Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Watanzania wanatamani mabadiliko tatizo mpaka sasa hakuna chama mbadala,vilivyopo ni taasisi za watu fulani fulani za kujipatia kipato binafsi na wapambe wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SUbir kwanza ncheke hahahahaha!Lissu ni hazina, akiwa rais wa nchi Tz itabadilika kuwa Canada!
Sentensi ya mwosho imeingizw kwa sababu ya stress zako au msongo wa mawazoHata wale kina Nyerere, boni, kilewo, ni washamba. kuna steji za kiuongozi ukifika hutakiwi kuwa emotional kiasi kile. Sio busara kuonesha hisia za uchawa kwenye hali kama ya sasa cdm. Kiongozi lazima uoneshe ukomavu flani wa kuweza kutulia kwanza ukisubiri lolote lijalo.
kwa mfano: Mbowe akisema hatogombea, wao watafanyaje. Bila shaka watateseka sana. In some situations, neutrality is a better choice!
YESU NI BWANA&MWOKOZI
kabisa mkuu hasa ukigusa maslai ya FAM inakuwa kawaida sanaMimi sio chadema na wala sijawahi kuwa mwanachama wa chadema
Swala la zitto kufukuzwa ni kawaida kwa vyama vya siasa
sentensi ya mwisho ni ipi hapo. let me knowSentensi ya mwosho imeingizw kwa sababu ya stress zako au msongo wa mawazo
Godish wordssentensi ya mwisho ni ipi hapo. let me know
humtaki Yesu !? He is there for you, to save you!Godish words
wakimwangusha Lisu kwenye hili, Ibara ya tatu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, isomeke: "Tanzania ni nchi ya mfumo wa chama kimoja"Watanzania wanatamani mabadiliko tatizo mpaka sasa hakuna chama mbadala,vilivyopo ni taasisi za watu fulani fulani za kujipatia kipato binafsi na wapambe wao.
Sio kosa ila ni dhambi kubwa sana maana tunamtegemea kwenye mabadiliko makubwa ya chama mpaka taifa na mimi kama mzalendo wa kweli nitamwomba arudishe nchi yangu yaTANGANYIKA alafu ndio tupate katiba ya nchi yangu.Kwani ni kosa lisu kupingwa
Nadhani itabadilika na kuipita hata ublegiji😁Lissu ni hazina, akiwa rais wa nchi Tz itabadilika kuwa Canada!
Wapambe/Chawa wasipokuwa makini wanaenda kukiua chama,wanatakiwa watambue chama sio mali ya mtu binafsi au watu fulani tu kiasi ambacho mtu mwingine akionesha nia ya kugombea uongozi basi iwe nongwa.
Kiongozi wa CCM wa mkoa hawezi kutoa kauli hiyo dhidi ya kiongozi wake wa Taifa wa chama.Hivi watu wanajua matusi au ni mahaba tu..mtu kusema jamaa hawezi kuwa kiongozi hata wa mtaa ni tusi??? Mbona Mama Samia watu wanasema zaidi ya hayo, mkiulizwa mnasema ndo demokrasia hiyo, lkn kwa Lissu mtu anasemwa anatukanwa.
Kuwa kiongozi mkubwa sio lele mama..lazima mawe yalushwe tu
Kiujumla kama chama Cha siasa nidhamu ni muhimu kwa viongozi wa chama, Yaani makamu mwenyekiti anadharauliwa na kukebehiwa namna hii na mwenyekiti wa mkoa anaangaliwa tuMwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki, kumdhalilisha na kumtweza utu wake kinyume kabisa na Katiba, kanuni na miongozo ndani ya CHADEMA .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw.John John Mnyika alipoulizwa na Wanachama wa CHADEMA mitandaoni kama anachokifanya Mwenyekiti wa Shinyanga kama ni msimamo wa Kamati kuu au CHADEMA,
Kwa haraka Katibu Mkuu huyo alimjibu Mwanachama huyo kuwa huo si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda na anamshangaa kwanini Emmanuel Ntobi anaendelea kutamba kwa kutweza wengine utu wao hadharani tena mitandaoni Waziwazi bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu.
Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 kosa alilolifanya BW. Emmanuel Ntobi adhabu yake ni kufutwa Uongozi au Kufukuzwa Uanachama au vyote kwa pamoja,
Hata hivyo aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Bw Godbless Lemma amesisitiza pia hatua zinapashwa kuchukuliwa ili kuepa visasi na majibizano ya kukidhalilisha chama na wanachma
View attachment 3180661
View attachment 3180647
View attachment 3180816
Fact, sijajua katiba ya chadema inasemaje juu ya hiliKiongozi wa CCM wa mkoa hawezi kutoa kauli hiyo dhidi ya kiongozi wake wa Taifa wa chama.
Kiongozi wa chama pinzani akisema hivyo ni sawa kabisa lakini sio kiongozi wa chama ngazi ya mkoa atoe maoni hayo kwa kiongozi wa chama chake Taifa na mgombea urais.
Hapo hamtukani na kumdhalilisha huyo kiongozi bali chama kilichompa uongozi.
Na huo ndo uungwana na uongozi, shida moja ya chadema Kila mmoja ni kambale, nidhamu hakunaHata Lema kamtaka Mnyika aagize uongozi wa mkoa umchukulie hatua.
...and this time, the ruthless heavy handed George Foreman (Mbowe), gonna be KOed by the much younger, savy and flamboyant Mohammed Ali (Lissu). It is time to float like a butterfly and sting like a bee. Lissu let's go!Rumble in the Jungle