Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Sasa kamati ya Afcon kuwaweka kina wema ili iweje???? Wema malaya yule mtumia Bhangi anahamasisha nini kwenye jamii????

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni humo humo kiongozi.hata hao akina wema wanaharibu jamii yetu kwa ujumla.lakini angalia media zinavyowafuata na kuwakuza kana kwamba wana mchango wa maana katika jamii..yote haya yakemewe.
 
1058689

1058690

Hii kwa wanafiki woote popote walipo.Uchafu upo mwingi sana hata Makonda yeye asituaminishe na ukuu wa mkoa kuwa ni mfano wa kuigwa na mtu.Watu hupitia mabaya na kuja kuwa watu waazuri huko mbeleni.Na wazuri kwa macho yetu ndio washenzi ....kuna viongozi wangapi wamevunja ndoa za watu?Wametelekeza watoto wao?Hatuwezi sema kila kituu..Kama Walijua kuwa huyo jamaa ni mshenzi kwanini atumike kwenye mambo ya Kiserikali ..walikosa muda wa kutafuta watu wazuri?Watakuja kulaanika kwa kujitafutia laan zisizo na maana.Hivyo ni vyeo tu...wakumbuke muda hausimami.
 
Unadhani marekani ilianza kwa kutengeneza marcedes Benz sio.......

It's true huwezi unga vyuma ukapata gari ila Kuna watu wako tayari kumpa msaada wa elimu mtu huyo ili afanye makubwa zaidi kwa taifa hapo baadae

Hao watu watamuonaje Kama media ziko bize na Mambo ya kina peire



Sent using Jamii Forums mobile app
Yani leo kuanza kumpost mtu kaunda gari kwa kutumia vyuma aisee ni kurudishana nyuma kimawazoo...!! Huyo ndugu yako kama anaweza kuunda magari apate nafasi kwenye kampuni zenye hizo kazii.. Ila sio taifa lianze kumpa Promo mtu anaefanya kitu kilichofanywa mwaka 1800 huko.. Piere umaarufu wake umekuja tu na utapitaa kama kina Dr shika na Mkuu wa mkoa wa tabora so hili Lisiwaumize sana mioyoo jamani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umaarufu ni nini??

Na nani anapaswa kuwa maarufu??

Hivi Kim Kardashian si maarufu??..do you think ni mtu wa maana sana dunia hii??

Acheni chuki nyie..kuwa maarufu sio lazima iwe kwa uzuri..hata kwa ubaya mtu anaweza kuwa maarufu

Pablo escobar si alikuwa maarufu??

Hii ndiyo point, nadhani watu wanachanganya kati ya kuwa maarufu na kwa star (nyota).

Pierre ni maarufu.
 
View attachment 1058689
View attachment 1058690
Hii kwa wanafiki woote popote walipo.Uchafu upo mwingi sana hata Makonda yeye asituaminishe na ukuu wa mkoa kuwa ni mfano wa kuigwa na mtu.Watu hupitia mabaya na kuja kuwa watu waazuri huko mbeleni.Na wazuri kwa macho yetu ndio washenzi ....kuna viongozi wangapi wamevunja ndoa za watu?Wametelekeza watoto wao?Hatuwezi sema kila kituu..Kama Walijua kuwa huyo jamaa ni mshenzi kwanini atumike kwenye mambo ya Kiserikali ..walikosa muda wa kutafuta watu wazuri?Watakuja kulaanika kwa kujitafutia laan zisizo na maana.Hivyo ni vyeo tu...wakumbuke muda hausimami.
 
Yaani Sisi Tanzania sijui nani katuroga.akili zetu zimefungwa kabisa.sijui ndo maksudi yaani watu wapo busy kuutetea huu upuuzi unaofanywa na hizi media.alafu mbona huyo mlevi.ndo kama kisingizio cha makonda kukosea . wakati yeye kasemea mfumo mzima unakuza vitu vya ajabu na kuacha vitu vya msingi
Hakutakiwa
Kuongea vile hadharani
Wakati mwenyewe ypo kama mualikwa na DC
Kwani mwenye jiji mbona wakina diamond anawalewa ujinga mangapi wanafanya kwenye media
Tena wengine wanapiga picha wko na madem
Tofauti tofauti na bado anaambatana nao

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1058576"watu kama wakina Pierre sijui,watu wa hovyo hovyo ndio wanakua maarufu watu wa maana hawajulikani,tunajenga jamii ya watu gani?"
Haya ndio maneno ya Makonda wakati anahutubia kwenye tamasha la tokomeza zero Kisarawe,lililofanyika jana Mlimani City,ambalo pia Pierre alikuwa moja kati ya watu waliohudhuria.
Hivi mtu kama Pierre kuwa maarufu yeye inamuuma nini? anaposema ni mtu wa hovyo katika lipi? kati ya Pierre na hao wasanii wake ambao daily wanshinda makahamani kwa kesi za hovyo hovyo,wanatukanana mitandaoni live,wanavujisha picha za ngono mitandaoni,wanabadili wanawake/mabwana kila uchwao na bado anawahusudu na kuwaona wa maana nani ni wa hovyo sasa?
Muache mzee wa watu aingize kipato chake kihalali,ilimradi havunji sheria za nchi.
kaona piere anamfunika kwa kiki sasa roho inamuuma huyo jamaa anawivu kike kweli hatiki kumuona mwenzio anatoboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la hisa naweza kukubaliana na wewe mkuu, maana unaambiwa hata masafa wasafi fm Dar 88.9 yalipatikana kimagumashu watu walikuwa wanaenda tcra kuomba masafa wanaambiwa yamejaa.

Sasa angalia redio mpya imepewa 88.9, wakati zipo zilizotangulia lakini wakapelekwa 100 nukta kadhaa huko mbeleni.

Story za vijiweni mkuu, hiyo frequency ni ya iliyokuwa Coconut FM ya Zanzibar (kuna baadhi ya siku frequency zinagoma tunaisikia hii). Kwa hiyo hawajapewa frequency mpya.

Wamenunua au wao wanajua makubaliano yao.
 
Ukiwa na busara na hekima unajua ni wapi ulinde ulimi wako.mpakwa mafuta atabaki tu kuwa mpakwa mafuta.akilu yake ndogo sana hajui nin maaana ya talent? Chuki nying huondoa maarifa na upendo ndani ya akili na moyo.
 
Kwani umaarufu ni nini??
Na nani anapaswa kuwa maarufu??
Hivi Kim Kardashian si maarufu??..do you think ni mtu wa maana sana dunia hii??
Acheni chuki nyie..kuwa maarufu sio lazima iwe kwa uzuri..hata kwa ubaya mtu anaweza kuwa maarufu
Pablo escobar si alikuwa maarufu??
Mifano yako huwezi kulinganisha na Tanzania, huyo Escobar yupo wapi?

Watanzania tunahitaji kujitathimini, hizi n akili za kilevi.
 
Hakutakiwa
Kuongea vile hadharani
Wakati mwenyewe ypo kama mualikwa na DC
Kwani mwenye jiji mbona wakina diamond anawalewa ujinga mangapi wanafanya kwenye media
Tena wengine wanapiga picha wko na madem
Tofauti tofauti na bado anaambatana nao

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uelewe hoja ya makondo ilivyokuwa haikuwa kumsema huyo piere.bali kamchukua kama mfano.. yeye kakemea mfumo mzima unaotetetea ujinga na kukuza vitu visivyokuwa vya maana
 
Waoneshe hadharani Vyeti Vyao tuone nani ni " Mtu wa Hovyo "
Kuliko mwingie.
Hapa sasa tunahitaji vithitisho vya umaana wa mtu.
Tuanze na udhibitisho wa Kitaaluma kwanza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piere fala tuu sioni sababu ya media kumshobokea..........
Kuna vijana huko vijijini wanajitahidi kuunganisha vyuma wapate magari, media ndio zingetakiwa zipromite idea zao wapate msaada nk. (Innovative ideas zipo mtaani kibao media hazina mda wa kuzireveal kwa jamii).
Matokeo yake tuko bize na Mambo ya kijinga sana..........
Mimi ni mtumia gambe Sanaa ila kwa huyu bwana piere sijawahi muelewa hata kidogo.......Na wanaompromote Ni wajinga flani wasiojitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
acha uongo eti uunganishe vyuma upate gari
 
Back
Top Bottom