Acha kumlisha maneno Lissu, kasema kuwa kesi ni ya mchongo ushahidi unaotolewa mahakamani ni dhaifu mno hivyo akamuomba Rais atumie busara zake. Sio haya wanasiasa uchwara mnayo fanya.Kwa hiyo na wewe una kubali kuwa Lissu kamuombea Msamaha Mbowe? Kama unakubali kwanini ulimpinga Zitto?
Huna akili.... wakati Zitto anamtaka Mbowe aombe msamaha ili asamehewe; Lissu anataka Mbowe aachiwe bila masharti! Kwa akili zako huoni tofauti ya approach hizo mbili? Dah; binadamu tunatofautiana!
... wewe una akili gani?Huna akili.
Unachoweza Ni kubweka kila siku mboweeee mboweeee mboweeee mboweeee 🤣🤣🤣
Baba yako ana HASARA sana
Ya kukusaidia wewe uachane na umsukule.... wewe una akili gani?
... naona tatizo lako limerudi; mwezi nchanga! Post zako humu zinashuhudia una tatizo la akili.Ya kukusaidia wewe uachane na umsukule.
Asubuhi hii, nenda kafanye kazi. Mbowe siyo baba yako
Wewe una tatizo la mtindio wa ubongo.... naona tatizo lako limerudi; mwezi nchanga! Post zako humu zinashuhudia una tatizo la akili.
... kwa post hii tuna sababu ya kuthibitisha wewe sio mzima kichwani? Umejianika mwenyewe and always those are the kinds of upumbavu huwa una-post humu. Shame on you!Wewe una tatizo la mtindio wa ubongo.
Mtu anaweza kudhani mwenyekiti wenu ana matatizo ya macho kukaa kama anakunya, kumbe wafuasi wake wote ubongo umeteguka.
Huna akili.... kwa post hii tuna sababu ya kuthibitisha wewe sio mzima kichwani? Umejianika mwenyewe and always those are the kinds of upumbavu huwa una-post humu. Shame on you!
... unachoweza ni kutukanatukana tu humu; mjinga wewe!Huna akili.
Una mtindio wa ubongo, na unathibitisha Hilo.
Hakuna mtu mwenye akili timamu wa aina yako.
Ritz, karibu tena JF. Sijakuona siku za hivi karibuni.Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Lissu kawapiga changa la macho wenzake Kwenye spesi anawaambia hakuna kukutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe, kumbe faraghani anaomba poo. Lissu kafanya maamuzi peke yake bila kuwashirikisha wenzake.
Mega Mind Nyerere!Shida ya wapinzani wapo disorganized badala ya kuungana nguvu kupambana na chama tawala wanabaki kuzozana na kuhujumiana wao kwa wao. Ndio maana wananchi ambao hawapendi siasa wala kufuatilia wanaendelea kuipa CCM kura maana ipo organized na focused.
Huo ndio ukweli mchungu. Bila upinzani kuungana walau vyama vyenye ushawishi kwa kusahau tofauti zao na kuwa na lengo moja itakuwa vigumu sana kuitoa CCM madarakani.
The last time I check ni 2015 upinzani ulipata kura nyingi zaidi almost 40% ya kura zote zilizopigwa baada ya kuungana. Wapinzani watumie siasa za Kenya kama model.
Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Lissu kawapiga changa la macho wenzake Kwenye spesi anawaambia hakuna kukutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe, kumbe faraghani anaomba poo. Lissu kafanya maamuzi peke yake bila kuwashirikisha wenzake.
Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Lissu kawapiga changa la macho wenzake Kwenye spesi anawaambia hakuna kukutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe, kumbe faraghani anaomba poo. Lissu kafanya maamuzi peke yake bila kuwashirikisha wenzake.
njaa mbaya sana
naona busara na ubishi ni vitu viwili tofautiKuna tofauti kati ya kusema;
“mwenzetu hayupo hapa kwa sababu ana changamoto za kisheria, itafutwe namna, ASAMEHEWE” - Zitto Kabwe
“kesi ya mwenyekiti Mbowe ni 'ubatili mtupu na ushahidi ni wa uongo' na hailisaidiu taifa kwa lolote, IONDOLEWE”
- Tundu Lissu
----👇