Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Aisee nyimbo ya fa na kiba ni kiboko duh mnyonge anyongeki lakini haki yke mtampa tu,
 
Ongeza bidii hii hatoshi ikiwezakana ikiwezekana mnyime k mmeo ili muda wote uwe jf kukuzabifu.

Wewe nawe tuliza b.usha chini naona linakusumbua nenda ukapate chanjo au hujasikia yana chanjo/tiba??? nenda ukapate mwisho kesho
Alafu ndio uje huku baada ya kupona
 
Mi alinikunaga kwenye wimbo huu pia na una maana sana.
"Yule alie kupa wewe, ndo kaninyima mimi, na kama riziki anatoa yeye........ ila Mungu ndo anatoa hata kwa foleni hata kama niko nyuma nitapata lazima."
 
Huo wimbo unaitwa DUSHELELE
 
Back
Top Bottom