Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Kwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wacha wivu wa kike Nyota ya mtu inawaka tu hata awe kichaa au mlevi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kipindi kirefu jamii ya kitanzania hasa uwanja wa siasa na dini zilibugukiwa na sintofahamu ya mtu anayeitwa Daudi Albert Bashite. Tuhuma nyingi na nzito zilielekezwa kwa mkuu wa Mkoa Dar-es-Salaam aka Paul Maonda akituhumiwa kuwa alitumia majina na vyeti vya kugushi (Criminal offence) huku majina yake kamili yakiwa ni Daudi Albert Bashite

Jana akiwa Kisarawe, Bwana Makonda alifanya kitendo cha ajabu sana kwa kumuita mlevi wetu wa Taifa, Pierre Gambo “Perre Konki Liquid” kuwa mtu wa hovyo. Ilhali Pierre anatumia umaharufu alioupata kujipatia riziki yake kihalali. Huku Makonda ambaye anatuhumiwa kugushi vyeti kujipatia ajira kwa udanganyifu. Kati ya hawa watu wawili, nani ni mtu wa hovyo? Makonda ni mtu wa kukaa jela siyo mtu wa kunyoosha kidole kwa mwingine na kujiona malaika

Hakuna binadamu wa hovyo mbele za muumba. Ndugu Makonda hana haki ya kumuita mtu yeyote kuwa wa hovyo. Nadhani jamii; wanasiasa, viongozi wa kidini na kijamii wafike sehemu wakemee hii tabia aina ya Makonda. Yeye mwenye tuhuma nzito ambazo ni criminal in nature, anamhukumu mtu anayetumia jasho lake kujipatia rizki. Makonda must be condemned by every sane minded human being.

Makonda asiwe kama nyumbu. Anasahau vitu kirahisi hivyo.......Unamcheka mwenzio kuwa na kengeza wakati una jicho moja? Huu udhalilishaji usiruhusiwe katika jamii ya kitanzania
 
Yeye aliwahi kufanya nini cha maana.
Kama sio kubebwa na Watukufu asingeweza hata kukaa meza moja na Piere.
Piere yuko hapo kwa juhudi zake binafsi.
Hao waandishi wamemfuata kwenye starehe zake.
Peire ana Fani na anaitendea kazi ya kumwingizia kipata.
Yeye ana Fani gani ya kumwingizia kipato ?
Piere hajawahi kuwa Hauseboy wa Mtu.
Tunajua kila kitu na ni heshima tu inayotufanya tukae kimya.
Mwenyezi Mungu ametuagiza tumuheshimu kila mtu.
La sivyo tungemwaga mchele humu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyanja haoni kundule” ni kweli waandishi wanatoa promo kwa RC wa ovyo ovyo kama yeye bashite na ni kweli nchi inateua watu wa ovyo kama yeye bashite aka division zero na kuwaacha watu wa maaana wenye vyeti vyao
 
Kosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.

Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.

Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.

Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.

Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.

Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.

Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.

Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.

Hata hivyo ukiangalia kiundani alietukanwa hapo na Makonda ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate aliemwalika Pieri Likwid Konk.

Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
Hoja zako kuhusu eti Pierre ana bifu na Wasafi,ndio maana Makonda kamdhihaki hazina mashiko hata kidogo...Makonda naturally ana roho ya kwa nini hilo dude ni lake binafsi
 
Ni baada ya siku chache Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kumpongeza msanii maarufu Liquid Pierre kwa kufanikisha ushindi wa Taifa Stars.




Majibu ya Pierre.

IMG_20190331_120250.jpg

IMG_20190331_111841.jpg


Maoni ya Hamis Kigwangalah.
20190331_124115.jpeg
 

Kitendo cha kumnyanyapaa Comedian Pierre mbele ya hadhara kuwa ni mtu wa hovyo wakati anajua hawezi kumjibu kimeharibu kabisa shughuli ya Joketi aliyoindaa kwa upendo wake kwa watoto wa kike.
Pierre kaamua kuwa Comedian kupitia pombe na sasa maisha yake yamebadilika kwa kipato kwa uigizaji huo.
Sasa kwa vile yeye hajinyenyekezi kwa Makonda ndio tiketi ya Makonda kumshambulia mbele za watu?
Kwako Makonda, tunajua wewe pia ni Ziro lakini umepata bahati kufika hapo ulipo kwa sababu uzijuazo wewe mwenyewe. Huna haki ya kumwita mtu wa hovyo eti kwa vile anaigiza unywaji wakati wewe na kile kikamati chako uchwara cha kula fedha za Stars ulitangaza nusu bei, kwa nini usi tengeneze kuwa masoko yata uza nusu bei unga na maharage bali ukasema nusu bei pombe?
Umeingilia sherehe ya Kisarawe na kuichafua ukiambatana na watu wako wasanii wa madawa ya kulevya na umalaya ambao kwako sio wa hovyo bali muigizaji wa pombe ndio wa hovyo.
Umedhibitisha kabisa wewe ni ZERO na unapaswa kutokomezwa
 
Dogo achana na series za Mr bn hzo tukimwaga data hapa server itazima ghafra hapa usione wamachinga wanapata tabu uchumi umeyumba sana tena sana ndio maaana mzee baba kawa mpole sana hv unajua kwann rostam na mzee Ely karudi kule?
Endelea kunywa ghahawa hapo kijiweni ikifika ya elfu 6 unishtue nije nikulipie,

Eti una data, data za walevi labla
 
Back
Top Bottom