Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Yaani inashangaza kweli.Mpaka sasa ukiniambia huyu likwidi ni maarufu huwa najiuliza ni umaarufu gani alionao?Siuoni,hebu Watanzania wenzangu tuwe siriazi na vitu vyenye tija badala ya kushabikia upuuzi kama huu wa likwidi.

Umaarufu wa kiwango cha lami(usio na tija) + ushabiki wa kiwango cha lami (usio na maono) = upuuzi mtupu wa likwidi tunaoushabikia@ waziri wa mashariki kama sio kaskazini bado tunachangamoto kama Wa-tz kwa kushabikia petty things.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaaa! Una akili timamu wewe? Kuweka umeme kwenye kijumba cha tope ni death trap na uuaji kwa kutaka chati nyepesi za kisiasa!

Wananchi wanahitaji makazi bora kwa kupata bidhaa za bei nafuu za ujenzi pamoja na kipato cha uhakika! Hayo yote hayapo, na hata wananchi wakijitahidi kujikwamua bado kuna milolongo mingi na kodi chungu mzima! Kodi zenyewe zinatumika hovyo kununua "air hostages"!

Pathetic!
 
wa kupimwa wewe[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji83] [emoji160] [emoji216] [emoji241]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani Pierre hana uhovyo wowote ksb hajawahi kum attack mtu yeye anatafuta riziki lakini aliyekuwa m/kiti saidia stars ishinde si huyo Pierre hakumuona?? Nadhani mtu wa hovyo kuliko hovyo wote ni yule aliyehamasisha watu walewe dar nzima kwa pombe za nusu Bei kuliko Pierre ambaye kaanza kulewa kabla ya nusu bei...
C. C Pierre utabaki kuwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapandikiza watu ujinga!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umaarufu ni nini??

Na nani anapaswa kuwa maarufu??

Hivi Kim Kardashian si maarufu??..do you think ni mtu wa maana sana dunia hii??

Acheni chuki nyie..kuwa maarufu sio lazima iwe kwa uzuri..hata kwa ubaya mtu anaweza kuwa maarufu

Pablo escobar si alikuwa maarufu??
 
Maisha yanaenda kasi sana huyu bashite aliyekuwa analia makanisani baada ya mabomu ya Gwajima ndio kauli zake hizo ...
 
Mtu wa ovyo katika jamii sio mlevi, mtu wa ovyo ni Yule aliyepata division zero halafu akaendelea na masomo kwa kutumia vyeti vya kufoji na Leo eti ni Mkuu wa mkoa asiyejali ethics za utawala bora . Huyu ndiye mtu wa ovyo kabisa.

Tiba
 
Nani wa kushangawa kati ya huyo unayetaka akabidhiwe nchi na huyu mwingine?
Mbona naona kama huyu mwingine ana uafadhali kuliko huyo mwingine!!!
 
Bashite tunajua ulipata zero na wewe ni wa hovyo.....kualikwa kwenye kampeni kama hiyo ni uzwazwa. Na huyo DC ana mapicha machafu mitandaoni kibao, naye ni wa hovyo.

Pierre atabaki kuwa juu juu kileleni.
Mama aaah nakufaaaa

Sent using my Nokia Torch
 
Achana nao hao wafunga kamba za viatu za wenye nafasi kubwa ili waonekane.
Wananikera maana wanatetea hata uozo.
Ina maana wao hawajui kuwa kwenye jamii watu hawafanani?
Mbona wao wanatetea upumbavu na tunawaona wana maana hatuwaweki kwenye kundi la watu wa hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…