Alichofanyiwa huyu askari wakati wa uchaguzi jana kitampunguzia ari ya kipolisi maisha yake yote

Alichofanyiwa huyu askari wakati wa uchaguzi jana kitampunguzia ari ya kipolisi maisha yake yote

Afande huyo ameshindwaje kusambaza hizo video kabla ya kuwakamata? Halafu wakati akiwakamata, anawaambia raia wema wengine waendelee kuwarekodi.

Mbona wanashindwa kufanya mambo kiweledi? Sasa ushahidi na shahidi mwenyewe wanaendea kufungwa lock up!

Kama angesambaza hizo video mapema ziende kwa umma, hakika angeonekana shujaa. Na hao ambao walimkamata wangegeuka kujifanya kumpongeza ili kuficha ubaradhuli wao.

NB: Nahisi hili andiko ni la kutunga. Hamna ukweli wowote.
 
Alikuja na defender kama mtu maalumu wa kusimamia ulinzi ...... saa chache baadae defender linakuja kumbeba kama mtuhumiwa ...... duh

Kuna jambo maishani hata ka lakukereketa waweza achana nalo tuu lipitee ijapokuwa moyo unauma sana
alikiuka kiapo chake cha kulinda raia na mali zao, akaanza kulinda kura, hakuwa wakala na hao hawakuwa wakifanya fujo.
 
Wasingefanya public, wangepiga basi simu na kumwambia, Dogo vunga, hapo ni ndoani tumeolewa, sio kumzalilisha hivyo!
 
Askari akiwa na ari ya kipolisi akawahoji inamaana mnatuona sisi tunaosimamia ulinzi hapa ni wajinga, akawakamata kwa mahojiano! Lakini wakamjibu sisi tumelekezwa kufanya ha
Walitumwa kuiba kura, na askari alijituma kuzuia wizi wa kura kama mzalendo wa kweli .Sasa wanamtupa labda kusikojulikana. Naye angeacha kiherehere tu. Huo uzalendo wake usiotambulika hapa Tanzania unaweza kugharimu maisha yake na watoto wake wawe yatima. Usimtetee mjinga.
 
Afande huyo ameshindwaje kusambaza hizo video kabla ya kuwakamata? Halafu wakati akiwakamata, anawaambia raia wema wengine waendelee kuwarekodi.

Mbona wanashindwa kufanya mambo kiweledi? Sasa ushahidi na shahidi mwenyewe wanaendea kufungwa lock up!

Kama angesambaza hizo video mapema ziende kwa umma, hakika angeonekana shujaa. Na hao ambao walimkamata wangegeuka kujifanya kumpongeza ili kuficha ubaradhuli wao.

NB: Nahisi hili andiko ni la kutunga. Hamna ukweli wowote.
Basi mtunzi anajua kufikiri.
 
Ndo maana mimi kazini sinaga urafiki na mtu.na hata nikisikia mtu ananisema vibaya au aje direct kwangu kipumbafu awe kiongozi au asiwe na cheo lazima nimchane chane vibaya.bora nifukuzwe nichukue kiinua mgongo nikalime matembele.
 
Back
Top Bottom