Weeee! Unadhani wote tuko kiwango cha Mufuruki wako? Yuko private ipi? Walipoalikwa ikulu uliona walichokuwa wanaeleza? Wengi waliishia kutetea biashara zao badala ya mazingira ya biashara ndani ya nchi. Hawa ni wale wale! Wakitafuta PPP maana yao ni kutafuta kupendwa na wanasiasa au kuzoeana nao wapate nafasi ya wizi.Very funny!
Yaani mtu ambae yupo kwenye private sector for almost 30 years bado ni lazima asome Google kufahamu mazingira ya biashara ya Tanzania na nini kinahitajika?!
Ameshawahi kuwa mwenyekiti au bado Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania!
Hapo kabla au hadi sasa amepata kuwa board member wa Mwananchi Communication, Nation Group (KE) pamoja na Stanbic Tanzania pamoja na ATC!
Nadhani hadi sasa bado ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wananchi Group inayomiliki ZUKU tv & ZUKU Fibre!
Yaani kwa akili yako mtu kama huyo atashindwa kufahamu nini kinahitajika Tanzania when it comes to business?!
Hebu aeleze infosys yake ilivyoingia na Lugumi. Aeleze ubora wa kazi yake ktk CRDB. Jizi huyu!