naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Ni nani aliyemualika mtu wa ovyo kwenye hiyo hafla?Makamu wa Rais alimsifia Pierre wiki iliyopita tu kwa uhamasishaji,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nasisitiza Tanzania (Watanzania) tunahitaji kujitathimini upya, kwetu sisi hatujui tunacho kitaka ni kitu gani, walipa kodi wakubwa ni wananchi wa vijijini kwahiyo hao hawana haki ya kupata umeme?Mmh hapana ndugu jamii ina watu wa kila aina.. Hebu angalia kama kina Mr bin au John Walker... J. Walker mpaka leo ni brand maarufu duniani ya kilevi....
Imagine kama taifa watu kama hawa ndio tegemeo kwanini Pierre konk asipate shavu...? View attachment 1058619View attachment 1058620
Jr[emoji769]
Shit shit shit leaders, nimekasirika na wikiend yangu imeharibika, naomba wote msiend kula kwa yuel kahaba shilole tena maishani, mbwa malaya mkubwa, anasupport upumbavu huuYani huyu kuwa kiongozi mpaka Leo hii ni u hovyo,hata aliyemteua ni hovyo.
Shithole Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ni RC na anakuongoza wewe mwenye elimu ya degree unaeshinda humu jf.. kwa akili kama hzi za kilevi lazma awashikishe adabuKampe ya nchi ya kwako kwa mtu asiye na vyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
NIMESHANGAA NIMESHANGAA HAAA how cna he do that?Ati,
mtu anajifanya Mchamungu, kila siku kulialia makanisani. Halafu anadiriki kumwita mtu wa Mungu
" mtu wa hovyo"
Wakati Yesu alipokuja duniani hakuwahi kumwita mtu yeyote ni wa hovyo.
Tena alisema kabisa amekuja kwa wenye dhambi ili watubu na akamsamehe hata yule Malaya aliyempaka mafuta na aliyeletwa ili apigwe mawe, na aliwaheshimu kwa kuongea nae kw heshima.
Hivi huyo jamaa angeletewa yule malaya ili ampige mawe si angekuwa wa kwanza kumkandamiza mitofali ?
Au angesikika akibwata>
" kamwueni huyo ni mtu wa hovyo kabisa"
Yaani kamjamaa kupewa hako kacheo basi kanajiona kapo juu juu kabisa.
Kanajifanaya kanasali huku kanatukana watu wa Mungu.
Yaani Gaidi huwa hajifihi kabisa, mtawatambua kwa matendo na maneno yao.
Hii dharau imenifanya kwa mara ya kwanza nimdharau
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana adabu huyu kijana, hana silika ya uongozi , mfyuuuuuuuNi utovu wa nidhamu. Rais anamsifia mtu wewe wa chini yake unasema WA OVYO!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah video nzima haipo vile...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu haya mambo hayaaNdio maana, niliona kakipande tu kale.!
We are missing a crucial point between me and you... And may be we are misinterpreting focal issuesNdiyo maana nasisitiza Tanzania (Watanzania) tunahitaji kujitathimini upya, kwetu sisi hatujui tunacho kitaka ni kitu gani, walipa kodi wakubwa ni wananchi wa vijijini kwahiyo hao hawana haki ya kupata umeme?
Hiyo project ni ya REA ambayo kwa kiasi flani ni miradi inayo fadhiliwa na World Bank..
Juzi upinzani tulikuwa tunalalamika miaka 50 ya uhuru vijijini hamna umeme haya nyumba za tembe zimeanza kupata umeme mnaanza kulalamika..
Kwahyo mlitaka REA iwe project ya mijini?
Ndiyo maana nasema huyo mpumbafu mlevi anawakilisha idadi kubwa sana Watanzania wajinga wajinga na walevi wasio jitambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mpuuzi sanaa... Kama unasupport Bashite kumtukana piere na kumdhalilisha huku yeye anatembea na Malaya na watumia bhangi na madawa ya kulevya na kuwaona ni watu wa maana bhasi Ujitathmini...!! REA ni jukumu la serikali lakini sio ndo kuanza kuweka utepe sijui kuzindua nyumba yenye umeme nao ule ni Upuuzi tu kama wa bashitee....Ndiyo maana nasisitiza Tanzania (Watanzania) tunahitaji kujitathimini upya, kwetu sisi hatujui tunacho kitaka ni kitu gani, walipa kodi wakubwa ni wananchi wa vijijini kwahiyo hao hawana haki ya kupata umeme?
Hiyo project ni ya REA ambayo kwa kiasi flani ni miradi inayo fadhiliwa na World Bank..
Juzi upinzani tulikuwa tunalalamika miaka 50 ya uhuru vijijini hamna umeme haya nyumba za tembe zimeanza kupata umeme mnaanza kulalamika..
Kwahyo mlitaka REA iwe project ya mijini?
Ndiyo maana nasema huyo mpumbafu mlevi anawakilisha idadi kubwa sana Watanzania wajinga wajinga na walevi wasio jitambua
Puru inakuwashaa etiii????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasukumiwee mitii hukoo...shwain
You're worthy a 'CERTIFIED INANE' on this rostrum.
Your name speaks volumesNimeiona clip kwa kweli Makonda kachemka sana. Wivu unamsumbua. Kachemka sana ktk hili. Alafu bmaskini jamaa kakaa pembeni anacheki tu jamaa akimponda. Nimejisikia vibaya sana kaonewa sababu ya wivu wa jitu.
makonda anatakiwa ajue watanzania wana haki ya kupumzika na kufurahi baada ya kazi. Pierre ni nembo yetu ya kupumzika na kufurahi baada ya kazi. Kuna wemgine tusio walevi tukimuona tu hata kama tuko nyumbani basi tunaburudika kwa uwakilishaji wake.
senior idiot..We are missing a crucial point between me and you... And may be we are misinterpreting focal issues
Jr[emoji769]