Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

Tanzanians

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
265
Reaction score
385
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa

Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
  1. Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada ya pale kulitokea ligi kati ya gwajima na makonda huwezi amini kuna mpaka mashehe walikuwa wanaenda kanisani kwa gwajima alikuwa na upepo na umma ukamkubali ile ndo ilikuwa chance ya gwajima kwenda kwenye nafasi ya urais ila akaenda kulamba nyayo za magufuli integrity yake yote ikapotea ikawa ya kawaida- imagine mtu uliyekuwa unacreate attention kubwa vile badala ya kutumia opportunity una-mbwela
  2. Tukio la pili kunatokea utekaji anatokea gwajima anaukemea umma unamkubali serikali inamtishia kila mtu alitegemea gwajima ashikilie mpini vile vile atembelee na ule upepo na atoke atangaze kuitaka nafasi ya urais ila kaingia mitini ilihali baadhi ya makanisa yake yamefungwa ghafla anatokea anaenda kuchukua fomu ya ccm wewe level zako sio ubunge tena ila Tanzania tunabahati mbaya sana haya matukio yanaonyesha gwajima livyomuoga na mtu wa hovyo
Tanzania bado hatujapata kiongozi ambaye yupo tayari kupigania maslai ya umma na yuko rayari kufa

Tanzania hatujapata mtu mwenye character zifuatazo
  • John ocelot
  • Judas maccabes
  • Ayatollah ruhola khomeni
  • Desaline kiongozi wa mapinduzi wa Haiti
  • Ataturk kiongozi wa uturuki
  • Vladimir Lenin
  • Mao Zedong na deng xioping
Tukimpata mtu ambaye angalau ana-nusu ya character za hao watu hapo juu ila sio hawa wakina gwajima ambao hawajui hata wanachopigania

Mtu kama gwajima has many things to lose hawezi kuwa kiongozi wa mapambano ni mtafuta kick

Kifuatacho ni gwajima kwenda kumuomba mama msamaha alafu wale polisi pale kanisani kwake wataondoka mambo ya hovyo sana
 
Una uhakika na usemacho?
 
Hahahahahahahahaha.......! Pole sana mkuu naona Mh Gwajima kakuudhi sana!

Nakuelewa vizuri sana! Ukimuamini mtu na yeye akakuangusha, inaumiza sana!
 
Anawazuga tu
 
Hao wote njaa tu ,pale bungeni wanapata pesa za bure kama kweli wangetaka kutumia wananchi wangeenda huko usukumani kwao ...Kibaya unaamini mtu aliyessma hizi elimu za kukariri alete mapinduzi basi pole sana .

Wakati Ayatollah anachagulia miaka kama mingi iliyopita alikataa kabisa watu kumchagua ila alilazimishwa awe Iran's supreme leader.
 
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa

Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
  1. Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada ya pale kulitokea ligi kati ya gwajima na makonda huwezi amini kuna mpaka mashehe walikuwa wanaenda kanisani kwa gwajima alikuwa na upepo na umma ukamkubali ile ndo ilikuwa chance ya gwajima kwenda kwenye nafasi ya urais ila akaenda kulamba nyayo za magufuli integrity yake yote ikapotea ikawa ya kawaida- imagine mtu uliyekuwa unacreate attention kubwa vile badala ya kutumia opportunity una-mbwela
  2. Tukio la pili kunatokea utekaji anatokea gwajima anaukemea umma unamkubali serikali inamtishia kila mtu alitegemea gwajima ashikilie mpini vile vile atembelee na ule upepo na atoke atangaze kuitaka nafasi ya urais ila kaingia mitini ilihali baadhi ya makanisa yake yamefungwa ghafla anatokea anaenda kuchukua fomu ya ccm wewe level zako sio ubunge tena ila Tanzania tunabahati mbaya sana haya matukio yanaonyesha gwajima livyomuoga na mtu wa hovyo
Tanzania bado hatujapata kiongozi ambaye yupo tayari kupigania maslai ya umma na yuko rayari kufa

Tanzania hatujapata mtu mwenye character zifuatazo
  • John ocelot
  • Judas maccabes
  • Ayatollah ruhola khomeni
  • Desaline kiongozi wa mapinduzi wa Haiti
  • Ataturk kiongozi wa uturuki
  • Vladimir Lenin
  • Mao Zedong na deng xioping
Tukimpata mtu ambaye angalau ana-nusu ya character za hao watu hapo juu ila sio hawa wakina gwajima ambao hawajui hata wanachopigania

Mtu kama gwajima has many things to lose hawezi kuwa kiongozi wa mapambano ni mtafuta kick

Kifuatacho ni gwajima kwenda kumuomba mama msamaha alafu wale polisi pale kanisani kwake wataondoka mambo ya hovyo sana
Wewe ndiye huna akili kweli kweli. Hivi tatizo la uongozi mbovu Tanzania ni kukosa wagombea urais wenye sifa au tatizo ni tume na sheria za uchaguzi? Unamdanganya Gwanyima agombee urais ambao makada wa CCM ndiyo waamuzi wa nani ni mshindi na wakishatangaza hakuna kuhoji sehemu yoyote hapa duniani?
 
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa

Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
  1. Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada ya pale kulitokea ligi kati ya gwajima na makonda huwezi amini kuna mpaka mashehe walikuwa wanaenda kanisani kwa gwajima alikuwa na upepo na umma ukamkubali ile ndo ilikuwa chance ya gwajima kwenda kwenye nafasi ya urais ila akaenda kulamba nyayo za magufuli integrity yake yote ikapotea ikawa ya kawaida- imagine mtu uliyekuwa unacreate attention kubwa vile badala ya kutumia opportunity una-mbwela
  2. Tukio la pili kunatokea utekaji anatokea gwajima anaukemea umma unamkubali serikali inamtishia kila mtu alitegemea gwajima ashikilie mpini vile vile atembelee na ule upepo na atoke atangaze kuitaka nafasi ya urais ila kaingia mitini ilihali baadhi ya makanisa yake yamefungwa ghafla anatokea anaenda kuchukua fomu ya ccm wewe level zako sio ubunge tena ila Tanzania tunabahati mbaya sana haya matukio yanaonyesha gwajima livyomuoga na mtu wa hovyo
Tanzania bado hatujapata kiongozi ambaye yupo tayari kupigania maslai ya umma na yuko rayari kufa

Tanzania hatujapata mtu mwenye character zifuatazo
  • John ocelot
  • Judas maccabes
  • Ayatollah ruhola khomeni
  • Desaline kiongozi wa mapinduzi wa Haiti
  • Ataturk kiongozi wa uturuki
  • Vladimir Lenin
  • Mao Zedong na deng xioping
Tukimpata mtu ambaye angalau ana-nusu ya character za hao watu hapo juu ila sio hawa wakina gwajima ambao hawajui hata wanachopigania

Mtu kama gwajima has many things to lose hawezi kuwa kiongozi wa mapambano ni mtafuta kick

Kifuatacho ni gwajima kwenda kumuomba mama msamaha alafu wale polisi pale kanisani kwake wataondoka mambo ya hovyo sana
Ingekua wewe usingeogopa hicho anachokihofia( kama kweli kipo) au simply wewe usieogopa wala kutishika fanya kama alivyofanya halafu uendeleze hayo unayomshauri.
 
Ngwajima kacheza vizuri kamtega samia kwenye mtego wa udini.. ila nawaakikishia ...kufuri la kike limetanda kila mahari ...kama siyo ilo kufuri gwajima anapita bila ya shida yoyote ila kuna shida samia atajaribu kuzuia anao wachukia ambao asilimia 90% ni wakristo hivyo kujitumbukiza mwenyewe kwenye mtego na vita mbaya ya kidini ambayo tayari amesha tumbukia kichwa bado kiwiliwili tu
 
Ulitaka agomee uchaguzi? Kwani yeye ni chadomo?
Nani aliyekwamby kwamba kukosoa ccm ukiwa ndani ya ccm ni dhambi?
Kwan akimuomba samia msamaha ndo atapungukiwa nin? Wakati nyie mnawambia wanachama wenu kuwa ambaye ataomba msamaha mtaendelea naye kwan hcho kigezo kipo chadema..
Mlitaka kumtumia ee? IMEKULA KWENU!
 
Back
Top Bottom