Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

Anajua atakatwa; lakini lazima atafute gia ya kuendelea atakavyo; tumsome vizuri. Msiwe na Iq low kiasi hicho cha kukimbilia kushutumu
 
Gwajima ni next level never underestimate that m&zfaka
 
Tanzania badala tuupigie kelele mfumo tumebaki kujadili mtu binafsi hata wale wa no reform no election nao
wamemezwa na habari za kuchukua fomu zilizozagaa hovyo humu🚮
Hawa ndio kabisaaa, hawaeleweki inawezekana walikurupuka na hilo tamko, tayari wamemaliza kujiandikisha na sasa wanachukua fomu bado wao wanaimba no reform no election nikama vile wanajitekenya tu. Inawezekana wale G55 waki sahihi.
 
Tanzania badala tuupigie kelele mfumo tumebaki kujadili mtu binafsi hata wale wa no reform no election nao
wamemezwa na habari za kuchukua fomu zilizozagaa hovyo humu🚮

B0ngo kichwa cha mwenda wazimu ...
bongo nyoso
Ukiàcha kula na kulala Hakuna agenda inayodumu Hapa.
 
Hawa ndio kabisaaa, hawaeleweki inawezekana walikurupuka na hilo tamko, tayari wamemaliza kujiandikisha na sasa wanachukua fomu bado wao wanaimba no reform no election nikama vile wanajitekenya tu. Inawezekana wale G55 waki sahihi.
Wale njaa 55 ni vibaka acha kunichota nitaku😁😁😁
20250627_091656.jpg
 
Mbona jina la kati la Ayatollah ni la kibantu???

Ayatollah RUHOLA Khomeini
 
Gwajima sio mjinga,kuna jambo haliko sawa,katumwa kazi kamaliza sasa anaendeleza likembe.
Somo: SIO kila kingaacho NI dhahabu.
Kama wabongo wanavyojifyatua hata kabla ya kuulizwa imekula kwenu.
Gwajima he was on delicate balance mission akafanikisha sasa karudi fresh bila stress.Na ubunge wa Kawe anachukuwa.
Kumbuka lesson plan ya CCM ni kutawala miaka 1000.
 
Siasa ni biashara ya kuuza maneno matamu tu
Kwenye siasa kuna watu wawili tu enemy and tools, enemy niwale wagombea, wanachama na wapiga kura wato ni tools za wagombea kufikia malengo yao, toka nilijue hilo nimeaacha kupga kura, siwezi poteza muda wangu kwa manufaa ya mtu mwengine.
 
Kwenye siasa kuna watu wawili tu enemy and tools, enemy niwale wagombea, wanachama na wapiga kura wato ni tools za enemy kufikia malengo yao, toka nilijue hilo nimeaacha kupga kura, siwezi poteza muda wangu kwa manufaa ya mtu mwengine.
Mifumo tu ndio tatizo
 
Tukio la pili kunatokea utekaji anatokea gwajima anaukemea umma unamkubali serikali inamtishia kila mtu alitegemea gwajima ashikilie mpini vile vile atembelee na ule upepo na atoke atangaze kuitaka nafasi ya urais
Angezuiwa maana Msoga ilishatia kizingiti
 
Hayo mambo ya kidini wewe tu ndio unayakuza, ila watanzania hawahabari kabisa na mambo ya udini.
Kakukadanya nani wakati raia feki ndiyo wanatumia dini kufanikisha ufisadi wao
 
Mnusaji baada ya kunusa na kuthibitishiwa na watu wake maalumu "aliyewapandikiza" mbele ikabidi atengeneze "alichotengeneza" na kweli wakajaa kwenye mfumo "kukithibitisha"
Mjamaa kwenda kuchukua "fomu" ndio mtego hatari kuliko bomu la nyuklia.Cha msingi ni kumpitisha bila kupingwa hapo kawe kuliko "kukata jina"

Wakikata jina nini kitatokea ? Vyama vya upinzani vitakwenda kwake kubagain agombee urais.Atawajibu Mimi narudi kawe kwenye ubunge siutaki urais (anajua hata shinda)

Hii itawalazimu wajichange wampe dau kubwa aweke mfukoni,pili wagharamie gharama zote za kuzunguka nchi nzima.
Mjamaa ni mchumi na wakili msomi Kama Morison (yule wa yanga aliye kwenda Simba).Mjamaa ana watu nyuma yake lakini kwa Sasa yupo mwenyewe.
 
Hawa ndio kabisaaa, hawaeleweki inawezekana walikurupuka na hilo tamko, tayari wamemaliza kujiandikisha na sasa wanachukua fomu bado wao wanaimba no reform no election nikama vile wanajitekenya tu. Inawezekana wale G55 waki sahihi.
Eti wasema G55 wapo sahihi kuwasindikiza ubunge wezi wa kura??
 
Hawezi jua, pengine yale aliyoyafanya ni movie tu ili kuzuga umma.
 
Back
Top Bottom