Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Ukimfuatilia hiyo sio form four failureHuyo askali ni akili kubwa tatizo aliajiriwa sehemu isiyomfaa.ukiwa mpenda haki Bora usiajiriwe kwenye vyombo vya Dora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimfuatilia hiyo sio form four failureHuyo askali ni akili kubwa tatizo aliajiriwa sehemu isiyomfaa.ukiwa mpenda haki Bora usiajiriwe kwenye vyombo vya Dora.
Uadilifu hauna division oneUkimfuatilia hiyo sio form four failure
alikiuka kiapo chake cha kulinda raia na mali zao, akaanza kulinda kura, hakuwa wakala na hao hawakuwa wakifanya fujo.Alikuja na defender kama mtu maalumu wa kusimamia ulinzi ...... saa chache baadae defender linakuja kumbeba kama mtuhumiwa ...... duh
Kuna jambo maishani hata ka lakukereketa waweza achana nalo tuu lipitee ijapokuwa moyo unauma sana
WapoHivi kuna PT anaakili kama hizo au unaongelea uchaguzi wa marekani
Labda kwao kuwe mambo safi ila sio watoto wa wakulima wananjaa sanaWapo
Walitumwa kuiba kura, na askari alijituma kuzuia wizi wa kura kama mzalendo wa kweli .Sasa wanamtupa labda kusikojulikana. Naye angeacha kiherehere tu. Huo uzalendo wake usiotambulika hapa Tanzania unaweza kugharimu maisha yake na watoto wake wawe yatima. Usimtetee mjinga.Askari akiwa na ari ya kipolisi akawahoji inamaana mnatuona sisi tunaosimamia ulinzi hapa ni wajinga, akawakamata kwa mahojiano! Lakini wakamjibu sisi tumelekezwa kufanya ha
Basi mtunzi anajua kufikiri.Afande huyo ameshindwaje kusambaza hizo video kabla ya kuwakamata? Halafu wakati akiwakamata, anawaambia raia wema wengine waendelee kuwarekodi.
Mbona wanashindwa kufanya mambo kiweledi? Sasa ushahidi na shahidi mwenyewe wanaendea kufungwa lock up!
Kama angesambaza hizo video mapema ziende kwa umma, hakika angeonekana shujaa. Na hao ambao walimkamata wangegeuka kujifanya kumpongeza ili kuficha ubaradhuli wao.
NB: Nahisi hili andiko ni la kutunga. Hamna ukweli wowote.
Tangu Liki mwizi huwaga na amani akisha iba Mali yako?!CCM wameshinda uchaguzi kwa asilimia 99 ila hawana amani wala furaha.
Ila kweli kabisa ujueTangu Liki mwizi huwaga na amani akisha iba Mali yako?!
Ila unauhusiano kidogoUadilifu hauna division one