Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Ntobi yafaa afutwe uanachama hafai kuwa kiongoziMwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki, kumdhalilisha na kumtweza utu wake kinyume kabisa na Katiba, kanuni na miongozo ndani ya CHADEMA .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw.John John Mnyika alipoulizwa na Wanachama wa CHADEMA mitandaoni kama anachokifanya Mwenyekiti wa Shinyanga kama ni msimamo wa Kamati kuu au CHADEMA,
Kwa haraka Katibu Mkuu huyo alimjibu Mwanachama huyo kuwa huo si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda na anamshangaa kwanini Emmanuel Ntobi anaendelea kutamba kwa kutweza wengine utu wao hadharani tena mitandaoni Waziwazi bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu.
View attachment 3180661
View attachment 3180647
Udhalilishaji ni sehemu ya mashambulizi ya kisiasa ndo maana nilisema wengi humu hamjui maana ya siasa ni niniTofautisha maoni na udharilishaji.
Lisu kapewa fomu na karudisha imepokelewa vizuri bila hata figisuKm ulikua hufuatilii siasa unaweza ukahisi huyu Lissu atakua ameua mtu mbona anashambuliwa kiasi hiki KUMBE kosa ni kugombea uenyekiti... Binadamu ni wabinafsi na wanafki sana. Kwa mara ya kwanza nilimpigia kura Mbowe kura ya urais mwaka 2005 nikiwa kidato cha tatu, nimekuja kugundua Mbowe ni mtu mmoja msengeh sana
Ntobi hana kosa lolote lile ametoa maoni yake sasa kama mtu akiongea usichopenda na ukataka umfute uanachama unarudi kulekule kwa siasa za magufuli wale wakosoaji wanaonekana maaduiNtobi yafaa afutwe uanachama hafai kuwa kiongozi
Naunga mkonoHuyu dogo Mimi Nilikuwa nashangaa anvyoendekeza uchawa huku akitukana Lissu bila sababu zozote za msingi nadhani huyu avuliwe uongozi
Naunga hoja mkono,amefika mbaliNtobi yafaa afutwe uanachama hafai kuwa kiongozi
Hivi mara paap Lissu ni mwenyekiti, hivi vikaragosi vitaficha wapi nyuso zao?Lissu ni hazina, akiwa rais wa nchi Tz itabadilika kuwa Canada!
Inasikitisha sana kwa cinema za mboweKm ulikua hufuatilii siasa unaweza ukahisi huyu Lissu atakua ameua mtu mbona anashambuliwa kiasi hiki KUMBE kosa ni kugombea uenyekiti... Binadamu ni wabinafsi na wanafki sana. Kwa mara ya kwanza nilimpigia kura Mbowe kura ya urais mwaka 2005 nikiwa kidato cha tatu, nimekuja kugundua Mbowe ni mtu mmoja msengeh sana
ameandika maneno mabaya sana, inaonekana hakufunzwa vyema na wazazi wake tangu alipokuwa mdogo. bahati mbaya aliingia chadema.Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki, kumdhalilisha na kumtweza utu wake kinyume kabisa na Katiba, kanuni na miongozo ndani ya CHADEMA .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw.John John Mnyika alipoulizwa na Wanachama wa CHADEMA mitandaoni kama anachokifanya Mwenyekiti wa Shinyanga kama ni msimamo wa Kamati kuu au CHADEMA,
Kwa haraka Katibu Mkuu huyo alimjibu Mwanachama huyo kuwa huo si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda na anamshangaa kwanini Emmanuel Ntobi anaendelea kutamba kwa kutweza wengine utu wao hadharani tena mitandaoni Waziwazi bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu.
View attachment 3180661
View attachment 3180647
Wewe nawe yawezekana kuna mahali hakujakaa sawa.Hajatukana hata katoa maoni yake ambaye wengi hawayapendi
Ukimkosoa au ukimpinga lisu unaonekana mbaya alafu mda huo huo wanahubiri democrasia
Unavyogombania nafasi kupingwa ni kawaida
Watu kama Ntobi, CHADEMA siyo mahali pao. Hawa wangeenda huko CCM ealikojaa watu waropokaji na wenye midomo michafu.ameandika maneno mabaya sana, inaonekana hakufunzwa vyema na wazazi wake tangu alipokuwa mdogo. bahati mbaya aliingia chadema.
Mwaka 2020 sio wanachadema wote walimpitisha tundu lisu wako waliompitishaWewe nawe yawezekana kuna mahali hakujakaa sawa.
Huyu Ntobi ametoa maneno ya hovyo, tena akijifanya kuwakilisha kauli ya chama wakati yeye si msemaji wa chama wala hana mamlaka ya kukisemea chama.
Yeye anasema eti chama kilimteua Lisu mwaka 2020 kugombea Urais kwa sababu Lisu ni mropokaji!! Jiulize:
1) Lisu alichaguliwa na vikao halali vya chama kuwa mgombea kupitia CHADEMA. Hakuteuliwa na Ntobi. Je, wewe unaamini kwamba CHAMA kiliweka sifa ya anayetakiwa kuteuliwa kuwa mgombea, anatakiwa awe mropokaji? Na kwa kuzingatia sifa hiyo, ndiyo Lisu alishinda? Je, yeye Ntobi ndiye ameteuliwa kukisemea chama?
Ntobi ana uhuru wa kumchagua, au kumpamba mgombea yeyote ambaye yeye anamtaka, lakini hana haki wala mamlaka ya kuyafanya hayo kwa kujipa mamlaka ya chama. Kwa hiyo hana haki kuyaongelea maamuzi ya chama, iwe ya sasa au yaliyowahi kufanywa.
Kamati ya nidhamu, imchukulie hatua huyu mropokaji Ntobi kwa kukidhalilisha chama kuwa eti kiliwapelekea wananchi mgombea ambaye angeweza kuwa Rais, kuwa sifa kubwa iliyozingatiwa ni mropokaji.
Ata kama ni mihemko ila niyakijinga sana.binafsi naona kama huyo jamaa ana chuki binafdi aidha na lissu au msigwa na anashindwa kujidhibiti hadi anaharibu.Kama sio hivyo basi anatumia cha arusha.Hovyo kabisa huyo.Ili kubalansi mambo, wekeni hapa hayo matusi ya huyo boya Ntobi ili tuone kama ni matusi kweli au ni mihemko tu ya kawaida.
Ulitaka chadema wote wamuimbie mapambio lisu unasafari ndefu sana kifikraWatu kama Ntobi, CHADEMA siyo mahali pao. Hawa wangeenda huko CCM ealikojaa watu waropokaji na wenye midomo michafu.
Sio kosa kuwa na chuki dhidi ya mtu, au kuwa na mihemkoAta kama ni mihemko ila niyakijinga sana.binafsi naona kama huyo jamaa ana chuki binafdi aidha na lissu au msigwa na anashindwa kujidhibiti hadi anaharibu.Kama sio hivyo basi anatumia cha arusha.Hovyo kabisa huyo.
Naunga mkono hoja.Unakua kiongozi wa chama alafu unachagua upande kimihemko tena mitandaoni.Watu kama Ntobi, CHADEMA siyo mahali pao. Hawa wangeenda huko CCM ealikojaa watu waropokaji na wenye midomo michafu.
Uchaguzi wowote lazima uwe na upande.ila ukiwa kiongozi kuna namna yakupeleka hisia zako bila kuathiri au kutweza upande mwingine ili baada ya uchaguzi maisha yaendelee.sasa yeye alichokifanya nikumtweza lissu tena mtandaoni na ambaye nikiongozi wake chamani.Hiyo sio sawa kwamtu anayejielewa.Ulitaka chadema wote wamuimbie mapambio lisu unasafari ndefu sana kifikra
Nyie ndo wale mnaotaka watu wawakosea namna mnavyotaka
Sasa unatofauti gani na ccm ambao wanataka watu wawakosea kistaarabu serious