Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Ni nani aliyemualika mtu wa ovyo kwenye hiyo hafla?Makamu wa Rais alimsifia Pierre wiki iliyopita tu kwa uhamasishaji,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nasisitiza Tanzania (Watanzania) tunahitaji kujitathimini upya, kwetu sisi hatujui tunacho kitaka ni kitu gani, walipa kodi wakubwa ni wananchi wa vijijini kwahiyo hao hawana haki ya kupata umeme?

Hiyo project ni ya REA ambayo kwa kiasi flani ni miradi inayo fadhiliwa na World Bank..

Juzi upinzani tulikuwa tunalalamika miaka 50 ya uhuru vijijini hamna umeme haya nyumba za tembe zimeanza kupata umeme mnaanza kulalamika..

Kwahyo mlitaka REA iwe project ya mijini?

Ndiyo maana nasema huyo mpumbafu mlevi anawakilisha idadi kubwa sana Watanzania wajinga wajinga na walevi wasio jitambua
 
Yani huyu kuwa kiongozi mpaka Leo hii ni u hovyo,hata aliyemteua ni hovyo.

Shithole Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Shit shit shit leaders, nimekasirika na wikiend yangu imeharibika, naomba wote msiend kula kwa yuel kahaba shilole tena maishani, mbwa malaya mkubwa, anasupport upumbavu huu
 
NIMESHANGAA NIMESHANGAA HAAA how cna he do that?
 
Nilikuwa namteteaga sana huyu Kiongozi.
Lakini kwa hii kauli amejidhihiriaha asili yake.
Na minong'ono yote inayosemwa kumbe ni ya kweli.
Unajifanyaje unampenda Mungu wakati unamchukia jirani yako ?
Na kumdhalilisha mbele ya kadamnasi na yeye akiwepo ?
Kama Kiongozi kwanini usimwite na kumrekebisha kama ana makosa flani ?
Au alitaka kujitutumua kwa akina Jokate na Sepetu...!
Aonekane kuwa yeye ni Bora Sana, na ni wa kipekee.
Hakina Maneno ya wengi ni Maneno ya Mungu.
Na Kafiri haachi asili.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are missing a crucial point between me and you... And may be we are misinterpreting focal issues

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mpuuzi sanaa... Kama unasupport Bashite kumtukana piere na kumdhalilisha huku yeye anatembea na Malaya na watumia bhangi na madawa ya kulevya na kuwaona ni watu wa maana bhasi Ujitathmini...!! REA ni jukumu la serikali lakini sio ndo kuanza kuweka utepe sijui kuzindua nyumba yenye umeme nao ule ni Upuuzi tu kama wa bashitee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kama ni ishu ya uhovyo wa mtu basi wa kwanza kushambuliwa hapo ilibidi iwe huyo muandaaji wa shughuli Jokate!
mbona yeye ana mapicha ya aibu mitandaoni ila hakuna anayemsema?
Halafu makonda yeye ni mlezi wa wcb kila siku wanatoa nyimbo za hovyo kusikia ngono mpaka zinafungiwa ila hujawahi kukemea hilo!
huyu Jamaa mtu wa ajabu sana aisee
 
Your name speaks volumes
 
watu 39 mpaka sasa hivi wametoa mchango kwenye post yako, hakuna hata mmoja aliyekupa pongezi. Jitafakari ni wapi unakosea, kama wewe ndiye makonda au wewe ni mke wake? Hata UVCCM wamekubania kukupa pongezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…