
Hahahahahah mpaka kieleweke diamond,kiba utazani wao ndio wasanii pekee nchi hii.
Hahahahahah mpaka kieleweke diamond,kiba utazani wao ndio wasanii pekee nchi hii.
Haya haya nimeingia sasa wanafki wote...naanza na PAULA kilaki naona jana imekuuma sana mimi kusema Kiba ana sura ya upole sasa leo nasema hiviiiii nampenda Kiba miaka 100000000000 andamana sasa au jinyonge kabisa...
Una akili ndogo kama piritoni...labda nikufafanulie hivi wahenga walivyosema ukitaka kumuua nyani usimtizame usoni walikua wanamaanisha ukimtizama utampenda???au utaingiwa na imani hautomuua tena?ndicho nilichokua namaanisha kua watu wana roho mbaya wanamchukia Kiba na kisura chake kile cha upole...sasa kama ulielewa namaanisha nampenda sasa leo nahitimisha kua nampenda sana Kiba...haya jinyonge sasa
Jana nilikua busy naangalia mpira nikakuacha ukajidaaaai sasa leo nimerudi tutakesha hapa...karibu bibi
Mdau kajitolea kukusaidia fasta umegoma...........,Mpwa shauri yako
sasa ulihangaika nini huko FB messenger ungemtumia Sugu FASTA
Mbona nyie nyuzi za zinazomuhusu Daimond hatuwafukuzi na mnakua wa kwanza kupost khaaaa acheni hizoo ,tuache tujimwae mwaee
Mpwa nina sababu zangu nzuri tu kwa nini simtumii Sugu anipe namba ya huyu dogo, siwezi kuziweka wazi hapa. Ila nitaipata namba bila shida mimi ni mtoto wa mjini.
Huyo roho nyeusi anasema nitakufa mdomo wazi,nadhani yeye ndo ibilisi,ila namshangaa!hawezi ushabiki hadi aweke mambo ya kutokwa uhai!!nimemsamehe paula kilaki bure,siku za uhai azidishiwe!,nampenda kiba na paula pia!Kwa kuondoa roho ya kwanini asikilize kimasomaso!Hafi mtu hapa!!Haya haya nimeingia sasa wanafki wote...naanza na PAULA kilaki naona jana imekuuma sana mimi kusema Kiba ana sura ya upole sasa leo nasema hiviiiii nampenda Kiba miaka 100000000000 andamana sasa au jinyonge kabisa...
Una akili ndogo kama piritoni...labda nikufafanulie hivi wahenga walivyosema ukitaka kumuua nyani usimtizame usoni walikua wanamaanisha ukimtizama utampenda???au utaingiwa na imani hautomuua tena?ndicho nilichokua namaanisha kua watu wana roho mbaya wanamchukia Kiba na kisura chake kile cha upole...sasa kama ulielewa namaanisha nampenda sasa leo nahitimisha kua nampenda sana Kiba...haya jinyonge sasa
Jana nilikua busy naangalia mpira nikakuacha ukajidaaaai sasa leo nimerudi tutakesha hapa...karibu bibi
Nahiv huyu paula hua hakubali kushindwaa ngoja aje cc Paula kilaki unaitwa na nifah