Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa

Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
  1. Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada ya pale kulitokea ligi kati ya gwajima na makonda huwezi amini kuna mpaka mashehe walikuwa wanaenda kanisani kwa gwajima alikuwa na upepo na umma ukamkubali ile ndo ilikuwa chance ya gwajima kwenda kwenye nafasi ya urais ila akaenda kulamba nyayo za magufuli integrity yake yote ikapotea ikawa ya kawaida- imagine mtu uliyekuwa unacreate attention kubwa vile badala ya kutumia opportunity una-mbwela
  2. Tukio la pili kunatokea utekaji anatokea gwajima anaukemea umma unamkubali serikali inamtishia kila mtu alitegemea gwajima ashikilie mpini vile vile atembelee na ule upepo na atoke atangaze kuitaka nafasi ya urais ila kaingia mitini ilihali baadhi ya makanisa yake yamefungwa ghafla anatokea anaenda kuchukua fomu ya ccm wewe level zako sio ubunge tena ila Tanzania tunabahati mbaya sana haya matukio yanaonyesha gwajima livyomuoga na mtu wa hovyo
Tanzania bado hatujapata kiongozi ambaye yupo tayari kupigania maslai ya umma na yuko rayari kufa

Tanzania hatujapata mtu mwenye character zifuatazo
  • John ocelot
  • Judas maccabes
  • Ayatollah ruhola khomeni
  • Desaline kiongozi wa mapinduzi wa Haiti
  • Ataturk kiongozi wa uturuki
  • Vladimir Lenin
  • Mao Zedong na deng xioping
Tukimpata mtu ambaye angalau ana-nusu ya character za hao watu hapo juu ila sio hawa wakina gwajima ambao hawajui hata wanachopigania

Mtu kama gwajima has many things to lose hawezi kuwa kiongozi wa mapambano ni mtafuta kick

Kifuatacho ni gwajima kwenda kumuomba mama msamaha alafu wale polisi pale kanisani kwake wataondoka mambo ya hovyo sana
Siasa ni kama mchenzo wa draft
 
Kwani wewe sio mtanzania? Kwanini usubiri wengine wajitokeze au kufanya wakati nawe hupo?
 
Kwanini huyo mtu mwenye characters unazotaka asiwe wewe? Keyboard warriors kuna saa mnakera sana... hamtaki kuwa sehemu ya mambo mnayotaka kwa vitendo. Mnataka watu wengine wawafanyie.
 
GWAJIMA KAMA LOWASA,
KATUMIWA KAMA KIKI KUTUCHANGANYA,
WAUMINI NAO WANAUMIZWA BILA KUFIKIRI WANANUFAISHA MTU AMBAR HAYUPO TAYARI KUFA PAMOJA NAO,
NINGEKUWA MIMI NAEND KANISA JINGINE KIKUBWA MUNGU MMOJA
 
Ngwajima kacheza vizuri kamtega samia kwenye mtego wa udini.. ila nawaakikishia ...kufuri la kike limetanda kila mahari ...kama siyo ilo kufuri gwajima anapita bila ya shida yoyote ila kuna shida samia atajaribu kuzuia anao wachukia ambao asilimia 90% ni wakristo hivyo kujitumbukiza mwenyewe kwenye mtego na vita mbaya ya kidini ambayo tayari amesha tumbukia kichwa bado kiwiliwili tu
Kichwa Pumbu
Akili yako imejaa mavi
 
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa

Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
  1. Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada ya pale kulitokea ligi kati ya gwajima na makonda huwezi amini kuna mpaka mashehe walikuwa wanaenda kanisani kwa gwajima alikuwa na upepo na umma ukamkubali ile ndo ilikuwa chance ya gwajima kwenda kwenye nafasi ya urais ila akaenda kulamba nyayo za magufuli integrity yake yote ikapotea ikawa ya kawaida- imagine mtu uliyekuwa unacreate attention kubwa vile badala ya kutumia opportunity una-mbwela
  2. Tukio la pili kunatokea utekaji anatokea gwajima anaukemea umma unamkubali serikali inamtishia kila mtu alitegemea gwajima ashikilie mpini vile vile atembelee na ule upepo na atoke atangaze kuitaka nafasi ya urais ila kaingia mitini ilihali baadhi ya makanisa yake yamefungwa ghafla anatokea anaenda kuchukua fomu ya ccm wewe level zako sio ubunge tena ila Tanzania tunabahati mbaya sana haya matukio yanaonyesha gwajima livyomuoga na mtu wa hovyo
Tanzania bado hatujapata kiongozi ambaye yupo tayari kupigania maslai ya umma na yuko rayari kufa

Tanzania hatujapata mtu mwenye character zifuatazo
  • John ocelot
  • Judas maccabes
  • Ayatollah ruhola khomeni
  • Desaline kiongozi wa mapinduzi wa Haiti
  • Ataturk kiongozi wa uturuki
  • Vladimir Lenin
  • Mao Zedong na deng xioping
Tukimpata mtu ambaye angalau ana-nusu ya character za hao watu hapo juu ila sio hawa wakina gwajima ambao hawajui hata wanachopigania

Mtu kama gwajima has many things to lose hawezi kuwa kiongozi wa mapambano ni mtafuta kick

Kifuatacho ni gwajima kwenda kumuomba mama msamaha alafu wale polisi pale kanisani kwake wataondoka mambo ya hovyo sana
yaani mtu ambae vidio yake imevuja ananyandua,anaweza kuongoza nini?
 
no compriende sinor
hata ubunge hakustahili
nafuu na chura kiziwi kuliko gwajima
 
Kwanini sasa usiende kugombea huo Urais ukawaonesha mfano akina Gwajima?
 
GWAJIMA KAMA LOWASA,
KATUMIWA KAMA KIKI KUTUCHANGANYA,
WAUMINI NAO WANAUMIZWA BILA KUFIKIRI WANANUFAISHA MTU AMBAR HAYUPO TAYARI KUFA PAMOJA NAO,
NINGEKUWA MIMI NAEND KANISA JINGINE KIKUBWA MUNGU MMOJA
Kazingua sana waumini wake wako tayari kupigana yeye yuko mafichoni
 
Ulitaka agomee uchaguzi? Kwani yeye ni chadomo?
Nani aliyekwamby kwamba kukosoa ccm ukiwa ndani ya ccm ni dhambi?
Kwan akimuomba samia msamaha ndo atapungukiwa nin? Wakati nyie mnawambia wanachama wenu kuwa ambaye ataomba msamaha mtaendelea naye kwan hcho kigezo kipo chadema..
Mlitaka kumtumia ee? IMEKULA KWENU!
Amuombe Samia msamaha kwa kosa gani?
 
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa

Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
  1. Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada ya pale kulitokea ligi kati ya gwajima na makonda huwezi amini kuna mpaka mashehe walikuwa wanaenda kanisani kwa gwajima alikuwa na upepo na umma ukamkubali ile ndo ilikuwa chance ya gwajima kwenda kwenye nafasi ya urais ila akaenda kulamba nyayo za magufuli integrity yake yote ikapotea ikawa ya kawaida- imagine mtu uliyekuwa unacreate attention kubwa vile badala ya kutumia opportunity una-mbwela
  2. Tukio la pili kunatokea utekaji anatokea gwajima anaukemea umma unamkubali serikali inamtishia kila mtu alitegemea gwajima ashikilie mpini vile vile atembelee na ule upepo na atoke atangaze kuitaka nafasi ya urais ila kaingia mitini ilihali baadhi ya makanisa yake yamefungwa ghafla anatokea anaenda kuchukua fomu ya ccm wewe level zako sio ubunge tena ila Tanzania tunabahati mbaya sana haya matukio yanaonyesha gwajima livyomuoga na mtu wa hovyo
Tanzania bado hatujapata kiongozi ambaye yupo tayari kupigania maslai ya umma na yuko rayari kufa

Tanzania hatujapata mtu mwenye character zifuatazo
  • John ocelot
  • Judas maccabes
  • Ayatollah ruhola khomeni
  • Desaline kiongozi wa mapinduzi wa Haiti
  • Ataturk kiongozi wa uturuki
  • Vladimir Lenin
  • Mao Zedong na deng xioping
Tukimpata mtu ambaye angalau ana-nusu ya character za hao watu hapo juu ila sio hawa wakina gwajima ambao hawajui hata wanachopigania

Mtu kama gwajima has many things to lose hawezi kuwa kiongozi wa mapambano ni mtafuta kick

Kifuatacho ni gwajima kwenda kumuomba mama msamaha alafu wale polisi pale kanisani kwake wataondoka mambo ya hovyo sana
wewe ndiyo mtu wa hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom