Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

Lissu AMEOMBA kukutana na Mama Samia. Zitto didn’t. Sio Lissu huyu huyu aliyesema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti? Mnapokuwa waongo basi muwe na kumbukumbu 🤣

Cc Jasusi
Kwenye maridhiano hatuendi na misimamo, it's obvious Lissu kumuomba aonane na Rais Samia lkn ni vigumu Rais Samia KUOMBA kuonana na Lissu, kwenye diplomasia hivi ndivyo ilivyo mdogo kulegeza misimamo ili kupata maridhiano.

Katika maridhiano pande zote mbili zinakubali kupoteza jambo fulani na kupata jambo fulani, loss-win situation. Haduendi na shingo ngumu, na ndiyo maana inakuwa vigumu kumaliza mizozo mingi kusini mwa Afrika sababu kila moja anataka msimamo wake uwe. Fuatilia mzozo wa Russia na Ukraine
 
Bado upo usingizini wewe siyo bure.Mh Mbowe hana kesi ya kujibu ni vema ukajiandaa kumeza fundo la chuki binafsi.
Subiri tarehe 18 February halafu mrejee hapa mtupatie mrejesho.
 
Mbona unaandika ukiwa na hasira??
 
Utofauti wake ni umbali kati ya ukuta wa mbingu na chini ya ardhi kabisa
 
Bavicha hawakupenda aseme Zitto hakuna tofauti ya Zitto na lLissu wote wamemshauri Rais amuachie Mbowe.
Wewe ni huyu mwamba?



Imekuuma sana Lissu kukutana na Samia?

Kuna watu mnaumia sana kama taifa tunapokaribiana. Mwisho wenu huko mbali.

Kwa taarifa yako, ukweli wote mchungu Samia kapewa na bado!
 
Wewe ni zaidi ya mjinga fulani tu.
 
Lissu AMEOMBA kukutana na Mama Samia. Zitto didn’t. Sio Lissu huyu huyu aliyesema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti? Mnapokuwa waongo basi muwe na kumbukumbu [emoji1787]

Cc Jasusi
Kanawe miguu ulale wewe kula kulala
 
Lissu ni wa ndani ya kaya Zitto ni wa nje ya kaya
 
Umetisha sana mkuu
 
Zitto kwenda kusema Mbowe asamehewe kwa kosa lisilojulikana ilikuwa ni aibu kubwa kwake na chama chake, undumilakuwili wake ndio unasababisha sasa anakimbiwa na wanachama wake.
Zitto hajawahi kuwa mpinzani na hajawahi kuoigania haki ya mtu mwingine zaidi ya kuougania tumbo lake.
 
Umemaliza kazi mkuu
 
Wakati chadema wamekazia Sana hawatafanya mazungumzo yoyote na serikali ya Samia na kumshutumu zitto kumtakia msamaha mwenyekiti wa CDM.

Hatimaye tundu lisu makamu mwenyekiti cdm amekula matapishi yake baada kwa KUOMBA KIKAO MAALUM NA RAIS SAMIA" Na kumtakia msamaha mwenyekiti.

Lisu alimsema vibaya Sana zitto kwa kukaa na Rais kumuombea mbowe Leo hata arobaini hazijaisha lisu naye makamu mwenyekiti mzima amemtafuta na kumuombea rais waongelee msamaha kwa kushiñdwa, ni Jambo jema.

Busara imechukua nafasi tangu mwanzo rais aliomba mjadara na vyama pinzani chadema wakashupaza shingo Sasa imevunjika , aliyeshika mpini muachie...

Lisu aliomba appointments na rais na alikaribishwa huko ubeligiji katika Jambo jema alioliomba NI kuachiwa kwa mbowe.
Tuna mtaka mbowe kuliko wakati WOWOTE kwa ustawi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…