Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa

Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
  1. Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada ya pale kulitokea ligi kati ya gwajima na makonda huwezi amini kuna mpaka mashehe walikuwa wanaenda kanisani kwa gwajima alikuwa na upepo na umma ukamkubali ile ndo ilikuwa chance ya gwajima kwenda kwenye nafasi ya urais ila akaenda kulamba nyayo za magufuli integrity yake yote ikapotea ikawa ya kawaida- imagine mtu uliyekuwa unacreate attention kubwa vile badala ya kutumia opportunity una-mbwela
  2. Tukio la pili kunatokea utekaji anatokea gwajima anaukemea umma unamkubali serikali inamtishia kila mtu alitegemea gwajima ashikilie mpini vile vile atembelee na ule upepo na atoke atangaze kuitaka nafasi ya urais ila kaingia mitini ilihali baadhi ya makanisa yake yamefungwa ghafla anatokea anaenda kuchukua fomu ya ccm wewe level zako sio ubunge tena ila Tanzania tunabahati mbaya sana haya matukio yanaonyesha gwajima livyomuoga na mtu wa hovyo
Tanzania bado hatujapata kiongozi ambaye yupo tayari kupigania maslai ya umma na yuko rayari kufa

Tanzania hatujapata mtu mwenye character zifuatazo
  • John ocelot
  • Judas maccabes
  • Ayatollah ruhola khomeni
  • Desaline kiongozi wa mapinduzi wa Haiti
  • Ataturk kiongozi wa uturuki
  • Vladimir Lenin
  • Mao Zedong na deng xioping
Tukimpata mtu ambaye angalau ana-nusu ya character za hao watu hapo juu ila sio hawa wakina gwajima ambao hawajui hata wanachopigania

Mtu kama gwajima has many things to lose hawezi kuwa kiongozi wa mapambano ni mtafuta kick

Kifuatacho ni gwajima kwenda kumuomba mama msamaha alafu wale polisi pale kanisani Gw

Kifuatacho ni gwajima kwenda kumuomba mama msamaha alafu wale polisi pale kanisani kwake wataondoka mambo ya hovyo sana
Nyie ndo mnaowadanganya wakina mwijaku hadi wanachukua fomu za ubunge...
Likes za insta wanaona wanakubalika..
Gwajima kupata attention za wiki mbili awe rais
 
Back
Top Bottom