Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Hahahah hakika mkuu,upo sahihi kwa mtiririko huo hakuna ambaye angeumizwa kwa maneno even huyo waziri{nimesikia kama katajwa waziri hapo} naye asingekuwa na lakusena maana unaweza kuta sometimes hata kushinda uchaguzi uliomuweka madarakani hadi leo ameteuliwa kwenye baraza naye aliiba kura.

Psychological nadhani kuna hii hali ya mtenda kosa kutaka ajijengee yeye mizizi ya uaminifu na uadilifu kwa kuwa-attack wengine ili kupitia wao waonekane bora.hii kitu makonda anayo sana mchunguze tu kila opportunity anayoipata kwenye hadhira hakuna asipoacha makovu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kwahyo piere afungiwe mkuu?? Samahani kwa swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ni mwenzetu humu JF tulikuwa tunashinda wote humu usiku kucha, ila tangu amepata uteuzi amebadilisha id yake .nadhani arudi jf aje achote busara za great thinker
 

Unaongelea nabii ambae anagusa maisha ya watu moja kwa moja?
Unamlinganisha na pierre anaeishi maisha yake binafsi

Obvious utakuwa na tatizo katika ubongo wako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aache kuvutiwa na baba yake anaerudi alfajiri amelewa akavutiwe na pierre
Teach your kids to sort out things


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda hajatumia busara

Ila piere pia alizidi dharau,kumuita paparazi takataka haikubaliki
Mkuu ile aliambiwa aigize kidogo ingia YouTube kuna full interview utaiona
 
Alichosema Makonda yuko sawa, matumizi ya lugha ndio tatizo, hili lingesemwa na mtu mwingine ingeonekana sawa tu, shida imekuja aliesema Makonda, kwani nani asiejua kuwa mijitu ya hovyo na mambo ya hovyo ndio yanayopewa kipaumbele? Toka lini ktk jamii yetu Mlevi akaonekana wa maana, media zetu zimekua za hovyo yaani kuna wakulima wana matatizo huko, kuna wavumbuzi na wagunduzi hakuna anejua waliko lkn utashangaa Pierre sijui Ambaruty, Dr. Shika wanakua maarufu na kila saa wanamulikwa na makamera alafu useme sio uhovyo huo, hapa tatizo ni kwakua Kasema Makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huyu kilaza kupata 21 ilikuwa inamshinda aiseee halafu wakumualika kwenye tokomeza zero

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Mungu alivyo wa ajabu anaweza mpa MAKONDA [BABA KEGAN ] mtoto kama huyo PIERRE LIQUID alafu amwite "Tu wa Ovyo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…