Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
wameiga idea,wameangukia pua.
wamekula ya kondoo wanavujia kamaassiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameiga idea,wameangukia pua.
hahahahaaa uuuwi hivi huku huwa mnaongeaga nini?? manake hakuna events yoyote mpya, lakini uzi unapaa tuu mnajua mmepanic vibaya?? tshet vipi zimetoka??? au ndio TATIZO VYOTA kila kitu kinabuma, kama tshet zimeshindikana kutoa kama video ilivyoshindikana embu jaribu basi kutoa MOKA kwikwikwikwiiiii nifah huhuhuhuhuuu njoo nisupport nimewapa wazo la kutoa moka, hihihihihiii nipigie makofi heheheheee, alafu zikitoka tuu pair ya kwanza unamchukulia baba watoto, hohohohoooo atakupendaje???
Kwendraaaa usijipendekeze kwangu ukija huku sina urafiki na wewe....sawa bibi eeh
Booooh!!boooh!!Umedoda watu tupo bize na ESCROW unatujazia nyaraka!!yesss we are one happy family!!Nenda rudi baadae!!Booooh!Shame shame!!Unang'ang'ania u knw kwa kuwa humu patamuuu,gusa unate!!hahahahaahaha hayjanishuka wala wala nini nifah najua anastress, sio kitu rahisi hata kidogo team kiba wote mna stress, short tempered kitu kidogo tu povu mtadhani mmemeza mche wa jamaa, hamnafuraha ya kweli mnalazimisha furaha, mnaanzaje kuwa na furaha kwa mfano kipi kiwape furahaaa????
mimi nimewapa wazo kwa nia njema kabisa kuliko kushinda humu ndani mwapiga porojo bure, basi jaribuni kutoa moka, coz tshet zimebuma, kwanza team kia aibu yenuuuuuu, ngoja niwachambee kidogo, ngoja niwape vipande vyenu, nyie sio lolote sio chochote ni wanafki tuu, embu angalia uzi threads zinakaribia 300 hakuna hata mmoja ameweza kuja na wazo la nini kifanyike video itoke, pyeeee tutoleeni u team mavi wenu,kelele nyingi tu hapa mwatuumiza maskio kwanza, muliwezalo nyie ni kuzomea tuu, kazi hamuweziiiii.
siwalazimishi lakini ukweli utasimaa ukitaka furaha ya kweli ni KUOTA ila tatizo nyota
...Rudi home wewee,rudi nyumbaaaniii,wasalimie Kigomaaa!waambie nishaoaa!!
Zitto woyoooo!(Nisamehe atoto)
Booooh!!boooh!!Umedoda watu tupo bize na ESCROW unatujazia nyaraka!!yesss we are one happy family!!Nenda rudi baadae!!Booooh!Shame shame!!Unang'ang'ania u knw kwa kuwa humu patamuuu,gusa unate!!
Booooh!!boooh!!Umedoda watu tupo bize na ESCROW unatujazia nyaraka!!yesss we are one happy family!!Nenda rudi baadae!!Booooh!Shame shame!!Unang'ang'ania u knw kwa kuwa humu patamuuu,gusa unate!!
Tukimaliza moka tutaingia kwenye project ya kutengeneza condom maalum kwa ajili ya watoto wa Tandale!!then mawigi afu tutamalizia na plastic surgery za kupunguza ukubwa wa midomo kwa baadhi ya wasanii maana imekua aibu kula denda na wanawake kibao mpaka midomo imekua mikubwa kama mabakuli wanataka kumeza videvu vya watu wanatuletea aibu tuu!
Kula like 1000
Pili pili ya shamba inawawashia nini!!aaah!!Kiba anawapa san pressure akyanan...project ya kula videvu vya watu imewadodea ama!!