fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Ww utabaki kuwa chini ardhini
makaburini tayari
makaburini tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wivu wa kike Nyota ya mtu inawaka tu hata awe kichaa au mleviKwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyanja haoni kundule” ni kweli waandishi wanatoa promo kwa RC wa ovyo ovyo kama yeye bashite na ni kweli nchi inateua watu wa ovyo kama yeye bashite aka division zero na kuwaacha watu wa maaana wenye vyeti vyaoKwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hoja zako kuhusu eti Pierre ana bifu na Wasafi,ndio maana Makonda kamdhihaki hazina mashiko hata kidogo...Makonda naturally ana roho ya kwa nini hilo dude ni lake binafsiKosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.
Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.
Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.
Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.
Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.
Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.
Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.
Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.
Hata hivyo ukiangalia kiundani alietukanwa hapo na Makonda ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate aliemwalika Pieri Likwid Konk.
Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
Huyu jamaa Bashite ni nyumbu kabisa. Anajisahau haraka sana,
Endelea kunywa ghahawa hapo kijiweni ikifika ya elfu 6 unishtue nije nikulipie,Dogo achana na series za Mr bn hzo tukimwaga data hapa server itazima ghafra hapa usione wamachinga wanapata tabu uchumi umeyumba sana tena sana ndio maaana mzee baba kawa mpole sana hv unajua kwann rostam na mzee Ely karudi kule?
Kumbe huyo Piere ni msanii?Ni baada ya siku chache Makamu wa Rais Mama samia Suluhu kumpongeza msanii maarufu Liquid Pierre kwa kufanikisha ushindi wa Taifa Stars.