Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani pamoja na mjadala wote ila ally kiba ni kiboko Yao na kukaa kimya wapo wasanii wa nje wakubwa wana kaa kimya lakini akirudi anatisha sasa tusiendekeze unazi usio na msingi jamaa wenu kila siku nyimbo za kulilia mapenzi

baambie, ila unadhani hawajui!!! wanajua sanaaa na ndicho kinachowapa homa,tatizo hata ukiwaambia hawaelewi so ni wa kuangalia tu, mie walaaaaaa hawanigusi hata ukucha
 
Wana multiple IDs hafu hawaji na za zamani uku tatizo uelewa wanafikiri tunashindana kumbe na kila mtu akipendacho wanajichosha kwakweli Kiba yuko pale pale atawapa pressure bure.

si mnawapa jaka moyo sasa watafanyaje jamani!!! hahahaaaaaa!! Kibaaaaaa waueee
 
Jamani pamoja na mjadala wote ila ally kiba ni kiboko Yao na kukaa kimya wapo wasanii wa nje wakubwa wana kaa kimya lakini akirudi anatisha sasa tusiendekeze unazi usio na msingi jamaa wenu kila siku nyimbo za kulilia mapenzi

Haya hayaaaa new fan huyooo,karibu sana
 
Ha ha ha ha hilo la kuuliza best mi nimechunguza nikafahamu tena kuna mmoja anaandika marefu ka gazeti la shingongo babu anazo nyingi tu ndo anaingia nazo. Huku

Haha haaaa itabidi nichunguze hilo,ila kuhusu babu no doubt maana mnajuana
 
Eti diamond anaimba kuliko p2,mafikizolo,davido na dibanj......... Hapana jamani tunaibiwa kweupe peeee bora nibaki kwa Alikibar kwenye uhalali kuliko kunako vuma kwa uwizi..... Tangu nimezaliwa sijawahi kusikia wimbo Wa Diamond wenye ujumbe Wa maana... Ni kweli wapumbavu ni wengi na wanapenda meaningless........ Am out
 
i think zile ni tuzo za videos, wanaangalia ubora wa video(if am not mistaken)
 
Ko Diamond anatoa video nzuri kuzidi p2.... Na kuwashinda mafikizolo????? Nimeibiwa kweupe....

mmhh! thijui ila nadhani hilo mdakuzi alilifafanua vzr, karibu kwa king wetu tuburudike sie, hayo mengine yackupe shida, jipe rahaaa na Kiba
 
Nipo humu longtime sana...... Tangu Mkuu matola anazidua jukwaa muulize nifah ananijiua.... Sema nipo busy mwisho wa mwaka huu kazi ndo zinabana...
 
Eti diamond anaimba kuliko p2,mafikizolo,davido na dibanj......... Hapana jamani tunaibiwa kweupe peeee bora nibaki kwa Alikibar kwenye uhalali kuliko kunako vuma kwa uwizi..... Tangu nimezaliwa sijawahi kusikia wimbo Wa Diamond wenye ujumbe Wa maana... Ni kweli wapumbavu ni wengi na wanapenda meaningless........ Am out

Uwiiiii nimekumiss balaa,ulipotelea wapi?
 
Sikujua hiyo kitu aiseeh! Sasa shida yote hiyo ya nini? Watu ni wa ajabu sana kusema kweli, yaani wana ID maalum za kututukana sisi na Kiba? Ama kweli ujinga ni mzigo kama wa mavi. Halafu ukishatukana watu kwa ID yako feki unakuwa umepata nini cha maana?
Ova

utagundua tu namna ya uandishi na mawazo yanafananaaaa km mayai, sasa hiyo yote ya kazi gani mayb!!!! ujinga mzigo
 
Back
Top Bottom