Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Hahahah hakika mkuu,upo sahihi kwa mtiririko huo hakuna ambaye angeumizwa kwa maneno even huyo waziri{nimesikia kama katajwa waziri hapo} naye asingekuwa na lakusena maana unaweza kuta sometimes hata kushinda uchaguzi uliomuweka madarakani hadi leo ameteuliwa kwenye baraza naye aliiba kura.Kwa maneno yako mwenyewe alitakiwa atokee mtu aulize "Ambaye hajawahi kuwa wa Ovyo" asimame amshambulie Pierre Konki!! Hapo ndipo Muandaaji (Jokate) angekumbuka picha zake za Uchi zilizozagaa mitandaoni, Albert Bashite angekumbuka Zero alizopata mara 2 hadi kununua cheti cha Paulo Makonda na kukituia kujiendeleza na huku kampeni ikitaka kutokomeza zero. Hakuna ambaye angemkashifu mwenzake na sherehe ingemalizika kwa amani bila kukwaza mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Psychological nadhani kuna hii hali ya mtenda kosa kutaka ajijengee yeye mizizi ya uaminifu na uadilifu kwa kuwa-attack wengine ili kupitia wao waonekane bora.hii kitu makonda anayo sana mchunguze tu kila opportunity anayoipata kwenye hadhira hakuna asipoacha makovu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk