Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

Kwa hiyo na wewe una kubali kuwa Lissu kamuombea Msamaha Mbowe? Kama unakubali kwanini ulimpinga Zitto?
Acha kumlisha maneno Lissu, kasema kuwa kesi ni ya mchongo ushahidi unaotolewa mahakamani ni dhaifu mno hivyo akamuomba Rais atumie busara zake. Sio haya wanasiasa uchwara mnayo fanya.
 
Tofauti na Lissu; Zito hakutumwa na CDM; hakutumwa na familia ya mbowe, wala Mh. Mbowe mwenyewe hakumtuma, sasa muulizeni alitumwa na nani kuomba msamaha huo?

Lissu ni Makamu mwenyekiti wa chama taifa, kauli yake ni ni ya kichama zaidi.
 
Du wasemaji wapya wa CHADEMA wajitokeza. CDM hawawahitaji na wala hawakuhitaji msemaji nje ya chama chao kwani wana watu wao wa kutosha kumzidi ZITTO. Tulieni muone kinachoendelea.
 
... wakati Zitto anamtaka Mbowe aombe msamaha ili asamehewe; Lissu anataka Mbowe aachiwe bila masharti! Kwa akili zako huoni tofauti ya approach hizo mbili? Dah; binadamu tunatofautiana!
Huna akili.

Unachoweza Ni kubweka kila siku mboweeee mboweeee mboweeee mboweeee 🤣🤣🤣

Baba yako ana HASARA sana
 
Ya kukusaidia wewe uachane na umsukule.

Asubuhi hii, nenda kafanye kazi. Mbowe siyo baba yako
... naona tatizo lako limerudi; mwezi nchanga! Post zako humu zinashuhudia una tatizo la akili.
 
Wewe una tatizo la mtindio wa ubongo.

Mtu anaweza kudhani mwenyekiti wenu ana matatizo ya macho kukaa kama anakunya, kumbe wafuasi wake wote ubongo umeteguka.
 
... kwa post hii tuna sababu ya kuthibitisha wewe sio mzima kichwani? Umejianika mwenyewe and always those are the kinds of upumbavu huwa una-post humu. Shame on you!
 
Una mtindio wa ubongo, na unathibitisha Hilo.

Hakuna mtu mwenye akili timamu wa aina yako.
 
Shida ya wapinzani wapo disorganized badala ya kuungana nguvu kupambana na chama tawala wanabaki kuzozana na kuhujumiana wao kwa wao. Ndio maana wananchi ambao hawapendi siasa wala kufuatilia wanaendelea kuipa CCM kura maana ipo organized na focused.

Huo ndio ukweli mchungu. Bila upinzani kuungana walau vyama vyenye ushawishi kwa kusahau tofauti zao na kuwa na lengo moja itakuwa vigumu sana kuitoa CCM madarakani.

The last time I check ni 2015 upinzani ulipata kura nyingi zaidi almost 40% ya kura zote zilizopigwa baada ya kuungana. Wapinzani watumie siasa za Kenya kama model.
 
Wanaukumbi.

Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.

Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.

Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.

Lissu kawapiga changa la macho wenzake Kwenye spesi anawaambia hakuna kukutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe, kumbe faraghani anaomba poo. Lissu kafanya maamuzi peke yake bila kuwashirikisha wenzake.

Ritz, karibu tena JF. Sijakuona siku za hivi karibuni.
Kabla Tundu Lissu hajaomba kukutana na Rais SSH, Chadema walikwisha andika barua kumuomba Rais wakutane naye, na akakubali.
Na kweli, Rais SSH amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, wakaongea kwa takriban saa nzima.
Lengo la andishi lako ni kuibagaza Chadema, huku ukisahau kuwa alichokifanya Rais Samia Suluhu Hassan kimeipaisha sana Nchi yetu kimataifa.
Sambamba na hili, heshima ya Rais wetu imepaa.
Watanzania tunaona fahari sana kuwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Wasaidizi wake pia wanastahili pongezi nyingi sana.
Nauona mkono wa Waziri wa Mambo ya Nje, mwana Diplomasia nguli Liberata Mulamula na Mkurugenzi wa Habari, Ikulu, Zuhura Yunus.
Mapenzi yangu kwa Rais wetu yamepaa.
 
Shida ya wapinzani wapo disorganized badala ya kuungana nguvu kupambana na chama tawala wanabaki kuzozana na kuhujumiana wao kwa wao. Ndio maana wananchi ambao hawapendi siasa wala kufuatilia wanaendelea kuipa CCM kura maana ipo organized na focused.

Huo ndio ukweli mchungu. Bila upinzani kuungana walau vyama vyenye ushawishi kwa kusahau tofauti zao na kuwa na lengo moja itakuwa vigumu sana kuitoa CCM madarakani.

The last time I check ni 2015 upinzani ulipata kura nyingi zaidi almost 40% ya kura zote zilizopigwa baada ya kuungana. Wapinzani watumie siasa za Kenya kama model.
Mega Mind Nyerere!
Ulichoandika kina ukweli.
Kiukweli, nilitegemea kuona Tume ya Uchaguzi ikipelekwa Mahakamani baada ya majina karibu yote ya Wagombea wa Upinzani kukatwa katika Uchaguzi Mkuu uliopita.
Wapinzani wote wangeungana katika hilo, wakadai Fomu za Wagombea wa CCM nazo zifikishwe Mahakamani, ninaamini Wagombea wao wangeruhusiwa kugombea.
Hii ni kwa sababu siamini kuwa Fomu za Wagombea wa CCM zilikuwa sahihi kwa asilimia 100, lakini zile za Wagombea wa Upinzani pekee ndizo zilizokosewa kujazwa.
Kwamba, asilimia 100 ya CCM walipatia, lakini asilimia 95 ya Wapinzani wakakosea.
Kama Wapinzani wangeungana katika hili, Tume ya Uchaguzi ingeumbuka, na Wapinzani wangekuwemo Bungeni hivi sasa.
CCM inatumia Tume ya Uchaguzi kushinda badala ya kuwaachia Wapiga Kura waamue.
 
Wanaukumbi.

Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.

Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.

Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.

Lissu kawapiga changa la macho wenzake Kwenye spesi anawaambia hakuna kukutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe, kumbe faraghani anaomba poo. Lissu kafanya maamuzi peke yake bila kuwashirikisha wenzake.

Hamjambo Lumumba?

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
 
https://www.jamiiforums.com/threads/tuwatambue-wanaohaha-kutusambaratisha-kama-taifa.1884518/
 
Kuna tofauti kati ya kusema;

“mwenzetu hayupo hapa kwa sababu ana changamoto za kisheria, itafutwe namna, ASAMEHEWE” - Zitto Kabwe

“kesi ya mwenyekiti Mbowe ni 'ubatili mtupu na ushahidi ni wa uongo' na hailisaidiu taifa kwa lolote, IONDOLEWE
- Tundu Lissu

----👇

naona busara na ubishi ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom