TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Amani kwako.
Ramadan Mubarak.
Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi.
Kijiji hiki cha Nigeria kiligeuzwa kuwa mji na mtu mmoja anayejulikana kwa majina ya Godwin Maduka.
☝Huyu jamaa kitaaluma ni daktari na aliwahi kugombea Ugavana wa Jimbo la Anambra mnamo 2021.
☝🏾Katika eneo hilo (picha juu) alijenga chuo au kitovu kikubwa cha utafiti wa matibabu barani Afrika, shule, mahakama, kituo cha polisi, hospitali, nyumba za polisi, nyumba za majaji na walimu, makanisa kwenye eneo hilo hapo kijijini.
NB; Hiyo ni pesa ndugu zangu, so tuzitafute.
◽Ukiwa huna pesa hata ndugu hawakusalimii!