Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

Of all the people I can't believe Dr. Kitila is wired up in this mess. Please let us know the truth.
 
sasa Mwigulu Lukuvi na majimarefu ni darasa la ngapi pole sana roho inakuuma sana baba pandikizi lenu hoi.
 
Mkuu Mwigulu Mchemba, japo huwa sikubaliani na baadhi ya hoja zako, lakini kwa hili la Zitto, nakubaliana na wewe.

Naomba kabla sijachangia, kwa vile wewe ni kiongozi wa CCM, kitendo tuu cha kukuunga mkono hoja yako, kutapelekea wale wanaonidhania mimi ni CCM, kuthibitisha kuwa CCM wanasuportiana!, hivyo naomba ku declare interest kuwa Mimi Pasco wa JF, sio CCM, na sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, ila nasupport hoja zenye mashiko kutoka upande wowote, chama chochote na mwanasiasa yoyote, hivyo kwenye hili la ZZK, nakubaliana na wewe!.

Kwa wale mnaondania Pasco wa jf ni CCM, kanisomeni hapa CCM Imechokwa!. na hapa Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!na hapa Yametimia!, CCM Imechokwa!, 2015, Chadema Ikulu Njia Nyeupe ...

Nikirudi kwenye mada, hili la akili ndogo kuongoza akili kubwa, ndicho kinachofanywa na CCM kwa Watanzania wote miaka nenda miaka rudi, CCM ikijihesabu ni akili kubwa, huku kituhesabu sisi wananchi ni akili ndogo!.

Kufuatia CCM kuwa akili kubwa na sisi ni akili ndogo, ndio maana tumekubali kwa ridhaa yetu wenyewe kuichagua CCM kuendelea kutuongoza na 2015 tutaichagua tena, na tena, na tena mpaka utakapofika wakati wa Chadema nayo kuwa akili kubwa!.

Kwenye ile mada yangu ya CCM Imechokwa, nilisema CCM inashinda kwa sababu inatake advantage ya ignorance ya Watanzania, kwa kuwadanganya miaka nenda miaka rudi, ikiamini itaweza kuendelea to fool all the people all the time!, kitendo cha Chadema kuwaamsha wanaichi so that they can't be fooled all the people all the time, kumepelekea CCM, ikakikishe Chadema inabaki kuwa ni akili ndogo, hivyo japo wana CCM wanajifanya kumhuzunikia ZZK, kimoyo moyo mnafurahi kwa sababu mnajua, bila watu kama ZZK, 2015 ni ushindi wa ubwete!.

CCM Hoyee!.

Pasco.
 
Naunga hoja mkuu. Mbona wanaccm wameumia sana hata magazeti mengi vbaraka wanaponda maamzi ya CDM.

mkuu hilo tulilitegemea , lakini jitihada zao zitagonga ukuta sasa hivi watanzania ni waelewa sana na wanajua nani ni adui yao.
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Hivi kwanini CCM mnalalamika Zitto kuvuliwa vyeo vyote??
Ushauri wa bure: mchukueni haraka mumpe hivyo vyeo huko Ugambani
 
Last edited by a moderator:

Hajafukuzwa uanachama ila ameondolewa ktk nafasi aliyokuwepo hicho ni kitu cha kawaida sana, bado ana nafasi ya kukiendeleza chama sio lazima awe kiongozi, mwenye akili ndogo ndio hutumia mabavu kama ww unavyofanya. Tafuta njia nyingine kwa hilo umeshindwa kaka!!!
 
Na mimi nikitaka kumkumbusha huyu mbururaaaa mwigulu kua maneno haya aliyatumia mtu makin mch msigwa siku anatukumbusha kuwaombea wanaoshikwa na wake za watu..... I lyk it
 
CHADEMA si taasisi kihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiivyo! Labda kama unamaanisha ni kampuni ya watu fulani:bange:
 

Hii si akili ndogo
Sakata la CHADEMA KUJITEKA, kummwagia tindikali Saed Kubenea na chanzo cha ugomvi wa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe. - MPEKUZI
 

Hiki ndicho wapuuzi kina Mwigulu, Nchimbi, Lukuvi na Zitto wanafanaya. Nadhani ni kwa manufaa yako pia.

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: “Emmanuel Nchimbi” < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Tafakari chukua hatua hayo maandishi mekundu ni ya Mwigulu. Kasimamishwa tayari naomba Mungu aondoke au aondolewa ili mapambano yawe ya halali
 

Kama iliwezekana kutengeneza Invoice fake... Waraka wa siri ambao baadae mkaukana... inashindikana vipi kutunga haya mawasiliano??? Tumieni busara... mnalalamikia mikakati kwa kupitia mikakati yenu!!..
 

Salute kwako. Ungelikuwa kwenye chama chetu huku, kwa akili kuuuubwa namna hiyo, basi tungekupa uungu. Maana umepitiliza. Nashangaa sisi kukerwa na CDM 'kumfukuza' Zitto.
 
haya magamba mliyoyafanya kwa NCCR hayawezi kujirudia tena kizazi cha leo.
 

Siasa za chama changu zinaelekea wapi? Badala ya kukisafisha chama a serikali ili 'kujirudi' na kurudisha imani na muino mpya sisi tunahangaika kyihujumu CDM ili tusiwe na ushindani!!! Hii sasa ndio ajili ndogo kutawala akili kubwa.

Tutapata maendeleo kweli? Kwa hiyo Sengondo Mvungi alikuwa kikwazo cha katiba 'tuitakayo'?
 

Akili yake ndogo kama za viongozi wa chadema
 
My fellow woman umbeya upo damuni! I pitty ur family!
 

Tushawazoea kwa matusi na kejeli.
 
Kama iliwezekana kutengeneza Invoice fake... Waraka wa siri ambao baadae mkaukana... inashindikana vipi kutunga haya mawasiliano??? Tumieni busara... mnalalamikia mikakati kwa kupitia mikakati yenu!!..

Mtaalam wakutengeza invoice fake ni Kinana campaign meneja wa JK. Nakukumbusha tu alitengeza invoice za kukodi ndege ya serkali kumbeba Salma alipobanwa akasepa zake marekani. CCM ni mabingwa wakufeki kila kitu ndiyo maana tuna rais feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…