Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Sasa kamati ya Afcon kuwaweka kina wema ili iweje???? Wema malaya yule mtumia Bhangi anahamasisha nini kwenye jamii????

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni humo humo kiongozi.hata hao akina wema wanaharibu jamii yetu kwa ujumla.lakini angalia media zinavyowafuata na kuwakuza kana kwamba wana mchango wa maana katika jamii..yote haya yakemewe.
 


Hii kwa wanafiki woote popote walipo.Uchafu upo mwingi sana hata Makonda yeye asituaminishe na ukuu wa mkoa kuwa ni mfano wa kuigwa na mtu.Watu hupitia mabaya na kuja kuwa watu waazuri huko mbeleni.Na wazuri kwa macho yetu ndio washenzi ....kuna viongozi wangapi wamevunja ndoa za watu?Wametelekeza watoto wao?Hatuwezi sema kila kituu..Kama Walijua kuwa huyo jamaa ni mshenzi kwanini atumike kwenye mambo ya Kiserikali ..walikosa muda wa kutafuta watu wazuri?Watakuja kulaanika kwa kujitafutia laan zisizo na maana.Hivyo ni vyeo tu...wakumbuke muda hausimami.
 
Yani leo kuanza kumpost mtu kaunda gari kwa kutumia vyuma aisee ni kurudishana nyuma kimawazoo...!! Huyo ndugu yako kama anaweza kuunda magari apate nafasi kwenye kampuni zenye hizo kazii.. Ila sio taifa lianze kumpa Promo mtu anaefanya kitu kilichofanywa mwaka 1800 huko.. Piere umaarufu wake umekuja tu na utapitaa kama kina Dr shika na Mkuu wa mkoa wa tabora so hili Lisiwaumize sana mioyoo jamani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii ndiyo point, nadhani watu wanachanganya kati ya kuwa maarufu na kwa star (nyota).

Pierre ni maarufu.
 
View attachment 1058689
View attachment 1058690
Hii kwa wanafiki woote popote walipo.Uchafu upo mwingi sana hata Makonda yeye asituaminishe na ukuu wa mkoa kuwa ni mfano wa kuigwa na mtu.Watu hupitia mabaya na kuja kuwa watu waazuri huko mbeleni.Na wazuri kwa macho yetu ndio washenzi ....kuna viongozi wangapi wamevunja ndoa za watu?Wametelekeza watoto wao?Hatuwezi sema kila kituu..Kama Walijua kuwa huyo jamaa ni mshenzi kwanini atumike kwenye mambo ya Kiserikali ..walikosa muda wa kutafuta watu wazuri?Watakuja kulaanika kwa kujitafutia laan zisizo na maana.Hivyo ni vyeo tu...wakumbuke muda hausimami.
 
Hakutakiwa
Kuongea vile hadharani
Wakati mwenyewe ypo kama mualikwa na DC
Kwani mwenye jiji mbona wakina diamond anawalewa ujinga mangapi wanafanya kwenye media
Tena wengine wanapiga picha wko na madem
Tofauti tofauti na bado anaambatana nao

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaona piere anamfunika kwa kiki sasa roho inamuuma huyo jamaa anawivu kike kweli hatiki kumuona mwenzio anatoboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Story za vijiweni mkuu, hiyo frequency ni ya iliyokuwa Coconut FM ya Zanzibar (kuna baadhi ya siku frequency zinagoma tunaisikia hii). Kwa hiyo hawajapewa frequency mpya.

Wamenunua au wao wanajua makubaliano yao.
 
Ukiwa na busara na hekima unajua ni wapi ulinde ulimi wako.mpakwa mafuta atabaki tu kuwa mpakwa mafuta.akilu yake ndogo sana hajui nin maaana ya talent? Chuki nying huondoa maarifa na upendo ndani ya akili na moyo.
 
Mifano yako huwezi kulinganisha na Tanzania, huyo Escobar yupo wapi?

Watanzania tunahitaji kujitathimini, hizi n akili za kilevi.
 
Naomba uelewe hoja ya makondo ilivyokuwa haikuwa kumsema huyo piere.bali kamchukua kama mfano.. yeye kakemea mfumo mzima unaotetetea ujinga na kukuza vitu visivyokuwa vya maana
 
Waoneshe hadharani Vyeti Vyao tuone nani ni " Mtu wa Hovyo "
Kuliko mwingie.
Hapa sasa tunahitaji vithitisho vya umaana wa mtu.
Tuanze na udhibitisho wa Kitaaluma kwanza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha uongo eti uunganishe vyuma upate gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…