Ndiyo maana nasisitiza Tanzania (Watanzania) tunahitaji kujitathimini upya, kwetu sisi hatujui tunacho kitaka ni kitu gani, walipa kodi wakubwa ni wananchi wa vijijini kwahiyo hao hawana haki ya kupata umeme?
Hiyo project ni ya REA ambayo kwa kiasi flani ni miradi inayo fadhiliwa na World Bank..
Juzi upinzani tulikuwa tunalalamika miaka 50 ya uhuru vijijini hamna umeme haya nyumba za tembe zimeanza kupata umeme mnaanza kulalamika..
Kwahyo mlitaka REA iwe project ya mijini?
Ndiyo maana nasema huyo mpumbafu mlevi anawakilisha idadi kubwa sana Watanzania wajinga wajinga na walevi wasio jitambua